Miaka 10 iliyopita tuliishi mkoa wa kitalii huko uchagani.
Kuna mfanya kazi wa ndani alikuwa anaishi na mmama mmoja mkereketwa wa ccm ngazi ya wilaya na alikuwa ana pesa yule mama. Kila weekend anaenda out na mtoto wake wanamuacha mfanya kazi nyumbani.
Mimi nilikuwa naishi moja ya nyumba iliyokuwa katika fensi moja na nyumba yao. Muda mwingi weekend nilikuwa napenda kufanya general usafi na kupika mwenyewe chakula nachojiskia kula.
Weekend moja nikiwa nafua nje maana bomba la maji la nje tunashea na wao, akatoka yule binti akiwa na vyombo vya kuosha! Akanisalimia nami nikamuitikia na kumwambia kiutani, Tubadilishane basi mi nioshe vyombo we unifulie! Akacheka na kusema we huwezi hii kazi labda tu nije kukusaidia kufua... eeh mi nikasema njoo na mi nije kuosha tuone...mara kweli bana tukabadilishana kazi.
(Yule mfanya kazi hatukuwa tumezoeana kwa hiyo ndio siku ya kwanza kuwa na maongezi ya muda mrefu)
Baadae akaenda kwao ndani akaweka Taarabu inayoimba "Usimuone kakonda ukadhani halii...namlisha wali na nyama kilo mbilii...ntililiii"
Akatoka nje ametabasam huku anacheza cheza kiaina ile taarabu.
Nikamwambia ndio mambo yako eeh!!
Akasema sanaa napenda, nikamsifia upo vizuri...ningekupata mie mbona ningekufaidiii!!!
Akasema kwanza unawezaaa weweee!? Ukapime kwanza presha na B.P usije ukafia kifuani buree...akacheka heheeee uuuuuw!
Mzee nikaona hapa nadharaulika...nikamwambia mi sinaga maneno ila vitendo tu, kama unaweza twende ndani saivi...mara tukazama ndani!
Wakuu nilikuaga sijapiga mzigo mwaka mzima huo...nilipelekeshwa mpaka nikaomba pooo!!!
(Kuna wanawake wanajua kukatika na kukunika wazeee...eeeeh basi tu)
Mziki upo mpaka mwisho volume ndani tunasakata rumba mpaka nikahisi pumzi inakata na misuli inashika... kulikuwa na baridi ila mashuka yalilowa na ndio siku ya kwanza naona mwanamke anatoa maji kama ya bombani kwa pressure asee...kumbe nayeye anajikaza keshachoka bana!!
Mi uzalendo ukanishinda nikamwambia tuishie hapa, nikamwangalia usoni anatoa machozi, akacheka akanambia lakini umenitoa genye zote hapa nipo hoi hata vyombo sioshi tena mpaka baadae.
Nikatoka nami kufua nikaacha nikaenda kulala.
Baadae naskia nje kelele...kumbe boss wake karudi kakuta pako ovyo ovyo na mtu kalala...ndio akawa anamuwakia hapo nje.
Baada ya hapo ikawa weekend sitoki kutembea ni kufua na kuosha vyombo na kula tu mpaka akarudishwa kwao sumbawanga nami nikahama huko.
NB: namshukuru kwa sababu ndie alienifundisha kujiamini nikiwa kwenye game na mbinu za kijasusi kumfikisha mwanamke....
Sent using
Jamii Forums mobile app