Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Niko sehemu flan hapa Arusha Kuna mmaza wa mmbulu kamkabidhi mwanae grocery Basi bana katika stori huyu dogo katuambia mama yake ndo bosi but atakuja muda sio mrefu Basi saiz saa tatu na dakika zisizo kumi alkua alshakuja Basi kamkuta dogo yupo na jamaa flan hv Basi akamwambia amlipe mwanae aende akamlipe Toyo Ile dogo kunyanyuka yule maza akaenda kukaa na jamaa Basi ikabida ka 5' yule dogo na kampan yake wakaanza kumchokonoa kwa sms na missed calls mpaka akanyanyuka, Basi alivyonyanyuka tuu yule dogo akaenda kukaa pale mpaka saiz maza nje dogo in.

SISI WANAUME TUJIFUNZE KUZAA KWA MAADILI VINGINEVYO TUTAKUJA KULALA NA WATOTO WETU.

MUNGU ATUNUSURU SANA JAMANI
 
Hueleweki mkuu

Typed Using KIDOLE
 
Masikhara ni jambo ambalo hamjapanga wala kutarajia km litatokea na hakuna bills zozote zitakazolipwa baada ya tendo kutokea.

Sasa watu wanatongozana mpk wanapanga sehemu ya kukutana alafu useme masikhara?!! Ebu tambaeni na beat basi

Sent using Jamii Forums mobile app
be my friend please
👌👌👌👌👌👌
 
Haaahh watambae na beat sio[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Avatar KE
Username ina uME fulani hivi
Mwandiko kama kidada cha form two C
[emoji28][emoji28][emoji28]
Mkia mbele?!! Ndio upi huo
Hiyo Avatar n ME, username haifungaman na upande wowote, mwandiko km kigori Cha darasa la 4 B, mkia mbele (mb...o?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Khaaaaaaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masikhara ni jambo ambalo hamjapanga wala kutarajia km litatokea na hakuna bills zozote zitakazolipwa baada ya tendo kutokea.

Sasa watu wanatongozana mpk wanapanga sehemu ya kukutana alafu useme masikhara?!! Ebu tambaeni na beat basi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna masikhara Kwanza, labda kubakana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom