Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Tumezikubali rough rider ni nzuri. Mkemia mkuu wa kula tunda kimasihara nimezipitisha. Hawa wauza duka la dawa nimegundua ni rahisi kuwang'oa kimasihara. Kuna duka moja nimekaona kasichana kazuri, ngoja kesho nikanunue dawa ya kuchua kisha masihara yaanze
Dahhh
 
Nilikuwa ni mchezaji mzuri sana wa mpira wa kikapu kitu kilichofanya nikachaguliwa katika timu ya Mkoa wa Kilimanjaro katika mashindano ya UMISETA mwaka 1983. Mwaka huo nilikuwa kidato cha nne. Timu ya wavulana tuliweka kambi katika shule ya sekondari Mawenzi wakati timu ya wasichana iliweka kambi katika shule ya ufundi Moshi. Mazoezi tulikuwa tukifanyia katika uwanja wa Baptist jirani na mzunguko (round about) wa kwanza unapotokea Arusha kuingia mjini Moshi. Katika timu yetu ya wavulana, wengi tuliochaguliwa tulitoka shule ya ufundi Moshi, Old Moshi na wengine walitoka katika Seminari. Katika timu ya wasichana, wengi wao walitoka katika shule za wasichana Machame, Kibosho na Shule ya Ufundi Moshi. Mmoja kati ya wasichana waliochaguliwa alikuwemo binti wa mwanamziki mkongwe maarufu sana wa enzi hizo.

Tuliweka kambi kwa muda wa wiki moja tukisubiria safari ya kwenda Tanga kushiriki mashindano ya Kanda ya Kaskazini yaliyofanyikia katika viwanja vya shule ya sekondari Usagara. Mazoezi yetu tulifanya asubuhi na mchana. Wakati wa mchana ilikuwa ni kawaida kwa dada zetu kuja kutupitia pale Shule ya Mawenzi. Walifika bwenini na kushiriki nasi kusikiliza kipindi cha "CHAGUO LAKO" kilichokuwa kikirushwa na radio Tanzania. Baada ya kipindi tuliongozana pamoja hadi uwanjani kwa mazoezi.

Nilitokea kupendana na Mdada mmojawapo katika tiku ya wasichana. Alikuwa ni mchezaji mahiri na tegemeo katika timu yao. Urafiki wetu uliendelea japo hatukupata sana nafasi ya kuwa pamoja muda mrefu kwani sheria zilibana na ufuatiliaji wa walimu katika kambi ulikuwa mkubwa. Tulienda Tanga kwenye mashindano ya Kanda, sisi tukafikia katika sekondari ya Popatal na timu ya wasichana sikumbuki walifikia wapi. Mwisho wa mashindano timu ya mkoa ya wavulana Tanga iliibuka kidedea huku sisi tukiwa wa pili. Kizuri ni kwamba Mimi na rafiki yangu wa tulichaguliwa katika timu ya kanda.

Baada ya kuchaguliwa timu ya kanda (timu zote za wasichana na wavulana) tulienda kuweka kambi ya wiki tatu katika shule ya wasichana Korogwe kabla ya kuelekea Mwanza kushiriki mashindano ya UMISETA Taifa. Wiki ya pili ya kambi nilipigwa na malaria kali ambayo hadi leo siisahau. Nilipata huduma katika zahanati ya shule ila shida ikawa kwa chakula kwani hamu ilitoweka. Namshukuru sana huyu rafiki yangu alijitoa kwa moyo kunihudumia kwa pesa zake akisaidiwa na binti wa mwanamziki. Baada ya siku tano hali yangu ilitengemaa japo sio sana. Nilikuwa nimeishiwa na pesa hivyo wazazi walivyosikia ninaumwa walinitumia pesa kwa telegram (wa zamani watajua). Basi niliomba ruhusa kwenda kuchua pesa posta na nikamuomba rafiki yangu anisindikize. Baada ya kuipata hiyo pesa tulipita sehemu tukajipatia msosi safi na kisha kwa mara ya kwanza tukalana kimasihara katika nyuma ya wageni hapo Korogwe. Hakika alikuwa mzuri na fundi kwelikweli kunako kitandani.

Siku mbili kabla ya safari yetu kuelekea Mwanza rafiki yangu naye alipigwa na malaria kali. Kwa mnao pajua Korogwe kuna mbu utadhani wanafugwa! Nikamshauri asiendelee na safari bali arudi shuleni (kumbuka tulikuwa kidato cha IV), alikataa akasema ataenda kwa ndugu yake Dar. Tuliondoka Korogwe Ijumaa usiku kwa treni kuelekea Dar yeye akiwa bado hana nguvu. Tuliingia Dar majira ya saa tatu na nusu asubuhi. Tukaenda ofisini kwa ndugu yake tukakuta ofisi imefungwa na hakukuwa na mawasiliano, hivyo ikabidi tuendelee naye kwenye safari ya Mwanza.

Kwa wanaokumbuka mwaka huo hali ya uchumi ilikuwa mbaya na mafuta yalikuwa shida nchi nzima. Kulikuwa na mgao hivyo hata usafiri wa treni nao ukawa shida. Abiria walikuwa wengi mno hivyo timu yetu ilikosa nafasi katika treni ya abiria hivyo mpango ukafanywa na viongozi mabehewa machache ya abiria yakafungwa katika treni mizigo. Timu zetu za kanda ya kaskazini (mpira wa miguu, riadha, kikapu, wavu, pete nk) tukaingia katika mabehewa hayo. Pia walioungana na sisi katika treni hiyo ilikuwa ni timu ya MZIZIMA UNITED (timu ya mkoa wa Dar es Salaam) ambayo ilikuwa pia inaenda Mwanza kushiriki mashindano ya TAIFA. Mwaka huo mashindano ya UMISETA na mashindano ya Taifa yalifanyikia Mwanza kwa wakati mmoja.

