cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Muongo huyo hata hajaweka lol.Alinizuga eti kasha weka uko juu nimetafuta uzi mzima siioni [emoji849] T 1990 ELY
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muongo huyo hata hajaweka lol.Alinizuga eti kasha weka uko juu nimetafuta uzi mzima siioni [emoji849] T 1990 ELY
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa atoe yowe kwa nguvu hivo?Ni hatari sana hyu jamaa
Ikoga hvo mara ya kwanza kwa mtoto wa kiume kwanza aga kutia anakuwa ajui
Pale alikuwa natumia uzoefu wa kuadisiwa maan uo ukizidisha kiwango unaboa kbsaaa [emoji23][emoji23] mapenzi hayataki pupa
Alikuwa na wenge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa atoe yowe kwa nguvu hivo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee lolAlikuwa na wenge
MmmhNi hatari sana hyu jamaa
Ikoga hvo mara ya kwanza kwa mtoto wa kiume kwanza aga kutia anakuwa ajui
Pale alikuwa natumia uzoefu wa kuadisiwa maan uo ukizidisha kiwango unaboa kbsaaa [emoji23][emoji23] mapenzi hayataki pupa
poti ulitakiwa uisikie kwanza kula kimasihara ni kupata mbunye kwenye mazingira hukutarajiaHiyo wala sio kula tunda kimasihara, huko ni kusimamisha minazi ni kawaida sn makuruta kugongana maporini mkienda kudoji
.......mkuu husomag maandikoPeleka mk#$&u wako huko... cku za mwisho uliziona kwa nan
kuna Bajaj pikpik ya tairi mbili, Bajaj tairi tatu na Bajaj gutaBajaji gani hyo inabeba dumu 30 za maji?
HahahahaaaaEnzi za ujana wa kuishi geto mitaa ya tukuyu mwisho wa mji .wanaopajua watakua wanaelewa nazungumzia nini.
Basi siku moja geto la jirani wadau waliibuka na demu mkali balaa.mimi nmetoka mizunguko yangu ile naingia geto nikaona sendo za kike mlango wa jirani na humo wanakaa wana tu.
Nikaona isiwe kesi nikaingia kama kawaida yetu.kufika kuna manzi anacheki tv.
Akili ya kazi ikaja.nikamwambia yani kumbe ni wewe? Akauliza kwani unanijua? Nikamwambia sikujui ila kuna jambo linaweza kukupata halafu mimi nakuonea huruma.
Akauliza kuna nini? Nikamwambia hawa jamaa wanataka wakupige mtungi/kolabo/future.demu akashtuka.akasema nisaidie.
Basi nikamtoa mule geto fasta sana na kwenda geto la bro alikuwa kasafiri.nikampitisha dirishani maana funguo hazikuepo.
Humo nikajilia vyote vya uvunguni na mezani.huko wana walinitafuta usiku kucha hadi home walifika.asubui walinitukana sana
Na ww umefanya KAZI saa ngap maana muda ulio tumia kusoma ilo bandiko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kila mtu ashinde match zakeLeo umefanya kazi saa ngapi?
Maana muda uliotumia kuandaa hilo andiko sio muda mchache,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ulisoma SAUTI mkuu?Wanawake sometimes wana mambo!!!?
2015 nipo first year chuo fulani,sikutaka kuishi hostel za chuo na madogo,nkaamua kutafuta chumba mtaani.
Ile nyumba ilikuwa Mpya,kwahiyo wote tuliopanga pale tulikuwa wanafunzi,wakati nafika kwenye hiyo nyumba kulikuwa na vyumba viwili havijapata watu,nikachukua kimoja kikabaki kimoja.
Baadae nikapata jamaa mtu mzima ananizid Mimi kiumri tukaishi wote pale gheto.
Baada kama ya wiki mbili akahamia demu mmoja mzuri muislam aliyechangamka(Kuna siku alkuwa anatupia skin tight na shungi kama kawaida),Mtoto alkuwa kaumbika vizuri mno hipsi za kutosha,tako zuri,sura ipo na rangi pia.
Alihamia akiwa na vitu vichache sana na kigodoro kidogo cha 2.5*6,afu alkuwa mzuri hivyo lakin hakuwa mtu wakutaka vikubwa na alkuwa na marafiki wa kike wale washamba shamba na mshikaji mmoja wa kisukuma wa kupiga nae book,mwanzo nikihis jamaa anatumia Kumbe alkuwa mshika pembe tu.
Baadae baada ya huyo demu kuwa hapo nikaja kusikia kistory kuwa wakati anakuja chuo alikutana na mwanajeshi ndani ya basi,wakapangana huko mpaka mwanajeshi akampangia chumba na kumnunulia vitu vyote vya ndani,sijui baadae walizinguana nini demu akaamua kukimbia geto na kuacha kila kitu ndo akaja hapo tulipokuwa tunaishi kuanza maisha mapya.
