Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Wewe tafuta aliechafuka kidogo Mkuu uoe.
Mim nipo katika utafutaj mwaka huu...ukitoa vigezo vyangu vyote navyotaka..bikra ni priority namba1...tho not necessarily..ila mwanamke bikra ni dhahabu..wew kama ni bikra kwel bas unachezea shiling ya dhahab kwenye tundu la toilet...ohooo
 
Kwaiyo... Unashaurije... Hi shilling nayo ichezea CHOONI
Mim nipo katika utafutaj mwaka huu...ukitoa vigezo vyangu vyote navyotaka..bikra ni priority namba1...tho not necessarily..ila mwanamke bikra ni dhahabu..wew kama ni bikra kwel bas unachezea shiling ya dhahab kwenye tundu la toilet...ohooo
 
Kwaiyo... Unashaurije... Hi shilling nayo ichezea CHOONI
Let the world know..kwa njia yoyote..hata kwa mpango mkakat.....

Ila we creditanalyst mim siamin....hata kama kwel bas narudia tena..unachezea shiling ndugu yangu...mim nakwambia kwel.
 
Kupanga lazima upange sema umepanga saa ngapi ndio ishu. Huyu jamaa anadhani kupanga ni lazima ukae wiki nzima. Kimsingi unapo-suggest mkalale chumba kimoja tayari unakuwa ushapanga sema ni kweli unaweza usiwe na uhakika wa kupiga mambo ila unajua kabisa kuwa huyu lazima atafunwe na mara nyingi mwanamke anapokubali kulala kitanda kimoja na mwanaume ambaye sio kaka/baba yake anakuwa ashakubali kuliwa na pia mara nyingi anataka kuliwa ni basi tu utamaduni haujawakuza wanawake kujieleza kwa uwazi kwenye haya masuala. Na ndio maana wachangiaji wa kiumeni wengi wanajiona kama vile walikuwa wajanja wakala mzigo kumbe hamna kitu wao ndio waliliwa na kama ume-note wanawake wengi hawajivunii hili suala kwa sababu hawategemewi kufurahia ishu kama hizi ila kimsingi mara nyingi sana ni wanawake ndio wanakuwa wanataka.

Kuna msemo unasema kuwa me kwa ke ni kama mbwa kwa chatu. Go figure
Ukiingia kwenye gari haiwezi kwenda yenyewe bila kuiendesha ingawa iko tayari kuendeshwa, kwa kifupi bila mwanaume kulianzisha haliwi mtu mzigo kwa hiyo mwisho wa siku mwanaume ndo anatakiwa kujivunia.
 
Back
Top Bottom