Mambo mengi sana yametokea tokea huu uzi pendwa ufungwe. Na mimi nimeona nitie baraka.
Ofisi ninayofanya kazi floor kama ya pili chini yetu kuna ofisi ya mambo ya furniture na vifaa vya ofisini, niliwafanyiaga wiring na set up ya network na computer zao zote mimi ndo nilinunua na kuziset. So wakiwa na shida huwa wananiita nashuka na lift na solve life linasonga. Muda umepita pita so nmezoeana nao kiasi chake.
Cashier wao ni mwanamke yupo late 30s, zile type za wanawake wanaozeeka vizuri, bado analipa sana. Mweupe, sio mrefu sana, ana mwili lakin sio kibonge, mguu anao lakini mchaga so kwenye tako sitapaongelea. Ni mcheshi sana na muda wote anatabasamu tu. Sijawahi waza kumla coz huwa nakosa pa kuanzia ingawa najua ashaachana na mme wake, yupo mwenyewe na watoto wake wawili, sio wadogo sana, zile age za primary, mkubwa yupo kwa baba yao. Kuna siku december 2020 nlikua kwenye ofisi yao nkawa napiga story na jamaa wa pale, katika utani utani jamaa mmoja akasema, unajua D (sio jina kamili) anakuelewa sana ushindwe wewe tu. Wenzie wakaongezea ongezea tukacheka yakaisha.
Baada ya kama siku tatu nkaenda tena pale, nkaonana nae, kavaa zile skirt zao za kazin zinaishia juu ya magoti, huwa napenda sana mwanamke anaevaa hivyo af awe na mguu (damn), ile namuangalia maneno ya jamaa nayakumbuka mzuka unapanda kinoma, nkaanza kumzingua kuhusu mambo ya mahusiano na kumsifia sifia anacheka tu anasema wewe mdogo wangu sana ujue. Nkasepa af baadae wakati anakaribia kuondoka nkarudi tena, nmekaa nae mpaka kafunga nkamsindikiza hadi stend, njian nkaanza upya kumsomesha nkamuomba tutoke weekend, ilikua ni baada ya kama siku mbili ndo weekend. Akasema haitawezekana simba wanacheza. Nkamfikisha stendi nkarudi. Njia nzima nmedinda kinoma.
Baada ya kama wiki nkakumbushia akaanza kuzingua. Nkaona anataka ntumie nguvu nyingi, nkauchuna nkaachana na hayo mambo ikawa tukionana ni story za kawaida tu.
Jmosi iliyopita tar 9 january mida ya saa 5 asubuhi hivi kanicheki whatsapp kaniuliza kama nipo job niende ofsini kwao, nkamuambia nipo off, akauliza uliza maswali nipo na nan sjui nini, nkamuambia nipo alone tu yakaisha. Baada ya kama lisaa kanipigia kasema akitoka ofsini saa 7 anakuja, nitume location na nimtumie na nauli ya uber. Nkatuma fastaa. Nkaenda kula na kushiba vzuri, manake mimi mvivu sana kula hasa nikiwa alone.
Kweli around saa 8 na dakika kafika. Kaingia ndani, amevaa vile vile kiofisi, skirt nyeus hivi na kitop hata rangi sikumbuki, kakaa kwenye sofa namuangalia mapaja yale napata mzuka kichizi. Tumepiga piga story pale nmeuuliza simba hawachezi leo, kacheka kanjibu asingekuja kama wangekua wanacheza.
Tumpiga show moja tamu sana mpaka saa 2 usiku. Nkamuitia uber akaenda kwake. Mbali kinoma, nmelipa karibia 25k, nmebaki nmefulia kichizi lakini fresh.
Kusema ukweli bado sinaipiga tena, now nataka niivizie nimt*ee ofisin kwao. Kila nkienda pale hii wiki namtaftia hyo timing naikosa. Siku nkifanikiwa sitaleta mrejesho humu manake itakua sio kimasihara tena hiyo. Lakini hawa wanawake ni watamu ****.