Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Achana nae, anaona wivu sababu hakuwa yeye. Nasubiri muemdelezokulikuwa na umhimu gani kaka angu kwenda kumpokea mkewe aende na rafiki yake? pia kulikuwa na umhimu gani kwenda na mgeni ikiwa anaenda anarudi ?
Wazo la kukutwa halikuwepo coz kutoka bunju kwenda ubungo ni mbali so muda ulikuwepo wa kutosha
Pia amini unacho kijua...story yangu mimi haimforce mtu kuamini nilicho kiandika
Nahisi uzi ulitutaka tushare namn ya kula tunda kimasihara maan yake kula bila ( makusudio )
[emoji3][emoji135]
Darlin