Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Nina kama wiki nne nipo bush kwa shughuli za kilimo. Mwenyeji wangu hapa ni mdogo wangu ambaye ni daktari kwenye hospitali ya Kijiji. Maisha hapa ni mazuri, Kijiji kimechangamka Sana. Nilikuwa nahitaji vibarua wa kunisaidia kazi za shambani ndipo mdogo wangu akanikutanisha na binti mmoja na akaniambia nikihitaji vibarua niongee na huyo huyo binti ana connection zote za hapo kijijini.

Mambo yalienda vizuri, mwanzoni binti aliniletea vibarua kumi Mara ya pili ishirini na kazi ya shamba ilienda vizuri Sana! Taratibu Yule binti akaanza mazoea ya kupenda Sana kuchati na Mimi hasa wakati wa usiku na nikichelewa kujibu au nisipojibu analalamika sana. Kwa kuwa yeye ndio msaada wangu niliamua kutokumkwaza nikaamua kuwa nae tu karibu, sikuona shida katika hilo. Akawa anakuja hata nilipofikia anapiga story na kurudi kwake.

Taratibu story zikaanza kuzagaa kijijini kuwa Mimi natafuna yule binti na mtu wa Kwanza kuniletea hizo habari ni binti mwenyewe. Akasema anakosa raha maana anasemwa Sana na kinachomuuma ni kwamba Jambo lenyewe sio la kweli. Nikamwambia huwezi kuwazuia watu kuongea chochote wanachoona kinafaa, fanya mambo yako kama kusemwa huwezi kumzidi diamond ila umewahi kumuona analalamika?

Basi binti akaelewa maisha yakaendelea. Hazikupita siku tatu kaja gheto usiku na hoja zile zile eti hali imezidi kuwa mbaya anasemwa Sana! Yaani anakosa raha, moyo unamuuma. Nikamuuliza kama utani tu au tufanye kweli ili wafurahi? Binti hakujibu. Nikasema huyu atakuwa anataka mashine huyu, leo simuachi!

Mzee nikamsogelea karibu mithili ya Mithuni Chakaroboti, nikamtazama usoni kwa macho ya matamanio, nikamshika paja! Nikakohoa kikohozi kisichosikika, muda huo binti anahema juu juu kama kinda la ndege. Muda huo najiona kama Akshey Kumar kwenye kuchi kuchi hotahe, nipo serious kichiz na Jambo langu. Hatimaye binti akanipokea, akazungusha mikono yake shingoni kwangu huku anatazama chini kwa aibu, mambo mseto!!

Sinaga busara kabisa kunako sita kwa sita, nikamfungua kanga aliyokuwa amevaa, nikakutana na sketi, nikaifungua kifungo dadeki mtu anatafunwa leo! Nikapekenyua chupi nikataka nianze kuichezea nanii yake ghafla mlango ukagongwa!

Ndio nikakumbuka nilikuwa na miadi na mdogo wangu (daktari) Kuna hela aliniazima akasema atakuja kuichukua usiku, basi akawa amefika akagonga hodi nikatoka kumpa hela yake. Akashangaa Sana maana hakuzoea kuishia mlangoni akifika pale gheto. Nikatoka kumsindikiza kidogo katika story story ndio nikamwambia gheto nipo na yule binti uliyeniambia nimtumie kupata vibarua.

Akashangaa Sana. Akaniambia yule binti kaathirika na yeye ndio aliyempima Mara ya Kwanza na huwa anampa ARV Mara kwa Mara pale hospitali. Akasema kama siamini kesho yake niende hospitali atanionyesha udhibitisho. Nilitoa macho kinoma! Kwa hiyo nilikuwa nakonektiwa kwenye grid ya taifa kirahisi namna hiyo yaani.

Sikutaka kupaniki niliporudi nikamwambia bi dada nimepata dharura kama vipi aje kesho maana Mimi mwenyewe natoka. Basi nikatoka naye, yeye akaenda kwao Mimi nikaenda zangu bar nikaagiza Serengeti light nne nikanywa weeeh... Nikalewa nikarudi kulala huku nikisali sala ya baba yetu uliye mbinguni.
Kwanza umeponea chupu chupu
Pili umekunywa Serengeti Lite 4 tu na Ukalewa
Tatu ukaenda kulala ukiwa umelewa. Aisee!! Naomba uniazime hiyo CPU yako Jombaa.
 
