Hakainde
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 2,401
- 2,872
Majuzijuzi tu kwenye Show ya Wasafi Festival kulikuwa kuna Bonge moja la shazi, ila muda mrefu Show za wasanii huwa siendagi baada ya kumaliza Chuo. Kwa sababu ilikuwa weekend niliamua kutafuta kiwanja cha kupiga mitingasi a.k.a Bia maeneo karibu na tamasha nimepiga hadi saa 9:00 usiku.
Wakati narudi home nikapita maeneo karibu na show ilipokuwa inafanyika nikakuta mabinti wawili walikuwa PISI za maana mmoja anambembeleza mwezake ambae alikuwa analia kwa kwikwi, nikapaki gari pembeni alafu nikashusha kioo nikawaita na kuwauliza kulikoni? Akajibu mwenzake ameporwa simu muda si mrefu na Wezi wamekimbia, nikampa pole ya kihaina nikawauliza wanaenda wapi niwapeleke wakasema wanakaa Nyegezi, nikawaambia nami nakaa hukohuko pandeni kwenye gari twende maana mazingira si salama, mara wakasita kidogo, nikawaambia ondoeni hofu, mara wakapakia safari ikaanza kwenda Nyegezi ila Binti aliporwa simu akawa analia chichini ni kamwambia kwani simu ya bei gani akadai ya kitochi nikasema mbona simu ya bei rahisi hivyo kama vipi nitakununulia.
Kufika maeneo ya Nyegezi kiutani utani nikawaambia njooni Gheto basi mstue hata glass ya wine then msepe, wakasita wakasema labda kesho, mi nikakomaa mara wa wakakubali kufika Gheto mzee nikawapa Drostdy wine wakaipiga kwa pupa ukichanganya na Miserengeti lite waliyopiga huko awali wakawa wamechangamka kwa muda mfupi , na jinsi sebule ilivyopendeza Sofa la leather, chini kapeti manyoya na ka AC kwa mbali nikaanza kushika paja naona kimyaa, nikaingiza mkono kati kimyaa nikajisemea leo ndio leo,
Nikaanza kunawa wote wawili Mzee hamna anaeutoa mkono. Mara paa Drostdy wine imeisha nikawaambia malizieni hii ZAPA sio kali kumbe ndio nimechezesha dishi la migenye, Mzee Baba nikajipigia wote wawili at per sijui ndio mnaita threesome mpaka asubui yaani siku hiyo nguvu sijui niliipata wapi nilipigaa balaaah ndio ikawa kama kamchezo nikiwa na hamu nawaita tu najimegemea tu. ASANTE WASAFI FESTIVAL
Aisee