Kwa elimu yetu kibongo bongo bado nashangaa uyo nesi mwenye miaka 19.. Kwa nijuavyo nesi ( nurse) ngazi ya bachelor miaka 4 + na mwaka wa internship... Diploma miaka 3 na certificate miaka 2..
Sasa nesi uliyemla ww umesema ana miaka 19.. Ok tufanye uyu nesi ana diploma ya nursing . na alivyomaliza FORM-4 hakwenda chuo kikuu.. Alijiunga college akachukua diploma yake for 3 years. Apo tuache muda aliokaa kusubil kazi.. Kama alisoma diploma maana yake miaka yake.. 19-3= 16 kwaio form 4 alimaliza.. Na miaka 16.. Mmmmmh??
Mim lengo langu nijue uyu nesi kazin alikua na miaka 19 je alimaliza form 4 akiwa na miaka mingap??
Bas tufanye uyu nesi level yake ya elimu ni degree ya nursing.. Ok form 5 & 6 miaka 2 jumlisha na 4..ya chuo pamoja wa internship = miaka 6 apo tufanye alivyotoka internship tu akaajiliwa..!! Na tufanye pia Jkt hajaenda.. Kwaio miaka yake ( 19-6) sawa sawa na 13.. Kwaio kama elimu yake.. Ya nursing ni level ya degree.. Bas alimaliza form 4 akiwa na miaka 13.. Na alianza chuo kikuu akiwa na miaka 15 ( ukichukua 13 na ile miaka miwil ya advance)
Bado nachelewa story yako kuiita Chai huenda upo sahihi ila kwnye umri wa nesi umetudanganya.. Au vice versa.. Na huenda pia wapo wanaoanza shule mapema kiasi icho labda mm tu ushamba wangu..
Bado nesi wa miaka 19 kazin ananivurugia hii story sana....
Nawasilisha... By caglar soyuncu
Sent using
Jamii Forums mobile app