Ulishawahi kula tunda kimasihara?
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
...
"Hodiii!, hodi hodi humu ndani"

Nilibisha hodi huku nikigonga mlango kwa kutumia kipande cha chuma kilichoning'izwa maalum kwa ajili hiyo.

"Karibu, fungua mlango umeshindikwa tu"

Sauti nyororo ilisikika kutoka ndani.

"Starehe"

Nilijibu huku nikisukuma mlango mzito wa mbao ulio nakshiwa kwa ustadi mkubwa. (Neno 'starehe' enzi hizo ndio lilitumika kujibu pindi ubishapo hodi na kukaribishwa)

Nilipofungua mlango nikakutana na korido ndefu nyembamba (wakati huo iliitwa 'ukumbi' japo siyo kama kumbi tuzijuazo leo), pembeni kulia na kushoto kulikuwa milango, wa kushoto ulikuwa mpana ambapo ulikuwa wazi ukiwa umesitiriwa na pazia zuri jepesi lenye 'kuangaza' (transparent) la rangi nyeupe, upande wa kulia mlango ulikuwa umefungwa, na milango mingine mitatu pia ilikuwa imefungwa.

Mbele mwisho wa korido kulikuwa na mlango ambao ulikuwa wazi kiasi cha kuweza kuona nafasi kubwa iliyokuwepo na sehemu ya uzio wenyeji waliita uani (sikuhizi ukisema uani watu watajuwa ni maliwatoni)
************

"Karibu tupo huku varandani"
Ile sauti nyororo iliendelea kunikaribisha na sauti hiyo ilitokea upande ule wa pazia jepesi angavu ambapo nilivyoingia nikatambua kuwa pale palikuwa ndiyo sebuleni.

Kabla ya kuingia nilivua viatu vyangu (raba - Morogoro shoes), havikutoa harufu mbaya kwa kuwa ndiyo nimevivaa kwa mara ya kwanza baada ya kuvinunua, vilikiwa vya rangi ya bluu na soksi zangu nyeupe. Hapo mlangoni kulikuwa na viatu vya sandarusi vyenye ukubwa tofauti pea tatu... nikajuwa utaratibu wa kuingia humo ni pamoja na kuvua viatu.

Nilipekenyua pazia kulia na kushoto na kupiga hatua kuvuka kivingiti cha mlango na kukanyaga zulia zuri la manyoya manyoya.

Ndani niliwakuta wanawake wawili na mtoto mmoja mdogo wa chini ya miaka mitano. Wale wanawake mmoja alikuwa mwafrika, amejitanda vizuri ushungi huku akiwa ameshika ukili (alikuwa anasuka mkeka).

Wote walikuwa wamekaa chini na kuegemea mito midogo, hapakuwa na viti bali meza ndogo iliyo chinichini sana jirani na zulia.

Yule mwanamke wa pili alikuwa mweupe, asili ya Asia, na sikuweza kufahamu maramoja kama alikuwa Mwarabu ama Mhindi. Alikuwa anakoroga maji ya rangirangi akichanganya sukari na yale maji, bila shaka alikuwa anaandaa "ashkrim", watoto walikuwa wanaita hivyo. Zilikuwa zile "icecream" (malai) ambaozo maji huwekwa kwenye "kijikopo" kidogo kisha kuchomekwa kijiti cha chelewa ambapo maji yakiganda kile kijiti huwa ni sehemu ya kushika ashkrim hiyo.

"Karibu uketi"

Alisema yule mwanamke 'mwarabu' huku akiendelea na kazi yake.

Ndipo nikajuwa kuwa ile sauti nyororo ni ya huyo mama.

"HAMIDAAAA"

Aliita yule mama wa kiarabu.

Mara nikasikia sauti mlango fulani ukifunguliwa na kisha hatua za kivivu zikija upande wetu kutokea koridoni.

Pazia lilisogezwa pembeni akachungulia msichana aliye jitanda ushungi.

"Abee"
Yule binti aliitikia huku akimuangalia yule mama mkoroga malai.

"Hebu kamletee mgeni kinywaji"

Yule binti aliondoka bila kusema neno.

"Mzee Mjumbe nimemkuta?"

Niliuliza hivyo baada ya kuwasalimia kama ilivyo desturi na kujitambulisha.

