mangi jr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 290
- 238
Huu uzi unasababisha yafuatayo.
Mosi, kusababisha member wengi kudindisha non stop mpaka kupelekea ' mashine' kuuma, sanjari na hilo uzi huu unapelekea kukojoa mara Kwa mara kutokana na kusimama huko Kwa mpini'
Pili, huu uzi umewafanya wengi wajipatie umaarufu Kwa kukagua kila comment na kukosoa ( wamejipa mamlaka)
Tatu na mwisho huu uzi umetufanya memba wengine kusahau Kwa muda nyuzi nyingine zilizoanzishwa au kutokuzipa kipaumbele mpaka tusome Kwanza comments zilizoongezeka katika uzi huu
Nipende kutoa Hadhari kuwa hakikisha unapousoma uzi huu mbele za watu umekunja 4 kuepuka mfadhaiko wa ghafla pindi utakaposhtukiwa umesimamisha mnara kipimo cha 5.75G Mghz
Niwatakie usomaji mwema wale wote mnaousoma kimya kimya na kuwasomea wengine wa enjoy!
Mangi jr'
Sent using Jamii Forums mobile app