Daah alimanusra nile tunda kimasihara
Nakumbuka nilikua namlekebishia Maza Antenna Asa nyumba ya jirani iliyokua ikitizamana Nyumba ambayo Maza alipanga kuna anti alikuwa ananichungulia kupitia Dirisha Lake, sijui uvumilivu ulimshinda akabidi aje aniite nikafungie Fann lake Asa nikajiuliza Me nafeni Wapi na wapi

Ikabidi niende tuu hapo ilikua baada ya kufunga antena ya Maza,nimefika mle ndani akanionyesha fan lenyewe

Kumbe ni la juu(panga boy) basi cjatahamaki nashangaa amebaki na kanga moko

Me nikaendelea kulifungua lile deni ghafla nilivyolishusha nakuanza kulikagua pale kitandani kwake naye akapanda chaajabu akausogeza uso kwangu kabisa nami nikajifanya macho yako Bize kwenye fani
Amini usiamini yule dada alionionyesha kila dalili ya kutaka nimkanyage lakini mtu mzima hata hisia sikua nazo

Mwishowe ikabidi aniambie kama imeshindikana liache nitalipeka kwa fundi, kisha akaniamuru nitoke

Tangia hapo yule dada tukionana naye anasikitika sana cjui kwanini
hii kitaalam tunaitaje?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]baba sasa hizi ndo story za live bila chenga... unaogopa upelee daah.

Hata mimi mnara ulianz akusoma ghafla uliposema vipele eehe umelalaa chali...
Mkuu huwa nakuona jukwaa la afya kule unashusha nondo kitaalamu hivyo vipele vilivyotolewa maelezo na mkuu vinaweza kuwa vimetokana na nini?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]baba sasa hizi ndo story za live bila chenga... unaogopa upelee daah.

Hata mimi mnara ulianz akusoma ghafla uliposema vipele eehe umelalaa chali...
Hivyo vipele mnakutana navyo maeneo gani mpaka mjomba msumari anywee?

