Mama mchungaji aliwa kimasihara
Jembe ukipita uku niwie radhi.....mkasa ni wajana tu na niwa rafiki yangu aliemla mama mchungaji kimasihara .......rafiki yangu alifiwa na babaake wiki mbili zilizopita kabla ya hapo alikuwa mgonjwa haswa sasa wachungaji walikuwa wanakuja kumuombea na Kumsalimia pia kulikuwa na jirani yao ambaye alikuwa ni mchungaji ila hawa wa mwendokasi wakawa wanakuja mara kwa mara yeye na mke wake kumsabahi hapo jembe(rafiki wangu) alikuwa hana mazoea yeyote na huyo mama kabisa tumuite mama mchu..sababu jamaa hakaagi hayo maeneo sababu ya mishe zake huu mda ilibidi akae amuuguze mzee wake baada ya mzee wake kufariki kama kawaida lazima tujumuike japokuwa ilikuwa enzi ambayo corona ipo hot ila ilibidi tumpunzishe mzee kwa heshima (rest in peace mzee)
Alipoliwa kimasihara
Baada ya msiba majiran walikuwa wanakuja mara kwa mara hasa hasa yule mama mchungaji sababu walikuwa marafiki na mjane pia ikaanza siku ambaye mama yake na jembe alimwambia ampigie mamamchungaj kuhusu ibada ya kushukuru(ni madhebu tofauti) jamaa akapiga kwenye simu yake akajitambulisha vizuri ila aliona jinsi mama mchungaji alibadilika baada ya hapo akaanza kimpigia jamaaa na kichat nae kwasana jembee alikuwa na stress na yukogo rude sana akanzisha mazoea ya kusifiana ambako jembe alikuwa too straight kumsifia kuhusu mwili na maumbile ya yule mama mchungaji kiukweli ni mzuri kwanzia sura hadi shape ....sasa familia ya mchungaj ina maduka mawili moja mchungaji anasimamia lingine lipo sehem tofaut kwahiyo kila jion yule mama anaenda kufunga mahesabu ya lile duka analosimamia jembe akawa anamsindikiza au wanarudi wote kuongea tu ikatokea kama mara mbili ivi ........jana jioni jembe alipitia dukan hapo sababu kwamechangamka mama mchungaji akamuomba amsubirie jembe alikuwa na gari basi akazuga pale mida yakuchomoka ilikuwa saa moja ivi wameondoka wamefika kati kati ya njia wakasimamisha jamaa akapiga touch sana maza akawa amelegea ila hakupenda kupigwa kwenye gari jamaa akawasha gar chap mpaka lodge wakachapana chap chap na bando kama lisaa na nusu ivi akasepa akampeleka mpaka karibia na mtaa maza mchungaji akashuka ikawa ndo imeisha kwenye review kuhusu show anasema maza alikuwa fiti sana anahisi ndo mambo yake (sababu walikubaliana tena siku show irudiwe kabla jamaa hajaondoka ) ........tukakutana nae tukapiga pombe sana jamaa mwenyewe alikuwa hamini kama imetokea ila bado kwambal naona guilty concious inamsumbua ......muwe na sikuku njema mabaharia
Sent using
Jamii Forums mobile app