Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Ngoja tuendeleze uziii ..........

Back in days tupo katika chuo pendwa pande fulani mjini Dar , ulikuwa msimu fulani mvua inapiga vibaya mno sasa mbishi nilikuwa naishi bibo , naangalia muda , simu yangu inaniambia ni saa nane na nusu mchana afu saa kumi ninakipindi Yombo 5 , mbishi fasta nikaoga vaa kishikaji tuu huyoo ndani ya shato ( hizi ni gari aina ya coaster zinapiga root mabibo hostel - chuo main campus ) huko nje mvua kama kawa inafanya yake mbishi sina mwamvuli wala nini , kila kitu kitaafaamika mbele kwa mbele .

Pap watu utawala wakashuka , Darajani (kituo kilichokuwa kinafuata baada ya utawala ) , hapa tukashuka kundi la watu remember mvua inanyesha haijaacha hata kidogo, fasta namuona sister duu mrembo kafungua mwamvuli huyo taratibu anaelekea uelekeo nao elekea bila kuvunga nikaomba lift ( huu mchezo maarufu sana yale maeneo hasa kipindi cha mvua ) bila hiyana mrembo akaniruhusu nimsogelee ili tujifunike wote basi bwana asikwambie mtu mtoto alikuwa mzuri ananukia vibaya mno na kanoga achaaa , basi

Mbishi : mambo vipi ?
Mrembo : poa
Mbishi : unaitwa nani ?, ( in this case lets call her kimnana )
Mrembo : kimnana
Mbishi : umependeza
mrembo : asante
Mbisha : unasoma course gani ?
Mrembo : B .com in Accounting, weww unasoma couse gani ?
Mbishi ; bila kupepesa macho BA in Economics , wakuu hapa nilidanganya maana course niliyokuwa nasoma ni B .A Education lkn kama ningemwambia ukweli niliaminika kabisa asingekuwa interested na mimi kabisaa of course yes , i had to lie to her . waliopita yale maeneo wanaelewa jinsi ilivyokazi kwa mwalimu kumnasa mtoto wa UDBS


Basi baadaya ya hapo story mbili tatu tushafika yombo 4 ( hii ni lecture room ) basi mimi natakiwa niingie yombo 5 , palepale bila kulemba nikaomba namba mtoto bila hiyana kanipa , fyaaaa fasta nikapotea

Hii ilikuwa siku ya alhamisi , usiku nikamtext mrembo na kujitambulisha tena mtoto akaonekana kafurahi sana kuiona text yangu , basi siku ikapita then ijumaa jioni hii hapa , kama kamaida nikamcheki tena story mbili tatu mtoto full kujifanya wakishua na mimi bila kukosea full kuigiza vingereza kaaa vyotee . mwisho nika muuliza, j mosi atarudi nyumbani? akaniambia yeye yupo tu lkn mara nyingi huwa anakuwa very bored weekend maana huwa hana sehemu za kwenda ukizingatia yeye mgeni hapa jijini , pale pale nikamuliza vipi nawaeza nikakuchukua tukatembee beach kidogo ? , mtoto wowwwww beach ? I like going there , i cnt wait to go their with you .

Moyoni nikajisemea mungu wangu mi mwenyewe mgeni hata njia ya kunifikisha huko nshaisahau maskini ya mungu coz nilienda kitambo nikiwa mwaka wa kwanza , ila nikajikaza nisimuoneshe kuwa hata mimi wale wale , nikajibu alright let me take you there tomorrow , atleast we can refrest just a little bit, you dont wanna stay here in this hostel alone the whole weekend , right ?. bila kupoteza muda nikampigia simu mshikaji wangu fulani yeye ni mtoto wa mjini jiji lote lake sehemu gani uizungumzie asiijue ? Fasta akanielekeza gari za kupanda mbaka kituo cha kushukia , basi kutoka kwenye kituo mbaka coco beach pale haikuwa tabu sana maana ningeweza kupakumbuka tu vzr

Basi weekend ikafika mtoto kweli kajitupia anapendaza , mbishi kama kawaida licha kuwa ni teacher ( hapo mtoto hajui kumbuka hilo ) lkn aahhhh si haba na mimi nilikuwa nikiamua unaweza hisi mnyama jux kibongo bongo au mnyama fabulous pale kwa biden mbishi nikaongeza na kilinda mfuko kidogo ili nisije tia aibu na hivi loan board waliniwezesha basi nilikuwa mtamu asikwambie mtu , full kuvimba utaniambia nini bwana ? basi bwana hao mbaka macho hatua kadhaaa bahari ile pale tushatimba coco beach watu kaa wote , japokuwa na mimi nilikuwa mshamba fulani lakini niligundua kuwa mwenzangu alikuwa amenipita maana baadaya kufika pale hata kuingia tu kidogo kwenye maji alikuwa anaogopa , alipo jaribu kidogo kuingia wimbi lilipokuwa linakuja alitimua mbio bila kujali kuwa watu wanamuona . basi tulizunguka huku na kule chukua picha za hapa na pale( ingawa nyingi zilitoka kaa zimeungua hivi , sijui pana nini pale ) mbaka mida kaa ya saa kumi na moja na nusu hivi tulipokubaliana turudi sasa .

