Miaka kadhaa nyuma, nilihudhuria sherehe ya harusi ya ndugu yangu uwanja wa sabasaba(al-maarufu kama Viwanja vya Maonyesho vya Mwalimu Nyerere) kule Kilwa Road karibu na Kambi ya Twalipo) au karibu kabisa na Kwa Azizi Ali.
Wakati huo nilikuwa nikiishi Ukonga, maeneo ya karibu kabisa na Gereza la Ukonga. Baada ya sherehe kuisha majira ya saa sita usiku nilipanda basi lililo kuwa limekodiwa ambalo lilikuwa likirudisha wazazi wa Bwana harusi na ndugu wengine kuelekea Kitunda, hii ilinipa urahisi wa kushuka pale Banana ili niweze kuunganisha kwenda Ukonga.
Gari ilipofika Banana, tulishuka watu watatu, mimi, jamaa fulani hivi na dada mmoja. Huyu jamaa alivuka barabara na kuelekea upande wa pili, alionekana kuwa hatoki mbali na maeneo hayo.
Nikabaki na huyu dada ambaye alionekana kama ameanza kupata wasiwasi na akaniuliza nilipokuwa naelekea. Baada ya maswali ndipo nikagundua kuwa anaishi Majohe, hivyo ilimpasa kwenda mpaka Gongo-la- mboto kisha apande bodaboda kwenda Majohe.
Nilimuuliza tu, mbona safari ndefu sana , utafika salama kweli? Dada alinijibu hana jinsi maana mtu ambaye ilibidi amfuate hapatikani kwenye simu.
Nikamwambia unaweza kulala kwangu, kisha kesho uende kwako maana usiku huu sio salama sana. Kipindi hicho watu walikuwa wanakutwa wamekufa sana karibu na ule msitu wa kambi ya Jeshi kuelekea Majohe. Binti hakujibu swali langu wala ombi langu, hiyo kwangu ikawa ni kuwa amekubali (Malijendi tunafahamu ukitoa ombi kwa binti na akabaki kimya, maana yake ni kuwa ameshakubali, hii ni kutokana na experience- kuna mambo binti huwa hawezi kukupa jibu la moja kwa moja hasa katika mazingira kama haya).
Nikaita boda na tukaanza kupandisha ule mwinuko pale UKONGA kuelekea nilipokuwa ninaishi tukiwa katika bodaboda moja huku mikono yangu ikiwa inafanya ‘’survey’’ kwenye mbavu za binti. Huku binti akiniambia ‘’acha utundu’’.
Tulipofika maswali hayakuwa mengi, nilimpatia taulo na nilimwonyesha choo (choo cha nje) kilipo na mimi nikawa nabadili shuka kwa ajili ya mgeni. Alipotoka nami nikatoka kuelekea bafuni, huku binti ambaye sasa nilimuona vizuri (binti mweupe, mnene, mwenye kifua kilichojaa vyema na tako la wastani) akiwa amejifunga taulo akaniuliza mahali pa kuanika chupi yake.
Nikarudi chumbani ndipo maswali ya kufahamiana yakaanza, binti alikuwa mwanafunzi wa diploma katika chuo kimoja hapa mjini, baada ya stori mbili tatu binti akawa comfortable na akaanza hata utani na kucheka (hizi ni dalili za msingi sana kwa mwanamke, ukiwa naye chumbani hakikisha anakuwa comfortable na kamwe usionyeshe nia wala lengo la kumtaka kimapenzi, kadiri unavyoweza jitahidi kuonyesha kuwa wewe ni mstaarabu).
Mwisho akasema tulale lakini kwa sharti kwamba taa isizimwe na akataka alale upande wa ukutani na kila kila mtu ajifunike shuka lake. Hilo halikuwa sharti gumu kwangu, tukajilaza kuutafuta usingizi, majira ya saa saba na nusu. Nilijilaza huku nikijiuliza nimuanze au niuchune, lakini nikajipa moyo wa subira na kutaka kuwa mstaarabu.
Kwa kweli nilibaki nikiwa macho, nimelala na mtoto mweupe akiwa bila chupi, mwenye mwili unaovutia na nashindwa kumuanza. Baada kama ya nusu saa hivi binti aliyekuwa amejilaza karibu na ukuta akajisogeza karibu yangu. Nikajikuta nauliza, hujalala tu? Binti akajisogeza zaidi huku akinijibu, nikichelewa kulala huwa sipati usingizi mapema. Tukajikuta tumegeukiana, nikapeleka mkono nashika rasta, binti akajaa mzima mzima. Tukalana denda pale kwa muda huku tukipapasana, huyu binti ni wale wanawake ambao ukimpapasa tu anaanza kuweweseka na kutetemeka mwili (Waliokutana na wanawake wa aina hii wanajua jinsi hii hali inavyoongeza hamu ya tendo) mwisho nikala tunda kwa mizunguko kadhaa. Sikutumia kondomu maaana sikuwa nazo chumbani, na licha ya woga wa Ukimwi na STD’S nilishindwa kumuacha huyu binti apite bila kumuonja. Binti alikuwa bado hajatumika sana na alikuwa na ‘’migenye’’ sana.
Asubuhi jamaa yake akapiga simu nikiwa napata cha asubuhi na kumwambia binti alikosa gari ndio maana hakumfuata. Ndipo nilipogundua kuwa alikuwa boyfriend wake. Binti akamjibu kuwa alilala kwa rafiki yake.
Saa tano asubuhi nikamsindikiza kurudi kwao Majohe.
Huyu niliendelea kumla mpaka siku alipohama hapa mjini japo nilikuwa namuonea huruma boyfriend wake. Popote ulipo, nimekukumbuka afisa tarafa.