"Tangia alivyoenda msikitini bado hajarudi, bila shaka atakuwa pale Shibam wanapocheza keram na zuna"

Alijibu yule mama huku ameinama akiendelea na kazi yake.
*************************

Michezo ya Keram, Zuna, Karata, Bao ilikuwa maarufu sana kwenye 'kijiwe' cha kahawa na tangawizi pale Shibam na sehemu nyingine jijini Dar es Salaam. Mambo na mipango mbalimbali ilijadiliwa hapo ikiwemo siasa, michezo nk.

Mara yule binti alirudi huku ameshika magi iliyojaa sharubati na mkono wa kushoto ameshika bilauli ya bati.

Alimimina ile togwa kwenye ile bilauli mbele yangu kisha akanipatia. Ilikuwa togwa ya mtama uliokobolewa na kutengenezwa kwa ustadi mkubwa.

Maeneo ya FAYA (fire brigade) hivi sasa, zamani palikuwa na mti wa muembe mkubwa ambapo palikuwa maarufu sana kwa biashara ya togwa hadi eneo hilo likapewa jina la "mwembe togwa"

Pia haikuwa ajabu kukuta sinia yenye maji iliyowekwa chupa za 'fanta' ndani mkiwa na togwa, imezibwa na kipande cha gazeti iliyokunjwa vema kwenye kila chupa, wengine waliweka chupa moja tu ama stuli iliyofunikwa kawa bila kitu ndani, wateja hutambua moja kwa moja kwamba hapo kuna biashara fulani.
**********************

Niliipokea ile bilauli na kuigigida (kuinywa kwa haraka) kwa nilikiwa nataka niondoke niwahi kupeleka ujumbe sehemu nyingine kwa kuwa hapo tayari niliwaachia moja ya barua nilizokuwa nazo.

Nilikuwa nina karatasi kadhaa (barua) za kuwasambazia wajumbe wa nyumba 'kumi kumi' (waliitwa hivyo) kutoka kwa Katibu Kata, Kata ya Magomeni...

Niliwaaga wale wenyeji mle sebuleni na kuanza kuondoka. Yule binti naye akachukuwa ile bilauli pekee na kuacha magi yenye togwa iliyobakia pale sebuleni...
***********

Wakati navaa viatu pale koridoni, Hamida (siyo jina lake halisi) naye akawa anakuja kutoka uani (siyo maliwatoni) huku ameshika bilauli nne mkononi...

Nikawa namuangalia huku nikiwa nafunga kamba za viatu. Mara ghafla mtandio ukateleza akabaki kichwa wazi...

Moyo ulinilipuka paa! Kwa kumuona Hamida vizuri waziwazi...

Aliinama haraka haraka na kuchukuwa mtandio wake lakini kwa bahati mbaya tena zile bilauli zikamponyoka na kuanguka sakafuni...

=
=
=
.......
****
Hivi ndivyo nilivyokutana na Hamida wangu...

Nikipata LIKES 23 (kwa kumuenzi yule baharia mwanfunzi, aliyepiga tako 23 akawahadithia rafiki zake kuwa amepiga bao 23, wenzake wakamcheka sana...[emoji1787]) nitaelezea jinsi ilivyotokea hadi leo hii Hamida ni mama wa watoto wangu saba, na ametoa baraka zote nisimulie baada ya kumuonesha ile post ya mwana JF (huko juu kwenye uzi huu huu) aliyeomba nimuoneshe wife ili awe radhi stori hii kusimuliwa...

LIKES 23, kisha nitaanzisha uzi kwa kuwa stori hii haikuwa "kimasihara"

James Jason
Mkuu likes zimeishavuka malengo,shusha story tusindikize wikend
 
Nimekula demu fulani wa nchi jirani kimasihara tena peku peku kwa vile alikuwa hajanyoa mvuzi nimejikuta kichwa cha dudu langu kimecharangwa na mvuzi utafikili nilifanya mapenzi na mwanamke alieficha viwembe kwenye mbunye yake.HATA MZUKA WA KUHADITHIA SINA NAJUTIA TU MAY BE NIKIPONA NITAJITAHIDI KUHADITHIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demu ni mzuri lakini nilichokipata sina hamu nacho.Mavuzi ni sawa na kiwembe natamani ku upload kichwa changu cha chini ila naogopa ban
Nimekula demu fulani wa nchi jirani kimasihara tena peku peku kwa vile alikuwa hajanyoa mvuzi nimejikuta kichwa cha dudu langu kimecharangwa na mvuzi utafikili nilifanya mapenzi na mwanamke alieficha viwembe kwenye mbunye yake.HATA MZUKA WA KUHADITHIA SINA NAJUTIA TU MAY BE NIKIPONA NITAJITAHIDI KUHADITHIA.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo vip wadau.ngoja tutapate mbili tatu hapa twende pamoja.