Yule demu akaanza mazoea ya kutuomba jiko la gesi kila akitaka kupika,na akaanza kunizoea na kunitega,Mimi huwa nivigumu mtu kunizoea inabidi utumie nguvu za ziada maana sinaga story,ila tayari walikuwa wameshazoeana na mwenzangu sana na ndo Mara nyingi alkuwa anamwazima jiko,hiyo tabia nilikuwa siipendi maana alikuwa anatuongezea gharama sisi za kimaisha,siku moja akajichanganya jamaa yangu hakuwepo,akaja kuniomba Mimi jiko,nikaamua nimweleze kuwa "unachofanya sio poa,huoni kama unatuongezea gharama za kimaisha", akamaindi sana na kulirudisha jiko kwa kulirusha akaondoka,akaninunia nikasema fresh sina muda wa kuchekea kupe Mimi wakati inaninyonya damu,zikapita kama wiki 2 hakuna kusalimiana hakuna kusemezana.
Baadae akajirudi,akanisalimia,siku nyingine akaja gheto akatueleza kuwa tumpe jiko afu apike chakula cha pamoja,tukampatia jiko akapka msosi safi sana,siunajua tena watoto wa pwani jikoni hawakoseagi siyo hawa wa kwetu kanda ya ziwa hata hawajui carrot inawekwaje.tukapga msosi kila mtu akajua ratiba zake,
Katika kushare share vyombo,siku moja nilivyomaliza kuosha vyombo nikaona Kuna kijiko chake,nikaamua nimpelekee nikagonga hodi kama Mara tatu kimya,wakati najua yupo ndani,sinikaamua kufunua pazia,aisee! Nkamuona yupo na kyupi tu na anamalizia kufunga sindiria,nikamwambia Kumbe upo,nkamwambia nimekuletea kijiko akasema kiweke hapo nikakiweka nkarudi room,nikaanza kuwaza ina maana hakunisikia,alafu mbona nilivyofungua pazia hata hakushituka,nikajisemea kuwa inabid nirudi tena maana zile underwear zake na rangi yake vilinichanganya sana.
Nikapga hodi tena,akanikaribisha,nikamkuta kaweka khanga,nkaanza kumsifia pale yupo anatabasamu tu,akaamua kunisogelea na kunisukuma ili nitoke chumbani kwake,nikamkamata kwa nguvu,nkaanza kumpapasa akatulia na kuanza kuhema,nikala mzigo ingawaje sikupga vyema.
Kumbe demu mwenyew alkuwa alishantaman siku nyingi,maana anasema akiwa dar aliwah kuwa na mshikaji alkuwa anamkaza alkuwa mwenyej wa mwanza na jamaa alkuwa anamkaza vizur,kwahyo alitengeneza kitu kichwan kuwa wanaume wa kanda ya ziwa wanakaza haswa,ingawaje hata Mimi sikuiangusha lakezone tulipo-rematch nikiwa nimejiandaa mazoezi kama yote niliua
Kweli dunia INA maajabuHome kuna mdada alikuwa amepanga, disemba moja akaja mdogo wake likizo, namba nane ya kuchongwa,kumtongoza siwezi,kila mtu anammendea, siku ya siku, saa sita sita usiku nimembonji nasikia mlango wa gheto unagongwa, kufungua dada mpangaji huyu hapa akasukuma mlango na kuingia ndani.
Akaniomba, amepata mgeni hawezi kulala na mdogo wake anaomba aje kulala kwangu saa 11 mgeni wake akiondoka atarudi kulala,sikuweza hata mjibu kitu, nilimuangalia tu huku mdomo uko wazi.
Namba nane alipoingia gheto mi niko mezani najifanya nasoma, walah sikumbuki nilikuwa nafanya nini pale mezani,kuwa kichaa ni kazi rahisi sana, yaani nilikuwa busy sana lakini hakuna kitu nilikuwa nafanya hata kimoja. Hakugonga,alifungua mlango akaingia akaufunga na kuugemea, sikuweza hata kugeuza shingo kumuangalia, haya mambo yalikuwa yanatokea kwa speed sana nadhani nilipata mfadhaiko,
Akasalimia, mambo!! ndo najifanya kushtuka nikakutana na tabasamu la hatari,sikuweza kujibu. I was dumb founded.
Akaniambia naomba nilale, kajifunga kanga,macho yangu kifuani utafikiri naangalia ghorofa linaanguka, siwezi kusaidia kitu,akarudia naomba kulala Mussa,bado sikuweza kujibu, nikaangalia tu kitandani,akacheka akapanda kitandani,nikarudi mezani.
To cut the story short,baada ya kama nusu saa doing nothing,nikapanda kitandani,nikaelekeza kichwa huku kwenye miguu yake.mzungu wa nne
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke akiongea neno kutia huwa ananipa mzuka sana
Mkuu ni wewe umeandika hiviInaitwa kegel..
huyo mwana ni mjuaji afu mshamba flan
Kegel au kejel nisaidie mjuajiWe kuna kitu huelewi na huezi elewa maisha yako yote kama hutàhitaji kueleweshwa, Mitandao ipo wazi sana, search "kejel exercise", afu ninamashaka kama unasimamisha kishababi, ukiwa mwanaume kamili lazima rungu livimbe na kunesanesa, angalia usijepewa watoto si wako mkuu,
Acha wivu wa kifikra