Kasheshe likaja bwana tulipofika pale kituoni ilituchukue daladala turudi zetu mabibo hostel , watu walikuwa wamejaaa pale vibaya mno gari ni za kugombania, kama msuli wako mdogo kupata gari hutoweza lakini pia kumbuka hapo mwanzo tulisha jifanya wakishua mimi na yeye hivyo ni wazi kabisa ile karaha tukajifanya hatuwezi kugombania gari , sasa tunafanyaje ? pale pale akili ya fasta ikaja , nikamwambia kwanini tusilale zetu tu huku huku ukizingatia kesho ni J. Pili Hakuna shule , mwanzoni mtoto akajifanya anapinga pinga ila kadri muda ulivyosogea na matumaini ya kupata gari kupotea akakubali tutafute sehemu nzuri tutulie , moyoni nikasema yapu point 3,muhimu nishazichukua .

Fasta fasta tukapata lodge fln hivi , hapo hatujala Nikamuuliza nikuletee nnn kama kawaida yao chipsi mayai , mbishi huyoo nikafika sehemu naona kuna mama ntilie pale basi nakaagiza ugali maharage wa buku plus mbga za majani za hapa na pale nikajishindilia vzr then nikamfungia chipsi mayai plus soda huyo nikarudi hapo ishafika saa tatu usiku kala kamaliza .


Ananza kuniletea mambo yake , you know i'm not your girlfriend so we can not sleep together , beside i have someone , hapo hata viingereza vyake sivielewi tena ila mimi nimetulia nampigia hesabu nifanyaje ili niweze kumrumbua huyu usiku huu. Basi nikajifanya na mimi gentleman sina time naye wale sishtuki na alichosema nipo bize nachezea simu nikamwambia usiwe na wasiwasi hakuna chochote kitakachotokea usiku huu . mara huyo kapunguza baadhi ya nguo kabaki na sidilia then chini tight tu taa wala hajazima ( ana leta uzungu kasahau around blacks never relax ) , moyoni nikasema huyu ananijaribu subili, mbishi wala sionishi kushtuka kaja kalala na mimi nikajifanya kulala lakini moyoni nawaza naliazisha vipi hapa , kitu alichojichanganya tumelala hivi kaniachia msabwanda wote nagusa haaa !! wala hanizuiii nikaanz nikamchezea weee tambaza mikono mwili mzima kaa chatu naona mtu anahemu kwa tabu pitisha mkono kule kwa bibi naona tayari pamekuwa wetland , nikajua tu tayari nikasaula mtu ananiangalia tu mwisho wa siku nikajilia vyangu bila hata kutongoza . asubuhi ananiletea tena viingereza vyake , muda huu wala siku msikiliza nikarumbua tena morning glory mbili . then mikakati ya kurudi ikaanza


Baada ya hapo tukawa kaa wapenzi lakini tulikuja kuachana baada ya yeye kuujua ukweli kuhusu mimi , maana pale chuo walimu wote wanapofika mwaka wa pili lazima wasome somo moja hivi linaitwa C T200 ( media ) sasa hili somo ukisoma mwishoni lazima ubuni kitu kinaitwa teaching aid ( kwa ajili ya kufundishia wanafunzi ), teaching aid yko inaweza kuwa mlima kwa wale wa geography , etc sasa bwana ilikuwa ni siku ya kwenda kuzielezea teaching aid zetu mbele ya madoctor nipo na kundi langu tumebeba teaching aid kubwaaaa asikwambie mtu ili tupate marks nzuri kumbe bwana baby yupo juu ya ghorofa pale yombo 5( anasubili pindi ) ananiona navyo angaika na mzigo ule tumetokea pande za changanyikeni kule , na ule wakati pale chuoni ilikuwa ukimuona mtu yoyote anaangaika na yale madude basi moja kwa moja unajua huyu ni mwalimu,

Basi nisikia text imeingia kucheki baby , kufungua niisome nakumbana na swali , " khaaa kumbe wewe ni mwalimu ? " sikujibu haraka haraka nikasubilia nimalizane mambo ya kutafura,marks kwanza then jioni nikampigia ili nimpange na upya mtoto asije akapeperuka coz alisha amini mi napiga mauchumi pale , napiga simu mtoto hataki kupokea , wala mesegi zangu hajibu , jaribu kupiga tena olaaa tuma text whatsup nakuta nilishachezea block kitambo , nikijesemea potelea mbali na huo ndyo ukawa mwisho wetu.
"Around blacks never relax"
 
kuna dada huyu alikuwa anatembea maeneo ya ubungo kabla barabara hazijaharibiwa. Bwana ee yule dada akateleza si akaangukia dushe kwa bahati mbaya bila kutegemea sasa hivi analea mtoto ambaye hana baba

[emoji849][emoji849][emoji849]acha bana
 
kwa wanaume ni mara chache sana kufanya mapenzi kwa bahati mbaya, mara nyingi ni kwa kusudia.
wanawake wao wana nafasi kubwa sana ya kufanya mapenzi bila kukusudia.

ungewaita wanawake wa JF kwa majina ili waje watiririke.

Kama inakuja kama haiji hivi
 
Niliwahi pia kupiga kimasihara mdada mmoja humu sema namheshimu sana. Sijui kama atanipa ridhaa nieleze lile tukio!!
Tulikulana kimasihara kweli kweli, ile mara ya kwanza.
Mzee baba unakumbuka ule Uzi wako
Daaah nilipiga mademu wawili kupitia ule Uzi aise
 
Back
Top Bottom