Kuna mwaka fulani ivi nilipata interview yapi merkezi kilosa uko na ilikua interview ya pili ya kwanza nilipita.nikatoroka job chapu san nikapata lift gari ya tabora nikashuka dumila kwan nilikua natokea dar.

Pale kuna vigari vya kwenda kilosa uko naul buku 5.basi bwana nikaingia kwenye gari nikakuta watu wachache sana na konda akanambia kakae seat ile pale ambayo upande wa dirishan alikaa dada mmoja ivi age kanizid 8(nilijua baada kuwa nae).
Nikaweka begi na nikamwambia nashuka naenda kunywa soda kwan nilikua sijala kabisa.

Baada ya mda gari ikaondoka na mwanzo wa safari hatukuwa na story kabisa ila story zilianza baada ya yeye kujimwagia juice alaf hana kitambaa ndo nikampa mimi.akajifuta na story za apa na pale zikaendelea

Kupunguza urefu wa story tukafika kilosa ila nikajifny sijawah kufika kabisa so akaenda nitafutia lodge anayoifahm,(n.b. yeye alienda kilosa kutafuta mfanya kazi wa ndani kule na ndo kwao alikozaliwa).nikafika lodge yeye akasema anaenda kwao ila atakuja kunichukua anitembeze mjini kilosa,tukabadilishana namba fresh kabisa na mpaka hapo alarm kichwan haijapiga kwan nilikua nawaza interview tu

Baada ya mda akarud na kuanza kujieleza dah "sijaoga kwan kulikuwa na watu wengi nyumban na story zilikua nyingi" apo ndo akili ikaanza kuingiwa na malue lue kidogo na kuanza kuwaza ujinga ujinga ivi.ghafla akaanza kuvua nguo ili akaoge,nikaanza kujiuliza maswal uyu dada vip hata haogop wala nin na ukumbuke mpak hapo hatufahamian majina. Akaenda kuoga fresh na kurud ndani na kuangusha khanga yake na kuanza kupaka mafuta tena akaniomba nimsaidie kumpaka mafuta,apo nikajisemea kimoyo moyo hanijui huyu.

Nikaanza kusurvey mwilin mwake na shughuli ya kumpak mafuta ikaishia apo na tukaanza mengine ila ninachoshukuru mungu nilikumbuka zana nikaenda reception nikapewa kam 10 ivi (zana ambazo zimekaa kam mkanda ivi ndo mara ya kwanza kuziona za style iyo)

Nikajikuta nakaa siku 3 pale ndo nikaondoka na jina lake nilijua baada ya kufika dar

Popote ulipo agiza nyagi kwan namba yako nshapoteza ila kila nilipokupigia ulikua upo tayr tuonane sema mim ndo nilikua mambo mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipiga interview au ndo safari iliishia hapo lodge?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarehe 1 siku ya Mwaka mpya (2020).. nilipata mtoto Facebook (jina kapuni) nikamsaundisha twende Cinema Mliman tukaangalie movie zile za saa 1:45 ilikuwa jumanji next level..

Mtoto katika kujiandaa mpaka saa 1:45 bado ajatoka kwao (anaishi kimara), akaniambia tumechelewa movie so tufanye siku nyingine..

Kiukweli huyu Manzi sikumtongoza kabisa ni kumuomba kutembea tu.. basi nikamwambia tuende tukale icecream tu ( siku hiyo sikutaka kabisa kukaa Nyumbani tena na gari ya kuazima basi nilikuwa na moto wa kutembea sema kampan ndo nilikuwa sina ndipo nikamuomba huyo bibi Dada)..

Basi Mdada wa watu sijawai kumuona zaidi ya FB tu, akakubali, saa 2 hv na madakika mtoto kaniambia anaanza kutoka (nikamuelekeza sehem ya kunikuta na kigari cha kuazima).

