Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Kwahyo mkuu mpka umefikia kujiita maarufu humu jamvini umeshindwa kutofautisha masihala na mipango. Huyu hujamla kimasihara mlipanga mpka umeenda kulewa huko mkalala. Ungekula ile siku kwenye gar ndio ingekua masihara ila sio hvyo ilivyoendelea.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hakukuwa na mpango wa kulana wala hatukuwa kwenye mahusiano, bado naamini nilikula tunda kimasihara
 
NILIVYOKULA KIMASIHARA TUNDA LA MWANAFUNZI WA CHUO CHA DIPLOMASIA

Nina visa vingi sana vya kula TUNDA kimasihara kabla ya kuacha ushenzi ule na kuamua kupunguza kama sio kutulia. Wengine wapo humu ila wanajua ID moja maarufu sana humu, hii hawawezi kujua kamwe kama ni mimi.

Miaka mitatu nyuma nilikuwa natokea Arusha nikija zangu DSM, nilichukua usafiri wa Kilimanjaro Express basi linalochelewa kutoka, nadhani likiwa linaanzia safari Nairobi. Wakati nimeketi kwenye siti yangu na gari tayari kuondoka, akaja mwanamwana mmoja mzuri kwa sura na weupe wa mwili, badae katika maongezi yetu nilijua ni mchaga kwa kabila

Alikuja moja kwa moja na kukaa siti iliyo pembeni yangu, baada ya safari kuanza nakupiga stori mbili tatu aliniomba aniegemee achape usingizi kwamba usiku uliopita alikesha. Sikuwa na hiyana mtoto akanilalia, ili ajisikie murua nikawa napapasa nywele zake ili alale vizuri.

Safari ikaendelea mpaka Korogwe kwenye hotel ya K'njaro, akaninunulia msosi tukala na kunywa na safari ikaendelea. Tukapiga stori nyingi sana nikajua kuwa ni mwenyeji wa Arusha lakini anasoma Dar.

Safari haikuwa mbaya maana yule dada anaongea jamani na vingereza kibao.Tulifika salama Shekilango akaniambia uelekeo wake hivyo nikachukua nae bajaji ikanipitisha kwangu... nikachukua namba yake na tukakisiana shavuni, yeye akaendelea na safari mpaka alipofika.

Mawasiliano yaliendelea na nikamualika kwangu ila akasema mpaka akienda chuo ndo atakuwa free.

Baada ya kurudi chuo, weekend moja akaniambia atakuja.basi kidume nikajiandaa kiakili,kilishe na kiafya. Mtoto alifika akiwa kapendeza na tukaanza kulisongesha huku yeye akipiga bia(siikumbuki jina), huku mimi nikikata bapa na maji na ndimu. Baadae alimuita rafikiye mmoja so tukawa watatu na mimi nikakaalika kajamaa fulani kapo humu na watu wengine tukawa sita hivi. Mbuzi mguu,kuku,sigara,bangi na mziki vilitawala mpaka hapo nyege zilipoanza kutawala miili yetu.

Bwanaee, kale katoto kengine kulikuwa na jamaa wanataka kula tunda kimasihara na mwisho wa siku mwenye kisu kikali ndo alifanikiwa kula tunda.

Mimi nilichukua manzi yangu nikaenda nayo chumbani na kula mzigo kimasihara usiku kucha, mtoto alikuwa machachari sana kunako uwanja wa Kaitaba, ogopa videmu vinavyoongea kiingereza ukiwa navyo kwenye game, maneno yao ya kiingereza kwenye kutiana ni raha tosha.

Kulivyokucha nikapasha pasha kwa nyakati tofauti mpaka alivyosepa jioni yake.

Yule mrembo nilitafuna tena mara moja na ukawa mwisho wetu.
Hakuna Kilimanjaro ya Nairobi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom