Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Huyu ni binamu yangu niliyekuwa nachat nae sana kila anaporudi likizo lakini hatukuwahi kuonana hata siku moja, yeye kwao Tabata Mawenzi na mimi nimepanga chumba maeneo ya Mabibo Hostel, binamu yangu huyu hatukuwahi kuonana hata siku moja zaidi ya kutumiana picha tu kwenye mtandao wa Whatsapp, jana jioni alinipigia cm na kuniambia kuwa anataka kuja kuonana na mimi so nijipange kumpokea, ilikuwa kama zali tu baada ya kufika geto alikuwa kalowa sana kutokana na mvua iliyonyesha jana hivyo asingeweza kushinda ndani na nguo zilizolowa ndipo nilipompa taulo langu , aisee!

Kiukweli huyu binamu alikuwa siyo poa yaani kajaaliwa kajazia sana ana mgongo wa haja, kiukweli ilikuwa ngumu kujizuia kumtamani kimapenzi maana tulikuwa wawili tu ndani, mtoto mashallah kiukweli , basi tulianza kwa kupiga story tu na vicheko vya hapa na pale ndipo nikamtega kwa kutaka kumkiss (busu) basi alikubali bila tatizo, kuja kutahamaki ilikuwa tayari nipo mdomoni mwake, aisee kilichofata hapo ni hatari........tulihamia chumbani kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ficha upumbav wako.

Wote nyie wapumbav, yaan huyo binam alikosa hata pesa ya Bajaji kujistiri na mvua. Wehu wote nyie na siku nyingine usilete upumbav hapa

Ficha upumbav wako.
 
Huyu ni binamu yangu niliyekuwa nachat nae sana kila anaporudi likizo lakini hatukuwahi kuonana hata siku moja, yeye kwao Tabata Mawenzi na mimi nimepanga chumba maeneo ya Mabibo Hostel, binamu yangu huyu hatukuwahi kuonana hata siku moja zaidi ya kutumiana picha tu kwenye mtandao wa Whatsapp, jana jioni alinipigia cm na kuniambia kuwa anataka kuja kuonana na mimi so nijipange kumpokea, ilikuwa kama zali tu baada ya kufika geto alikuwa kalowa sana kutokana na mvua iliyonyesha jana hivyo asingeweza kushinda ndani na nguo zilizolowa ndipo nilipompa taulo langu , aisee!

Kiukweli huyu binamu alikuwa siyo poa yaani kajaaliwa kajazia sana ana mgongo wa haja, kiukweli ilikuwa ngumu kujizuia kumtamani kimapenzi maana tulikuwa wawili tu ndani, mtoto mashallah kiukweli , basi tulianza kwa kupiga story tu na vicheko vya hapa na pale ndipo nikamtega kwa kutaka kumkiss (busu) basi alikubali bila tatizo, kuja kutahamaki ilikuwa tayari nipo mdomoni mwake, aisee kilichofata hapo ni hatari........tulihamia chumbani kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa pamoja na kukatazwa kupigana mabusu ktk kipindi hiki wewe uko sugu kwa kuongozwa na kichwa cha chini. Tujitahidi kujizuia corona ina madhara makubwa kwa kila mmoja wetu.
 
Huyu ni binamu yangu niliyekuwa nachat nae sana kila anaporudi likizo lakini hatukuwahi kuonana hata siku moja, yeye kwao Tabata Mawenzi na mimi nimepanga chumba maeneo ya Mabibo Hostel, binamu yangu huyu hatukuwahi kuonana hata siku moja zaidi ya kutumiana picha tu kwenye mtandao wa Whatsapp, jana jioni alinipigia cm na kuniambia kuwa anataka kuja kuonana na mimi so nijipange kumpokea, ilikuwa kama zali tu baada ya kufika geto alikuwa kalowa sana kutokana na mvua iliyonyesha jana hivyo asingeweza kushinda ndani na nguo zilizolowa ndipo nilipompa taulo langu , aisee!

Kiukweli huyu binamu alikuwa siyo poa yaani kajaaliwa kajazia sana ana mgongo wa haja, kiukweli ilikuwa ngumu kujizuia kumtamani kimapenzi maana tulikuwa wawili tu ndani, mtoto mashallah kiukweli , basi tulianza kwa kupiga story tu na vicheko vya hapa na pale ndipo nikamtega kwa kutaka kumkiss (busu) basi alikubali bila tatizo, kuja kutahamaki ilikuwa tayari nipo mdomoni mwake, aisee kilichofata hapo ni hatari........tulihamia chumbani kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe unakemea pepo siku nyinginee. Ahahahaaa
 
Back
Top Bottom