Ndani ya treni hiyo wadada wetu waliliwa mno kimasihara (kumbuka ni kulala siku mbili njiani kabla ya kufika Mwanza) na hao wachezaji wa Mzizima United tokana na umaarufu wao (Makumbi Juma 'Homa ya jiji, Zamoyoni Mogela to mention but a few). Rafiki yangu nilikuwa naye beneti kwani hakuwa bado vema. Nadani ya behewa letu ikawa utani mtupu watu wanarushiana.....Oya nilikuambia usichagua binti mzuri/mrembo ona sasa umenyang'anywa[emoji16]., wangu mbaya nimebaki naye mwenyewe!

Tulipofika Mwanza alipata ruhusa, nikampeleka kwa dada yangu akatibiwa na akapewa nauli ya kurudi Moshi shuleni. Mimi nilishiriki mechi moja tu nakumbuka ilikuwa dhidi ya Kanda ya Kati, malaria ikajirudia. Nadhani sikutibiwa vizuri Korogwe. Hivyo basi nikaruhusiwa nikapanda basi nikaenda zangu nyumbani kwa matibabu.

Nilirudi shule ikiwa imebaki miezi miwili na nusu tufanye mtihani wa taifa. Nilifanya mtihani na matokeo yalikuwa mazuri sana. Rafiki yangu naye matokeo yake yalikuwa mazuri. Tulijikuta wote tumepangiwa Tabora kwa masomo ya kidato cha tano na sita japo shule zilikuwa tofauti.
Baada ya kidato cha sita tulipoteana, nilikuja kutana naye mwaka 1988 mkoani Singida aliwa mwajiriwa wa benki fulani hapo. Kwa sasa sina mawasiliano naye. Popote alipo namtakia mema na furaha tele.
Huu mwaka 1983 ndungu yangu Mikito Mikito alikuwa hujazaliwa.
 
Nilivyo mla scola kimasihara
Ilikuwa mwaka 2018 nilipo kutana na mtoto mzuri scolastica pande za jiji la kijani akiwa na ndugu zake wawili, mtoto alitokea kunielewa sana sawaga zangu lakini issue ikawa ndugu zake hasa kaka yake mdogo ambaye alikuwa kama mlinzi vile kwa mtoto mzuri.
kula kimasihara ilikuwa ivi, baada ya kaka mlinzi kukaza sana usiku kama wa saa tano wote tulienda kulala katika vyumba vyetu hapo lodge lakini kwa umakini mkubwa niliandika namba yangu na kuipenyeza kwa chini kuelekea cha scola sikuwa na matumaini kama mtoto mzuri atanitafuta kwa siku iyo ila mida kama ya saa 7 ivi napata sms ya mtoto mzuri inauliza namba ya chumba changu
nikamjibu fasta"nipo chumba 112b masankala wing", mtoto kaibuka na night dress na nilivyo kuwa namtamani niliamua kumshangaza kwa mapokezi ya kibabe pale pale nilimvamia na kuanza kula mate alafu nikaamia kwenye dodo nikamalizie paleeeee kwenye ladha ya cowbell
 
KUTOA SHUHUDA ZA KWELI NI KAMA KUMDHIHAKI MTU ALIYE AMUA KUKUPA TUNDA TENA WENGINE HAMJUI HATA KUFICHA MAMBO UTAKUTA ADI PISI YENYEWE HIKO HUMU HUMU NDANI LKN MTU BADO ANASHUSHA NONDO TU

Kwa mm binafsi siwezi toa shuhuda ya kula tunda kimasihara hata siku moja
Nipo kwa ajili ya kuenjoy na kufurahisha wengine nilikatazwa nisiweke chai ndio maana nikawa kimya nikisoma tu
Sasa kama mmemiss chai simeni mm nishushe pipa pipa pipa la chai
Hapana mkuu endelea kuwa ndugu msomaji usiwasikilize hao😁
 
Kweli kabisa huyo mwanaume ana shida. Kuna kaka mmoja namfahamu pia alikuwa hivyo anakubali kuchaguliwa mke kisa tuu ndugu na wazazi. Wanaume wa siku hizi wanashindwa kusimamia maamuzi yao kama kichwa cha familia wanaendeshwa na ndugu au watu wakati mwisho wa siku maisha ni yake na mke na watoto wake.


Waanaume wapi unaowazungumzia ambao hawakuwahi kuchaguliwa wake?

Hao wa zamani ndo waliletewa kabisa

Yaani wazazi wako waone unaelekea kusiko wakuache tu kisa una maamuzi yako

Haiwezekani.
 
Niseme tu ukweli huu uzi na ule wa selfika na Jf sikuwahi kuusoma kabla, siku 2 zilizopita baada ya kuona una views na comment nyingi nami nikapita kuosha macho, kulingana na wingi wa comment imenibidi nisome kwa kurukaruka..

Sasa nikakutana na hizi comment 2 nimecheka mpaka mwanangu mdogo akashtuka😃😃😃

Mucheki huyo mwamba opondo alichoandika kwenye screenshot hapo chini.

Na member mwingine mbasaa Jr yeye ame-comment

"Nachokipenda kwenye huu uzi kwa kweli hauna ubaguzi tunadinda wote, wasomaji na mods" mwisho wa kunukuu.

Hii miamba ni vichwa maji kweli😄😄😄
Screenshot_20200604-112305.png
Screenshot_20200604-112305.png
 
Back
Top Bottom