Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Nilichogundua watu wengi hawajui tofauti ya kutongoza na kula kimasihara...visa vingi watu wametongoza kabisa halafu wanatuambia wamekula kimasihara😀
Si ndo hapo sasa...watu wanachanganya sana visa
 
Duuh.! Jamani, mbona uzi umepuputika hivi.? C niliuacha Ukiwa Dodoma mbona umerudi mpaka Kibaha.?
 
Baada ya kusoma huu uzi nimejikuta najilaumu sana kwa kuishi nyumba ya kupanga kwa zaidi ya miaka mitano kipindi nasoma tena mtaa wenye watoto wakali halafu eti niliowala ni watatu tuu na tena wala sio kimasihara ni kwa kupambana sana. Kwakweli naona wivu sana jinsi wenzangu mlivyotafuna kiulaini. Nimegundua nilikua lofa sana.
Usijihisi hvy mzee, mambo kama haya hayana tuzo.
 
Back
Top Bottom