Will Billy
 
Mwaka 2007 niko mwaka wa pili Dzim nikanyakwa somo 1 la semester ya 2. Ilo somo dokta alitunyaka wanaume 6 na mdada 1 tu. Kiukweli timetable ya pepa ya somo hilo iliingiliana na harusi ya sista angu ikawa ngumu kuniwezesha kubalance mda wa kula msuli kisawasawa. Send-off ilifanyika alhamisi na pepa ilikuwa ijumaa, kwa hiyo nilijua wazi lazima nitaingiza nyavuni.
Upande mwengine kurudi kwenye sapu kuliniwezesha kula tunda tamu ambalo kwa kweli sitaweza kusahau utamu wake binti yule niliezoea kumwita D. D alikuwa ni msichana pekee aliekamatwa na dokta kwenye lile somo ambalo halikuwa gumu kihiivyo. Wiki mbili kabla ya pepa nikaanza kwenda kwenye vimbweta kujisomea lile somo maana kabla ya hapo nilikuwa nasomea gheto ubungo nilipopanga na mshikaj wangu ambaye yeye hakusapu somo hilo.
Siku moja naendelea kujisomea kwenye kimbweta mara meseji ikaingia kwenye simu yangu , kucheki inatoka kwa D, ameandiika hivi, "kaka IGA tafadhali nakuomba kama upo chuo uje room kwangu cha hapa Hall 3", nikamjibu "Ndio nipo chuo, nakuja kwako mda si mrefu dada D". Nikanyanyuka pale nikaelekea kwa dada D, nilipofika Hall 3 nikapanda ngazi maana yeye alikuwa anakaa ghorafa ya kwanza tu nikaenda mpaka kwenye mlango wa chumba chake nikagonga mlango, mda si mrefu aliufungua mlango nikakaribishwa na tabasamu la nguvu pale " IGA karibu ndani" nami nikaingia ndani huku nikijibu "Asante sana". Kiukweli D alikuwa ni ile taipu ya kina dada wakimya, mda mwingi class kajiinamia anajisomea tu, hakuwa na maneno mengi zaid ya salamu, pia hakuwa na skendo kama masista duu tuliokuwa nao class moja. Ukimwangalia rangi yake ni nyeupe, anamdomo flani hivi matata kama wa Angelina Jolie, D alikuwa amesuka twende kilioni ila alikuwa amependeza ingawa kavaa gauni la kulalia .
Basi nikakaa kwenye kiti nikamwambia " Nimeitika wito" , nae akaanza kunieleza kitu amabacho sikutegemea kukisikia toka kwake, akasema" IGA ujue hili somo nilifanya pepa kipindi niko P, na P huwa inanisumbuaga sana kwa hiyo siku weza kufanya vizuri, nilimfata dokta kumueleza jibu alonipa eti nikalale nae usiku mmoja ndio anipitishe nisipotaka basi nikifeli nirudi kusapu, kwa hiyo nikaangalia kijana wa class ambae naweza kufanya nae discussion ya hilo somo bila shida nimeona ni wewe!" akaendelea "au nimekosea?" nikamjibu "hujakosea, tutasaidiana tutoke, pili pole kwa masahiba hayo ya dokta ingawa kakukosa, ungejirahisisha tu angekula mzigo huo dada D", D akacheka pale afu akasema " Isingetokea". Tukapanga muda wa kusoma kuanzia Jumatatu ya wiki moja kabla ya pepa.
Jumatatu sa nne asubuhi baada ya kupata chai nikaenda kwa D. tulianza kujisomea pale hasa mitihanii iliyopita ya yule dokta. Mchana tukaenda kula tukarud tukaendela mpaka sa 10 nikamwamba ngoja nikapumzike ila kesho tuendelee. Kesho yake nikawahi sa 3, nikagonga hodi , D akajibu ndanii "IGA ingia tu" nikaingia, nikamuuliza ulijua kama ni mimi? akasema alikuwa dirishani ananiona navokuja. Tukaanza kusoma pale mpaka mda sa 7. Tulivorudi toka kula tukawa tunapumzika kidogo, mda huo nikachokoza D, nikamwambia "ujue D huu mwaka wa pili hujawahi kunitambulisha kwa shemeji wa hapa chuo" akajibu " hapa chuo sina mtu", nikamuuliza " mahandsome wote hawa umekosa wa kumchagua?" akajibu tena " mandsome wengi ni wauni sana naogopa wataniliza" akaendelea " bora hata nikuchague wewe maana unanisaidia kuelewa somo pia nakuona umetulia" , aise joto lamwili wangu lilipanda ghafla kwa jibu lile kama kungekuwa na kipimajoto kingesoma 40 degree C., nikamwambia "D jibu lako limeufanya moyo wangu kwenda mbio mno, naomba nikukumbatie", akakubali , nikamkumbatia akahisi ilo joto akasema "IGA mwili wako wa moto hadi raha" , nikapeleka mdomo wangu shingoni kwake nae akanyanyua uso wake kwa juu kama vile ananipa nafasi nifanye nachotaka, nikawa namchonya shingo huku nampapasa papasa mwilinii kwake, nikapanda kwenye mdomo tukaanza kupeana mate sasa, taratiibu tukahamia kitandani maana tulikuwa tumesimama. tukachojoa viwalo vyetu vyote nikaanza na nyonyo nikacheza nazo mpaka mda ote zimemsisimka. hapa mnara umesimama nae ameloana haswa tukaanza mambo taratiibu , tuvozid kuendelea kupeana raha nikaona miguu yake inasisimka kama inatikisika hivi basi nami ndo nikaongeza kasi ndani ya dk 20 wote tupo hoi. Nikamwambia asante D nae akasema asante IGA umenisisimua na kunifikisha ni miez mitatu sasa sijakutana na mwanaume. Nikamjibu " Asante D".
 
