Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Zamani nilikuaga Kama wewe tuMi nilikuwa nakosea sehemu moja, namlisha kuku leo najifanya mstaarabu nije nimgonge siku nyinge. Akishaondoka anaaanza sungura na fisi, kuna siku niliingia na demu lodge aliniomba niwe muaminifu nisifanye chochote na mimi nikajifanya yesu nikafa msalabani kwa mateso ile nipate kuwa mwaminifu namba 1 duniani. Hadi nnavyoongea hapa sijampata tena.
Nishawahi ingia geto na demu eti nampigia goti anipe papuchi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah!
Nilishanza touch Shika bolibo Shika kishundu akaanza kulegea halafu nilivyo zoba si nikapiga magoti eti naomba papuchi daaah nikikumbukaga najiona fala sana
Nikamhadithi mchizi si jamaa akamchapa bwana[emoji44][emoji45][emoji2957]
Nikasema fresh ila ilinipain sana aisa sikusahau kirahis maana demu alinitumu geto kwake eti namletea nzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3]
Since then nikawa sfanyi ajizi ukivuka tu kizingiti Cha geto langu umekwisha yaani umekwisha
Washkaji wakawa wanapiga kimya stori za mademu zao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna watu tulikuwaga watakatifu sana dunia imetubadilisha na kuwa mbwa fisi visheta[emoji44][emoji37]
Sent using Jamii Forums mobile app