Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hii mbinu nilitaka niitumue kwa mtoto wa anko wangu flani akanibumbulukia nilipoanza kwenda kwake tu. Ana kabinti kake kalikuwa kananielewa maana i used to be a funny guy indeed during my youngster ages. Kabinti kalikuwa kichwa balaa so nikataka ni slide kula pindi la maths maana ndio ilikuwa mtihani kwangu ila kwengine kote niko vizuri.Hii style ya kufundisha hii! Hahahah, Unanikumbusha pia mimi...nimewahi kumla mtoto mzuri tena kwao nilipokuwa namfundisha, hahahha.... sema yule mtoto alikuwa amefeli, sasa akawa anajiaandaa kurudia mtihani wa Form 4, halafu na mimi ndo nimetoka kumaliza Form 4, kichwa kina charge...Topic nazifundisha kwa kichwa tu, Circle, Sequence and series[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikajilia sista duu kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka ndio tumeingia std 6 hapo damu imeanza chemka mtoto wa anko anacheka cheka tu akiwa na mimi the very first week naanza kwenda kwao anko aka smell harufu ya mtoto kuliwa akawa mkax kama pilipili.
Cha kushangaza nikashangaa tu Mshua kanipiga ban nisiendelee kwenda kwa anko maana mie ndio nilikuwa kilaza naenda kupigwa pindi. Mbinu haikuzaa matunda maana nilishindwa kula tunda kimasihara ila kwa ule mwani niliokuwa nao ungekuta nimepiga mbami aisee.