Dakika 10 hv mtoto huyu hapa (alikuja na bodaboda) mtoto sura sio mzuri kama nimuonavyo FB ila shape sasa ndo balaaah..

Nikamchukua Hadi kwenye gari safari kuelekea KFC, njia ya chuo ile tarehe 1 magari hakuna basi na gari la kuazima nilitembea kwa misifa nikujua leo mboga bila kutongoza inaliwa..

Basi tukafika Mlimani tumepark.. nikawa namshika mapaja, mtoto katulia mala anaangalia chini.. nikumuuliza anasema anaona aibu, basi nikasema potelea pwete..

Pale mliman parking ukielekeze kama unaangalia kituo kuna kigiza flan hiv basi nikatafuta parking pale (lile chimbo la giza wauni wanapark pale ili wale mademu zao kwenye gari) mzooefu atakuwa anapajua kuna mwanga hafifu sana pale..

Nikapaki kwenye giza nikamwambia Yule manzi nakuja naenda kuchukua Krush (jina sijui nimepatia ila ni ice cream @1= 5500 zile) nikachukua mbili..

Sasa wakati naludi gari ya pembeni yangu kumbe jamaa alikuwa anakula sasa kajisahau gari inatingishika kumbe Security wa pale wakamfuma so nikakuta mzozo kweli kweli but wa chini chini maana jamaa alikuwa mtu mzima hivi..

Basi nilivyoona hivyo nikasema mmh hapa sio sehemu salama maana nilipanga manzi ni mnyonye mate na nilivyo mpa ile ice cream uwii hajawai kula ndo kabisa (maana kesho yake nimekuta picha alipiga ile ice cream.. sijui alikuwa anamtambia nani)..

Basi baada ya ule mzozo nikamwambia tuende live band, akakubali ila nilivyomwambia tuende lodge mtoto akagoma akasema ni mludishe home tu, basi nikasema nisiwe bwege.. tukaenda hadi mikasa..

Kufika pale kweli kuna live band, watu walikuwa wengi sana pale mikasa, basi nikamwambia agiza mtoto akaagiza safari.. duh hapo nikasema Leo nimepata mlevi hasa, (kumbe mtoto wa watu hajawai kunywa safari)..

Mimi sikunywa kitu maana kichwa changu kibovu sana kweny pombe isitoshe ni nina gari ya watu nisije ingia mtaloni na mtoto wa watu.. basi kanywa safari 3, nikaona mtoto sasa ata simu mwanga unamuumiza .. hahaha hapo nikasema weeeeeeeeh yametimia ya Mwaka Mpya 2020..

Nikamwambia tuondoke mala mtoto akanigomea nataka kubaki aende club, uh mimi kesho yake kazini ambayo ni Tarehe 2 nikasema weee hapana nikamforce na kumdanganya tuende sehemu nyingine club.. njian nikwambia mwanangu anipigie ajifanye kama natakiwa haraka niende Airport kuchukua mzigo unaofika na ndege ya saa 9 (tisa) hapo ni saa 6 Usiku inaelekea 7 hv..

Jamaa akanipigia, Manzi nikamwambia akanielewa hivyo hivyo kishingo upande .. basi ili lengo litimie.. nikapaki gari sehému flan tulivu (kumbuka hiyo mida ya saa 7 sasa).. nikamwambia mtoto aruke nyuma, na mimi nikaruka nyuma.. aisee nilimla huyo mtoto (condom nakuwa nazo kwenye walet), sema sikuenjoy sana maana kwenye gari mala uangalie wasije sungusungu bure hahahahahaha...

Tulivyomaliza mtoto akadai tishu ajifute.. mm gari nimeazima hahah nikavua singrendi yangu ajifute.. dah

Kama upo Humu nimekumic Sana!! Japo atujatafutana hadi leo zaidi ya kuview status huko WhatsApp.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwenye singled hapo ndipo umenivunja mbavu!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekula demu fulani wa nchi jirani kimasihara tena peku peku kwa vile alikuwa hajanyoa mvuzi nimejikuta kichwa cha dudu langu kimecharangwa na mvuzi utafikili nilifanya mapenzi na mwanamke alieficha viwembe kwenye mbunye yake.HATA MZUKA WA KUHADITHIA SINA NAJUTIA TU MAY BE NIKIPONA NITAJITAHIDI KUHADITHIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu binti atakuwa kutoka DR Congo, nilikutana na kisa similar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom