nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,035
Bora hata wewe angalau una kaushuhuda kakuliwa kimasihara sio kama Depal analia machozi kisa amenusurika haaaa haaaa haaaa[emoji38][emoji38][emoji38] nianze kwa kucheka kwanza maana huu uzi umenifurahisha nimesoma comment weee mpka basi..... Nafikiri mm ndio nikiliwa cjui kimasihara cjui kiutani cjui niitaje kisa KARATA tu,, kuna kijana mmoja tulikuwa tumepanga nyumba moja bac tulikuwa washikaji tu story za hapa na pale yani fulesh tu siku moja nlikuwa narudi om kutoka miangaikoni bac nkamkuta nje ya chumba chake kashika karata baada ya kusalimiana akauliza unaweza kucheza karata nkamjibu na maconfidence yani mm nisijue kucheza karata Yani ntakufunga magoli ya ukoo mzima.... Bac buana akasema tuwekane dau kila mtu ataje atampa nn mwenzake endapo atamfunga michezo mitano kwa mpigo.... Yy alisema mie ntakupa laki 1 ukinifunga, sasa mm cjui ni nn tu nkasem mm ukifunga ntakupa uchi... Buana buana... Nkajiroga tuzama ndani kwani nilishinda mchezo hata mmoja sasa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kufungwa nikafungwa na tunda likaliwa na kutokea hapo tukaanza kudate ila badae tulikuja achana baada ya kupata uhamisho wa kikazi na mawacliano yakafa.......
Sent using Jamii Forums mobile app