Back in the days ilikua Novemba 2014 baada ya kumaliza chuo nilikutana na binti mmoja mzuri uko Dodoma tulisafiri kwenye gari moja tukakaa sit za karibu kwaio stori za hapa na pale tukajikuta tumezoeana ndo akaniambia anaenda wilaya flani pale pale Dodoma anasoma chuo me nilishukia njiani yeye akaendelea safari lkn tulibadilishana contact Basi tukawa tunawasiliana Mara moja moja Kama marafiki Basi mwaka 2015 February me nilipata issue flani ya kufanya lkn ikawa inanibidi niende Arusha na contract ilikua ya miezi sita tu nikaenda Arusha maisha yakaendelea siku moja nikawa napitia tu simu yangu phone book ilikua ni weekend nikaliona jina lake nikajikuta tu nimemtumia sms hakujibu Basi mida Kama ya saa 11 jioni akanitumia sms akiniuliza namba ngeni me Nani nikaona dharau sikumjibu akapiga nikaona nipokee kuongea tu akawa ameijua sauti yangu Basi tukapiga stori nikamuuliza upo wapi now days ndo balaa lilipoanzia mtoto akajibu me nipo Arusha is like wow.....! Arusha me pia nipo Arusha ikawa zile umekuja lini ,unaishu gani tukawa tunashare experience ya matukio tangu Mara ya mwisho tumewasiliana Basi kesho yake ilikua Jpili nikamuomba tuonane Kama hatojali akasema atanambia kesho yake akanicheki yeye mwenyewe kwamba yupo fresh anaweza kuja nikamuelekeza mitaa nilipo akaja tukaenda sehemu flani tulivu nilishapanyia research before piga stori ,kula,kunywa almost tukashinda uko mpk jioni mtoto akaomba kuondoka nikamsindikiza akaondoka usiku wake akanipigia simu kunishukuru nimefanya siku yake imekua poa Sana na Kuna vitu hakuwahi kuviexperience kabisa akadai.Basi ikawa imeisha weekdays ikawa busy kazi Nini till another weekend ijumaa nikamcheki akanambia yupo moshi Kuna mzigo aliupeleka mama yake mdogo atarudi kesho yake Basi nikamwambia ukirudi make sure tunaonana nina zawadi yako akajibu poa thanks ntakutafuta kesho nikifika tu. Kesho yake mapema akanipigia akanambia yupo njiani Basi nikaenda chimbo moja ivi Kuna bar, restaurant na Lodge nikawa namsubiri uku nina refresh nikampa maelekezo akashuka akachukua Toyo akaja Basi akawa analeta stori za zawadi niliyomwambia kiukweli sikua na zawadi wala Nini kwaio nikawa namzunguka zunguka akigusia issue ya zawadi bahati nzuri pale zikaanza kelele za music tukawa hatusikilizani vizuri nikamuomba tuhame pale tuende shemu yenye utulivu kidogo akauliza wapi nikamwambia kwa ndani uku patafaa angalau akaguna akasema ndani Mimi siendi nikambembeleza akakubali nikalipia room tukaingia Basi nikawa tumekaa mbali mbali Kama alivyosisitiza wakati namset Kama saa 1 ivi akaamza kudai anataka kuondoka nimpe zawadi yake nikamwambia poa Ila nikamuomba nimkumbatie tu nifurai then nimpe zawadi. Yake aende akakubali nikamkumbatia nikapeleka ulimi shingoni mtoto akaamza kutetemeka shika shika makalio mtoto anaanza kutoa miguno uku ananitaka niache nikambeba weka kitandani toa blauzi nyonya Sana chuchu akaanza kuniomba nimsamehe alishamuahidi boyfriend wake anamtaja jina kabisa kwamba hatomsaliti sikumsikiliza kabisa nakuja kupima oil nakuta ashalowa kitambo nikamtoa tu pichu nikamweka ile style pendwa kwa wanandoa naweka rungu mtoto Ana kitu tight she was so sweet Ila alikua analalamika kwa sauti Sana baada ya raundi ya kwanza she decided not to go home tulilala pale namkumbuka Sana Hadi Leo.
"umsamehe Tena" [emoji1]

Mabaharia hawajuagi misamaha ndio Nini .

Wanatembeza Moto tu[emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]baba sasa hizi ndo story za live bila chenga... unaogopa upelee daah.

Hata mimi mnara ulianz akusoma ghafla uliposema vipele eehe umelalaa chali...
mkuu ungekua ni upele tuu wa kawaida kibaharia nisingemuacha, yule kachakaa yani ni km mabaka sijui ni ukurutu sielewi asee
 
