K-wire
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 278
- 288
Wakati mwingine jitahidi Sana kutumia code pls, for ur own protection
Usiiamini sana hii mitandao
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiiamini sana hii mitandao
Ndio naamka hapa wadau nipo Hotel moja hivi huku maeneo ya Tabata Sanene inaitwa Kiuruwi.
Huyu mtoto niliyelala naye ni jirani yangu huko mbagala sasa mimi nimeoa.
Kimasihara imekujaje...
Ninaporudi kazini mara nyingi mida yetu huwa unaendana so huwa ninampa lifti.
But huwa anapenda sana kunisifia mara ooh wife wako amepata mume bora sana very humble na bla bla bla kibao..
Nikamwambia wewe uniona kwa nje tu huwezi jua huenda wife anajutia uamuzi wake wa kuwa na mimi . Alikuwa ana sisitiza mwisho akasema i wish nami nijaribu hiyo bahati ya mwenzangu..
Nikaona huyu anataka game tu ananijaza hapa ili anile kimasihara sasa kutokana na hii corona huwa mara nyingi nafanyia kazi zangu home siendi ofisini.
Alhamisi akanitext eti mpaka nimemisi lift yako jirani yangu.. Nikamwambia usijali juma pili nataka nikutuoe out ya pasaka. Alikubali fasta tu akaniuliza utanipeleka wapi?? Nilimwambia tutaenda Morogoro..
Aliniuliza mke utamuaga vipi sasa , nilimwambia kwa mke wangu niachie mwenyewe.
Sasa jana nikamuaga wife kuna gari (lorry la kubeba container) imepata accident dumila morogoro hvyo naenda kufuatilia issue za traffic case. Nikamuonesha na picha ya hiyo gari kiuhalisia hiyo ajali ilikuwepo kweli lakni ilitokea Manyoni na gari ilishaendelea na safari baada ya ku sort out the matter.
So nikampanga yule Manzi akaelewa somo lakini sikuhitaji kwenda mbali sana ndio kuna rafiki yangu akanielekeza hapa nilipo .
Sasa tangu usiku napiga mashine tu mpaka nasike dushe kama linauma vile kila likisimama. Mtoto kipotabo anaenda kila mtindo ana jua kunyonya koni utadhani hana meno mdomoni..
Njaa inaniuma hapa hawa wahudumu tangu niwapigie simu waniletee supu naona wanachelewa tu.. Nilishasahau hizi game za kukesha sasa leo ndio nikumbushia.
Sasa hapa sijui mimi ndio nimekula kimasihara au nimeliwa maana sijatongoza zaidi ya kutoa mualiko wa outing ya pasaka.
Muwe na pasaka njema .
StayHome to avoid COVID-19
sent using Simenzi mayai
Sent using Jamii Forums mobile app