Hii sasa mara ya tatu nimekula tunda kimasihara tu kwa watu watatu tofauti. Kanyota kanang'aa sana sijui, manake ilikuwa kama utani utani.
Iko kuna mtoto mmoja mkali sana umbo la kibantu nido ndogo ndogo zilizotuna vizuri, ila rangi yake si nyeusi kivile wala si nyeupe. Nikiwa naenda mishe mishe huwa nakutana nae pale kituoni, yaelekea anakaa karibu na mitaa nayokaa.
Siku hiyo nkaenda zangu kuanzima gari cuz nilikuwa naenda umbali mrefu nkaona daladala ntachelewa na mafoleni haya ndo itakuwa soo. Bwana
Kiduku Lilo akasema chukua hiyo Jeep Grand Cherokee 2019, nkamwambia sitachukua muda mrefu.
Nkapiga mishe mishe zangu nko na ndinga. Dakika kadhaa nkamaliza nkasema hawezekani nimalize mapema hivi wacha nizunguke mitaa manake nilikuta gari iko full tank. Nkala mitaa nkapita mitaa fulani nkaona mwanamke mbele, kwa sifa nkaanza kunyata.
Mwanamke akapiga mkono, kufungua dirisha nimcheki manzi wa kila siku kituoni. Nilitaka nipotee cuz nilikuwa namgwaya hatari kwa jinsi alivyo. Akauliza aah!! Kumbe wewe nilikuwa nataka unisogeze hapo mbele kituoni nipate daladala niende nyumbani, saivi waenda wapi? Nkajibu home (sikujua jibu limetokea wapi). Akasema basi twende wote manake nakuonaga pale kituoni. Ukiniacha pale nakuwa nimefika.
Hata sijamruhusu huyo ndani kashafunga na mkanda tayari. Nkaona isiwe case nkakiwasha mwendo mwendo cuz umbali ulikuwa mrefu ili niwahi kurudisha ndinga. Ndani tuko kibubu tu cuz mi mapigo ya moyo yalikuwa hayasomi vizuri.
Fasta kituoni tumefika akagoma shuka anataka nimsogeze kwake, nkamsogeza hapakuwa mbali sana, nkaingiza ndinga mpaka kwake, cuz kulikuwa na ua wa maana. Akagoma shuka tena nkamuuliza kisa nini, akasema chukua namba yangu nkachukua akasema piga nkapiga, ikasoma kwake. Akasema hapo safi. Ila nakuomba punzika kidogo kwangu.
Mi hapo natetemeka tu cuz mtoto alikuwa wamoto hatari. Nkashuka nkachoma ndani, nkakaa kama dk 2 mtoto katoka yuko mwelemwele anawaka sauti imekuwa nyingine anadai leo yuko mwenyewe mdogo wake hayupo, then ana hamu sana ya mambo yetu ya kiutu uzima. So sipaswi kukimbia ye ndo hivyo tena.
Na mimi huku sauti haitoki vizuri manake hapo kashagusa kunako, sijakaa sawa denda mdomoni, sijakaa sawa mtoto kanivua T-shirt... Eeeh!! Yakawa yakuwa kwenye sofa, kitandani, kwenye meza, bafuni, mara kule.
Nakuja kusituka kumekucha tayari. Nacheki pembeni mtoto anasema asante sana, unafanya kazi? Leo hauendi utakuwa umechoka sana, leo jumapili pia zingatia hilo. Kucheki simu mwenye gari kapiga simu kama mara mia hivi na kidogo. (NOTE : Si bwana
Kiduku Lilo).