Mwaka 2007 niko mwaka wa pili Dzim nikanyakwa somo 1 la semester ya 2. Ilo somo dokta alitunyaka wanaume 6 na mdada 1 tu. Kiukweli timetable ya pepa ya somo hilo iliingiliana na harusi ya sista angu ikawa ngumu kuniwezesha kubalance mda wa kula msuli kisawasawa. Send-off ilifanyika alhamisi na pepa ilikuwa ijumaa, kwa hiyo nilijua wazi lazima nitaingiza nyavuni.
Upande mwengine kurudi kwenye sapu kuliniwezesha kula tunda tamu ambalo kwa kweli sitaweza kusahau utamu wake binti yule niliezoea kumwita D. D alikuwa ni msichana pekee aliekamatwa na dokta kwenye lile somo ambalo halikuwa gumu kihiivyo. Wiki mbili kabla ya pepa nikaanza kwenda kwenye vimbweta kujisomea lile somo maana kabla ya hapo nilikuwa nasomea gheto ubungo nilipopanga na mshikaj wangu ambaye yeye hakusapu somo hilo.
Siku moja naendelea kujisomea kwenye kimbweta mara meseji ikaingia kwenye simu yangu , kucheki inatoka kwa D, ameandiika hivi, "kaka IGA tafadhali nakuomba kama upo chuo uje room kwangu cha hapa Hall 3", nikamjibu "Ndio nipo chuo, nakuja kwako mda si mrefu dada D". Nikanyanyuka pale nikaelekea kwa dada D, nilipofika Hall 3 nikapanda ngazi maana yeye alikuwa anakaa ghorafa ya kwanza tu nikaenda mpaka kwenye mlango wa chumba chake nikagonga mlango, mda si mrefu aliufungua mlango nikakaribishwa na tabasamu la nguvu pale " IGA karibu ndani" nami nikaingia ndani huku nikijibu "Asante sana". Kiukweli D alikuwa ni ile taipu ya kina dada wakimya, mda mwingi class kajiinamia anajisomea tu, hakuwa na maneno mengi zaid ya salamu, pia hakuwa na skendo kama masista duu tuliokuwa nao class moja. Ukimwangalia rangi yake ni nyeupe, anamdomo flani hivi matata kama wa Angelina Jolie, D alikuwa amesuka twende kilioni ila alikuwa amependeza ingawa kavaa gauni la kulalia .
Basi nikakaa kwenye kiti nikamwambia " Nimeitika wito" , nae akaanza kunieleza kitu amabacho sikutegemea kukisikia toka kwake, akasema" IGA ujue hili somo nilifanya pepa kipindi niko P, na P huwa inanisumbuaga sana kwa hiyo siku weza kufanya vizuri, nilimfata dokta kumueleza jibu alonipa eti nikalale nae usiku mmoja ndio anipitishe nisipotaka basi nikifeli nirudi kusapu, kwa hiyo nikaangalia kijana wa class ambae naweza kufanya nae discussion ya hilo somo bila shida nimeona ni wewe!" akaendelea "au nimekosea?" nikamjibu "hujakosea, tutasaidiana tutoke, pili pole kwa masahiba hayo ya dokta ingawa kakukosa, ungejirahisisha tu angekula mzigo huo dada D", D akacheka pale afu akasema " Isingetokea". Tukapanga muda wa kusoma kuanzia Jumatatu ya wiki moja kabla ya pepa.
Jumatatu sa nne asubuhi baada ya kupata chai nikaenda kwa D. tulianza kujisomea pale hasa mitihanii iliyopita ya yule dokta. Mchana tukaenda kula tukarud tukaendela mpaka sa 10 nikamwamba ngoja nikapumzike ila kesho tuendelee. Kesho yake nikawahi sa 3, nikagonga hodi , D akajibu ndanii "IGA ingia tu" nikaingia, nikamuuliza ulijua kama ni mimi? akasema alikuwa dirishani ananiona navokuja. Tukaanza kusoma pale mpaka mda sa 7. Tulivorudi toka kula tukawa tunapumzika kidogo, mda huo nikachokoza D, nikamwambia "ujue D huu mwaka wa pili hujawahi kunitambulisha kwa shemeji wa hapa chuo" akajibu " hapa chuo sina mtu", nikamuuliza " mahandsome wote hawa umekosa wa kumchagua?" akajibu tena " mandsome wengi ni wauni sana naogopa wataniliza" akaendelea " bora hata nikuchague wewe maana unanisaidia kuelewa somo pia nakuona umetulia" , aise joto lamwili wangu lilipanda ghafla kwa jibu lile kama kungekuwa na kipimajoto kingesoma 40 degree C., nikamwambia "D jibu lako limeufanya moyo wangu kwenda mbio mno, naomba nikukumbatie", akakubali , nikamkumbatia akahisi ilo joto akasema "IGA mwili wako wa moto hadi raha" , nikapeleka mdomo wangu shingoni kwake nae akanyanyua uso wake kwa juu kama vile ananipa nafasi nifanye nachotaka, nikawa namchonya shingo huku nampapasa papasa mwilinii kwake, nikapanda kwenye mdomo tukaanza kupeana mate sasa, taratiibu tukahamia kitandani maana tulikuwa tumesimama. tukachojoa viwalo vyetu vyote nikaanza na nyonyo nikacheza nazo mpaka mda ote zimemsisimka. hapa mnara umesimama nae ameloana haswa tukaanza mambo taratiibu , tuvozid kuendelea kupeana raha nikaona miguu yake inasisimka kama inatikisika hivi basi nami ndo nikaongeza kasi ndani ya dk 20 wote tupo hoi. Nikamwambia asante D nae akasema asante IGA umenisisimua na kunifikisha ni miez mitatu sasa sijakutana na mwanaume. Nikamjibu " Asante D".
Bro umesimulia kistarabu Sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]baba sasa hizi ndo story za live bila chenga... unaogopa upelee daah.

Hata mimi mnara ulianz akusoma ghafla uliposema vipele eehe umelalaa chali...
😂😂Nimejikuta navuta picha jinsi alivyo hadi jamaa kutoka nduki baba lazima mkuyenge unywee.
 
Back
Top Bottom