Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Hivi hakuna za bj za kimasihara ee...
Siku wakianzisha bj za kimasihara mnitagi nije kutoa ushuhuda

Sio mimi huyu..zilisikika balimi zikizungumza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakumbuka 2015 na rafiki yangu tulikuwa tunaelekea Tanga. Ubungo kabla ya kupanda basi kuna mdada tulikutana nae, simu yake ilikuwa inasumbua kwenye whatsapp, akaomba nimrekebishie, then kumbe bando lilimwishia hivyo nikaunga hotspot kwangu.

Muda wa kupanda basi nikakaa nae siti moja. Dah! mdada alikuwa kanona balaa, stori zilinoga mpaka sometimes nikawa namshika mipaja yake iliyojaa jaa kama kuku broiler, mara nasogeza mkono maeneo ya kati moyoni nikisema "Nyama nisiile basi hata mchuzi nisinywe?" dah! Nakumbuka sehemu za chakula na vitafunwa tulikuwa tunashuka na kununua, hadi watu wakawa wanadhani sisi ni wapenzi.

Alinipa contact bila shida na alishukia majani mapana, nami nilikwenda kushuka town na kuchukua chumba, siku ya pili nilionana nae town, nikamwambia situation niliyokuwa nayo jana yake!! Alinilaumu sana kwanini sikumwambia, muda huo ndio nilikuwa napanga kurudi Dar!! Akaniambia amekwenda kwenye harusi ya mdogo wake! Akirudi Dar atanitafuta!! Namba yake nimepiga block!!

Onyo
Tunapenda kula kimasihara lakini muda mwingine ukikikosa kimasihara achana nacho , huwezi jua Mungu amekuepusha na kitu gani.
Wewe ndio Mzembe wa kwanza kukuona kwenye huu uzi.
 
Nilipanga chumba mkoani Tabora , kilikuwa ni moja ya chumba cha uwani wa nyumba kubwa. kwenye hiyo nyumba kubwa ilitokea nilizoeana na mdada mrembo mmoja alikuwa anaishi chumba cha ndani na wadogo zake watatu ambao niliwazoea pia.

Kutokana na mambo ya uhangaikaji niliamua kuhama mkoa huo, sasa siku moja kabla ya kuhama ilikuwa usiku mida ya saa 4 nyumba kubwa washafunga mlango nikasikia mlango wa chumba changu unagongwa, nikaamka toka kitandani nikaenda kufungua mlango ila kabla ya kufungua nikauliza "nani anayegonga?" nikasikia sauti ya kike inajibu "mimi", nikaifahamu ni sauti ya mmoja ya wadogo zake yule dada.

Nikamfungulia mlango, ndani nilikuwa nishafunga funga vitu ili afjajiri niame zangu, nikamkaribisha kwenye kiti cha plastiki na kuanza kumuhoji kulikoni kunigongea muda ule? kunashida gani? akajibu kwamba dada ake alimpa nauli arudi kijijini kwa sababu aliahindwana nae kitabia na alimwambia leo hatolala chumbani kwake ndio maana kaja kuomba msaada wa kuegesha kwa leo tu.

Nikawaza kwamba asubuh nahama haina shida yeye kulala kwa usiku mmoja na hata akikaa kaa hapo si mbaya maana nilibakisha kodi ya miezi mitatu. Nikamkubalia ombi lake, tukiwa kwenye godoro tukawa tunapiga stori mara mvua ikaanza mdogo mdogo na radi zikaunga , binti akawa anaogopa radi, ikipiga mwanga wa radi akawa ananikumbatia kwa nguvu nami nikawa nampa sapoti ya kukumbatia na kupiga piga mgongo ili kumuonyesha yupo salama.

Mvua ilizid kuchanganya binti ameendelea kunikumbatia huku anaemea shingoni kwangu mara nikahisi mikono yake inasugua mgongo wangu. Kilichofuata ni show moja kali sana hata radi hatukuzisikia. alfajir sa 10 nikampigia dereva wa kirikuu akaja tukabeba vitu muhimu nikaliacha godoro ambalo yule dada amelilalia nikamuaga kwa busu moja kali, akasema tutawasiliana naondoka huku siamini kilichotokea usiku wa mwisho katika chumba cha uwani.
 
Back
Top Bottom