East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,783
- 6,058
Sianzi dozi wala nini .. siwezi pata ugonjwa kwa dk 2Anza dozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sianzi dozi wala nini .. siwezi pata ugonjwa kwa dk 2Anza dozi
Teh tehSianzi dozi wala nini .. siwezi pata ugonjwa kwa dk 2
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila watuIje mkuu..
Watu waseme naharibu maudhui ya Uzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hi inabidi iletwe humu..
Kiongozi mpaka unamtaja mungu aniongoze kwenye story hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kiongozi chonde chonde kwa niaba ya wanajukwaa tunakuomba uendelee kutunyapulia maana naona unakoelekea kuna nuru zaidi inshallah Allah akutangulie kwenye mwendelezo wa hii story yko
Huhuuuuh nisiwafiche nyie watu, hawa dents wa chuo wanapenda pesa na mali zenu tyuuh, ila mapenzi ya kweli yapo kwa mates waoooh. Tatzo hawa boez wa chuo hawawez gharama ndo maan dents wanatoka nje, ila sio kwamba hawawaelewi mates zao noooh.
Nakupenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3577][emoji3577]Afu weeeee nae bhanaaaah khaaaaaah
Ahahaaa...Tena sio akuongoze kufanya mema,yeye anakuombea akuongoze kufanya ufurska.Kiongozi mpaka unamtaja mungu aniongoze kwenye story hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kanichekesha Sana,ila ntamletea muendelezo soon maana amesisitizaAhahaaa...Tena sio akuongoze kufanya mema,yeye anakuombea akuongoze kufanya ufurska.
Amesahau kuwa Mungu apendi haya mambo tunafanya tu Kama emergency
Hata sisi tunafuata papuchi tyuu, habari za kupendana ni kwa wake zetu.
Shusha hio hio chiefKiufupi yule maza hausi alikuwa Kama katufumania hivi maana niliamua kutoka nje kumsikiliza,nikamsalimia kwa heshima akadai alisikia mtoto analia Sana akagonga sana mlango hakujibiwa ndo akaingia kujua kulikoni[emoji3][emoji3]
Kiukweli nilitahayari na aligundua hilo,akamuulizia yule demu Yuko wapi,nikamwambia yupo room anapanga nguo za mtoto (hapa nilijikanyaga maneno live,basi yule mama aliishia kuguna tu)
Alivyotoka nje nikarudi room kumtoa yule demu huku tukibishana kujua ipi ni busara Kati ya kubaki kumngoja mama mtoto wangu au yeye kuondoka kabisa kwao ili kuua soo.
Baada ya muda nikapata jibu kuwa mie ndo nitoke kwa muda pale home nirudi baadae,lakini kabla sijaondoka pale nikawa najipitisha sana kwenye korido ya ile nyumba ili nimuone maza hausi nimfinyie elf 20 afunge mdomo wake (rushwa haiwezi kuisha abadani[emoji3][emoji3]) baada ya raundi kadhaa za korido sikumuona kupita ikabidi nimuite atoke nimuage,akiwa ananishangaa nikanyoosha mkono kumpa ile hela. Akaipokea huku anababaika (ilikuwa kubwa kwake maana hata kodi huwa hagusi,anapokea mumewe) basi alifurahia na kuniaga mara nyingi huku akiniita baba.
Nikaondoka zangu huku nikiwa nawaza jinsi ya kujitetea kwa mzazi mwenzangu km maza hausi ataamua kunichomea japo nimemuhonga.
Huo ukawa mwanzo wa yule mama kunizoea na akawa anakula sana noti zangu. Kule kumpa hela mara nyingi ili kutunza siri yangu ya kumla yule demu wa kitaa anayeshinda kwa mzazi mwenzangu ambaye bado tulikuwa tunaendelea kupeana raha kila tukitaka kukazua jambo jipya kabisa ambalo haikuwa kula kwa masihara so sitoihadithia hapa ila kwa ufupi alinipigia chapuo nimle mwanae ili aendelee kula noti zangu za ngama.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Eti eeeeeeeeh baaas sawaaaaaahHata sisi tunafuata papuchi tyuu, habari za kupendana ni kwa wake zetu.
Mmmmmmmmh una shida weeeeh nae lolNakupenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3577][emoji3577]
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Kitu ninacho kipenda kwenye huu Uzi watu wamenza kupendana. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Nakupenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3577][emoji3577]
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Manina [emoji23][emoji23][emoji23] tunasaidiana kuchimba kisima haina shidaKubabake kuna mwamba anamkula sasa hvi wameshuka pale high view jamaa kamnunulia kiepe na mishikaki
Simuanigi yeyote yuleUko smart
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848]Subiri kidgo atakutafta, kumbe unaingiaga hadi huku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna demu wangu kasafiri leo, chaajabu hapokei simu yangu na namuona online, WhatsApp.....
Najua wahuni wanafanya ya kwao saizi[emoji848][emoji848]
Ninepata msukosuko ghafla..[emoji23][emoji16][emoji16]
Basi bhana mazoea na maza hausi yakazidi kupamba Moto na alikuwa ananichangamkia sana mpaka mama mtoto wangu akawa anashangaa ila hakutilia maanani jambo lolote. Siku moja wikiendi wakati namsaidia kuanika nguo mama mtoto maza hausi alinifata kwa siri na kunambia kuwa mwanawe wa kike anaumwa wanahisi malaria ila hawana hela ya kwenda hospital,sikujiuliza sana nikaingia ndani nikatoka na elf 10 nikampe waende kupima Kisha Kama haitatosha kwa dawa anambie nimuongeze. Kiukweli nilikuwa nampa hela yule mama kwa roho 1 huku nikifurahia maana ni yeye pekee ndiye aliyekuwa ananitunzia Siri ya kumla jirani wa mama mtoto wangu.Kiufupi yule maza hausi alikuwa Kama katufumania hivi maana niliamua kutoka nje kumsikiliza,nikamsalimia kwa heshima akadai alisikia mtoto analia Sana akagonga sana mlango hakujibiwa ndo akaingia kujua kulikoni[emoji3][emoji3]