Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Naweza kuwa na story ila sio ki masikhara, na siamini km kuna masikhara km sio kubaka, vingnevyo n maamuz ya muhusika tyuuh. Yaan mtu umnunulie chips kuku na [emoji485] afu useme masikhara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sasa si mdau anakuleta kwenye reli alafu inakuwa one night stand kwan hao wanao chukuliw hapo wanaenda kupewa nini
 
Nyege mbaya mkuu.
kunawengine ata chips awapati na Nauri ni yake. na anabanduliwa ata buku alambi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hiyo ndo masikhara? Kabisaaaa mtu unaenda nae rum mnapean ishirikiano, then useme ki joke joke uwiiiiiiiiih lol
 
sasa si mdau anakuleta kwenye reli alafu inakuwa one night stand kwan hao wanao chukuliw hapo wanaenda kupewa nini
Weee masikhara n ghafla n bin vuu, kityuuh imoooh it's yeeaah, sasa mtu mnachat sku 2 af mnakutan then whaaaat? Ts big noooh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahah najua huwez kusema. Hiyo siku kuna jamaa yangu mmoja mambo ya disc za usiku pale vimbweta vya karibu na geti la ktokea kama unaenda shato point au conas.

Jamaa alikuwa amekaa amempakata bint huku taratib anajilia mema kisirisir yani.

Mwanga ulikuwa hafifu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda huyo jamaa yako ndo inaweza kuwa masikhara, unless km ndo alkutan nae papo hapo, ila km walishakuwa wanachat sio joke tena n maamuz ya muhusika tyuuih.
 
Kwani masihara si pamoja na mhusika kuridhia....

Masikhra means kula

Kirahisi

With jokes

Unplanned

Un expected

Though sio lazima vyote viwepo....wajuvi wataleta definition zaidi
Visa vyote ukisoma sio masikhara, m maamuzi ya wahusika tyuuh. But hapa wana act ni joke joke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani masihara si pamoja na mhusika kuridhia....

Masikhra means kula

Kirahisi

With jokes

Unplanned

Un expected

Though sio lazima vyote viwepo....wajuvi wataleta definition zaidi
Wee hakuna hicho kityuuh, mie naamini masikhara ile bila kuresons kwa muda, it means mmekutan ghafla bin huyu hapa mnaanza kuset mitambo na bomu linalipuka muda huo huo,
sasa eti mnachat sku 2 afu mnakutan mnapean viepe broiler na maji mazito then mnapean vente vente na kumalizia mvobo ndo useme joke joke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom