Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Khumbu kawa wa kumsaka kwa manati,ngoja turudi kwenye Uzi wetu pendwa.

Nipo zangu arusha,maisha yakazingua balaa,nikawaza kujiua,kwetu ni mwanza.
Ili nisiwape shida ndugu zangu kusafirisha maiti,ikabidi nifunge safari kwenda mwanza afu nilale gest pasipo kufika nyumbani,nitafute pori ninywe sumu nilale,ndo nilikuwa nimepanga hvyo.

Asubuhi nkatoka gest,nikaenda maduka ya dawa za mifugo,nikanunua dawa ya kuonyea mifugo kichupa kidogo mils 50,nikapita duka jingine nikanunua maji nusu lita,nikapita tena kwenye kimgahawa nikanywa chai ya jero,nikatembea kutoka nje ya mji kutafuta pori zuri ambalo sitaonekana nikifanya yangu.Hapo ni wilayani(sitapataja)

Nikapata sehemu iliyotulia,nikachanganya ile dawa(sumu) na maji,ikawa kama maziwa,nilipata shida kuanza kuinywa ila baada ya dakika kadhaa nikajikaza nikainywa yote,nikalala,ilikuwa ijumaa,nimekuja kushituka ilikuwa ni asubuhi kama saa moja nilikuja kugundua baadae kuwa ilikuwa ni jumapili,nahisi njaa sana,hata kutembea siwezi,napepesuka tu kila nikijaribu kutembea,midomo inamagamba,nikajitahid kujivuta vuta toka mule kichakani kwa kutambaa,nikafika sehemu ya wazi nikamuona mama mmoja nikaanza kumuita kwa ishara ya mikono hata hakuja,aliondoka.

Baada ya muda naona watu wengi wanakuja nilipo,waliponifikia wakaanza kunihoji,nimechoka mbaya hata kuongea siwezi,wakanikokota mpaka kwa mwenyekiti,watu wakazidi kuwa wengi,Kumbe yule mama kanishitaki Mimi kama mwinzi wa mihogo,kwahyo anachotaka nichapwe na alipwe,kwanza wakati huo sikumbuki hata hapo nipo wapi,wakaanza kunihoji,nikaficha nikawaeleza kuwa mi nmepotea nimejkuta tu huko porini sijui nilifikaje,mwenyekiti alinitetea sana,mwisho wakaamua wanipeleke polisi na tupite radio ya jamii ili nitangazwe ndugu zangu waje kunichukua.

Zikatafutwa boda boda,safari ikaanza ,tumefika kwenye kituo cha redio wakahitaji hela ya tangazo kwanza,mwenyekiti akakosa,baadae tukatoka nje ili twende polisi,pale nje tulikaa sana,watu wakaanza kuwa wananishangaa pale na mwenyekiti akawa anawaeleza maswahibu yangu,wengine wakawa wananiuliza nyumbani niwapi nikawa nataja ila hakuna anaejua,nikawaekeza mama yangu ni mwalimu anafundsha shule Fulani, wakawatafuta walimu pale,wengine wakaanza kupiga simu,mpaka wakafanikiwa kumpata mama.

Kwenye lile jengo la redio Kuna bank ilikuwa imepanga pia hapo,sasa wakati nipo hapo watu wananiuliza uliza,akatokea binti mmoja mzuri balaa Toto la kisingida kutoka kwenye ile bank alkuwa kaajiriwa pale bank,

Na Yale matatizo yangu,lakini nilivyomuona binti huyo nilijisemea kimya kimya "hili Toto ni zuri hatariii".
Demu akasogea tulipokuwa,akaniangalia kisha akaniuliza kama nimeshakula,nikasema bado,akaagiza chakula cha 1500,nikaanza kula pale kiaina.

Sikumaliza chakula,Mara mama akatokea,akanichukua,Kumbe walkuwa wanafahamiana na mama,maana mama ni mtu wa vikundi kwahiyo wanaaccount kwenye bank hiyo pia huchukua mikopo hapo .

Nikapelekwa hospital, baada ya siku 3 nikaruhusiwa.
Siku moja demu akaja nitembelea nyumbani,akaja na jamaa mmoja n mtangazaji wa redio pale barobaro sana huyo jamaa,
Baadae wakaondoka tukawasindikiza,waliniletea mapocho pocho mengi sana kama vile Mimi ni manzi,

Baadae demu alipata namba yangu akaanza kuwa ananipigia simu kunijulia hali,
Siku moja kaka ake ni mwanajeshi aliwatembelea,demu akamshahuri mama nikaombewe na kaka yake huyo,jamaa n mwanajeshi lakini n mlokole.
Tukaenda na maza mpaka kwao demu,familia ya watu wachache tu,misosi kama kawaida,baadae nikasalishwa sala ya toba.

Ikawa sasa Mara nyingi mama ananiletea habari za kusalimiwa na huyo demu,na siku moja akaniahidi atanitembelea.
Kwel bhana,one day Mtoto huyu hapa katokelezea kinyama,afu nyumbani nipo mwenyew tu.
Akanisifia kuwa mwili umerudi,Kumbe Mimi ni mzuri(handsome).
Ikafika muda anataka tuselfie,Mara tukizaa Mtoto atakuwa mzuri sana,hapa sasa ndo nilipata shoti ilinipga mwili mpaka ubongo,tatizo nimechoka kuandika.
Kifupi nilkula mzigo tena kwa kuuza mechi.
Penzi lilikuwa tamu sana,kifupi binti anasema alkuwa na kazi lakini alkuwa hajayafurahia maisha.

Kumbe alikuwa na certificate baadae akaamua kwenda kusoma diploma penzi likafifia,Mimi siwezagi kulea penzi la mbunye ilioko mbali kwa kutumia simu.
Mkuu ungekufa hiyo mbususu usingeila mkuu
 
Ni kwel,baada ya tukio hilo,najihis mungu ananipenda sana,ingawaje sometimes huwa nahis labda nishakufaga siku nying ila Haya ninayoyaona na kuyafanya n maisha ya pili kama mfu
Hivi mkuu ultaka kujiua kweli au masihara??
 
KIMASIHARA WAKATI WA MVUA

Nipo na jamaa yangu tumepanga gheto mitaa fulani mizuri ndani ya kisongo,
Kisongo Kuna tope na vumbi lakini mitaa ile ilikuwa imemwagwa kokoto toka kwenye lami mpaka gheto.

kuna sheli pale opposite na hema la Namibii Geodavie,nyuma ya hiyo sheli Kuna baa tulikuwa tunapenda sana kwenda kucheki mpira na kula mbuzi na kunywa vinywaji vikali.
kulikuwa na mhudumu mmoja mzuri,jamaa yangu alitokea kumwelewa sana,akachukua namba na wiki end moja akamkaribisha ghetto na kweli demu akaja jmosi alkuwa off.

Alivyofika gheto alitukuta wote tupo Mimi na jamaa yangu,tukaandaa msosi tukala tukapiga Piga story pale,Mara jamaa akaanza kunisifia kwa yule demu,mi sikuwa muongeaji sana nilikuwa nachangia Mara moja kwenye story,kasifia sana na kuniforce niongee ongee,nikawa sirespond sana alivyokuwa anataka,demu alkuwa anacheka tu,Mara akaanza kunitumia text kuwa mwana tongoza demu huyo,Mara mi natoka niwaache,nilijikausha hata nilikuwa sijibu text zake maana niliona demu anaweza kutuhis tunachat kumsema, hivyo tungeonekana maboya.

Baadae demu akaaga tukamsindikiza,ile tupo njiani nikaanza kumsaminisha demu nikaona miguu ipo mizuri tu,na mtako Ulikuwa poa tu ingawaje sio Mkubwa sana ila kalikuwa kamtako kazuri tu,kifua fresh tena vichuchu Dede,afu demu alkuwa mtulivu polen fulani.

Siku moja naingia hapo baa,nikamuona ila nikakausha kama sijamuona,kulikuwa na mpira,halftime nikatoka demu akaniona akaniita,tukaongea kdogo kujuliana hali,akaniambia siku akipata muda angekuja tena,nikaachana nae.

Wkend nyingine nipo gheto,akaja huyo demu,jamaa yangu hakuwepo,nilikuwa nampango wa kula chakula simple ugali na yai la kukaanga,ikabidi nibadili.
Napenda kula chakula kitamu,ingawaje sijuagi kutengeneza chakula kizuri,
Kwahyo nilivyoona Kuna Mtoto wa kike,ikabid tutoke tukahemee,mazaga zaga ya maana.

Tumerudi gheto,Mtoto akakorofisha bonge moja la msosi,muda wa kuandaa msosi ndo nilianza kuwaza kumpiga mzigo,maana zile inama inuka Mara kukunja nguo wakati wa kupika,zikanivutia mwanaume, na msosi wake ulivyokuwa mtamu ndo akili ikavurugika kabisa,Mtoto kamaliza kula,akaomba akaoge.
wakati yupo bafuni nikaanza kujipanga namna ambavyo nitampanga anipe mzigo.
Amerudi nikasita kumwambia,mpaka akataka kuaga kuondoka.
Kilichonisaidia ni kimvua kilianza kunyesha,ikabidi atulie akisubiri,hapo nikajikaza,nikamsifia kidogo nikamweleza toka siku ya kwanza anakuja geto vitu vizuri nilivyoviona toka kwake,nikamsogelea na kuanza kumshika shika mkono,Mara kichwa,Mara miguu Mara tumbo,busu nyingi nyingi.
Nikamuomba twende room, anaenda kama mgonjwa vile.
Tukajitupa kitandani,nikavuta blanket langu zito la mtumba,tukajifunika,na kutoa nguo zote,Mtoto wa moto moto.
nikaanza kula mzigo ndani ya blanket huo utamu wake hata angekuja jiwe kunipa uwaziri nisingetoka,na kile kibaridi ndo kilinogesha kabisa utamu wa tendo,ila sikuuza mechi.Nilimpiga viwili lakini ile mechi haitasahaulika.

Penzi lilinoga mpaka akaacha kazi,akaja gheto,akawa kama mke kwa miezi 8,baadae nikawa nimerudi mwanza.
Tunawasiliana mpaka Leo ingawaje ameshaolewa,yupo domu.

Hii masihara mpaka Leo huwa naivutia hisia nikiwa na kwea mnazi kwa mkono mmoja.
Watu mna roho ngumu
 
Nliwahi liwa kimasihara kipindi cha babu wa loliondo,[emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
Kaka wa besty yangu. Njiani tuligombana sana na besty wangu pombe hizi, so tunafika kule usiku sehemu ya kulala ni gesti tena tulipata chumba kimoja, ilitakiwa mm na besty kitandani then kaka yake sakafuni.
She pushed me out na baridi yote so her bro akaniita njoo tulale hapa chini, na alikuwa na shuka m1 we shared the shuka and zile touchin and 1 thing led 2 the other. Oh loliondo
Unakimbizwa na nani? Kaa tulia usimulie vizuri hiyo kimasihara watu tukuelewe!
 
Ilikuwa 2015 nililiwa kimasihara na shemeji yangu, sitasahau.
Nilikuwa na boy wangu kule kanda ya ziwa, so aliniita nitamtembelee wkend moja. Akatuma nauli nikapanda basi nkafika kule saa 12 jioni. Yeye alikuwa anaendesha tax. Nilipofika stand kumpigia akasema kapata mteja kampeleka fasta na kurudi. Akamwambia rafiki yake akaja kunipokea akanipeleka ghetto.
Nikajaa na Shem ghetto story za hapa na pale. Baby harudi muda unazidi kwenda. Muda ya SAA 3 akapga simu amekamatwa yupo police dooooh.
Shem akanitoa hofu kuwa niwe na amani. Akaniletea msosi nikala then nikaoga, Ye akatoka akanambia nifunge mlango atarudi kesho asubuhi, kweli akaondoka. Baada ya nusu saa akapiga simu nifungue mlango kuna kitu amesahau!!!! Nikafungua mlango akaingia ndani kilichofuata nililiwa kimasihara. Hadi leo ni mume wangu tuna watoto wawili.
Huyo best friend wako naye alikuwa anakuja kula mbususu yako au?

Na baada ya kuolewa bado mko tu peace?
 
Hiv hamn thread ya Hawa ndugu zetu kuliwa tunda kimasihara?🤔🤔🤔 kwa nini wanaume tu ndo wanakula kimasihara
 
Habarin,npo Dodoma mwenye connection anisaidie nikapige mbususu....

Tuvae barakoa
 
Yule boy wangu baada ya kuja kugundua rafiki yake alikula mzigo akanipotezea. Huyo rafiki yake (mume wangu) ikabidi tuingie rasmi kwenye mahusiano na badae tukafunga ndoa. Tuna amani sana.
Uwe makini sana, kuna vitu huwa vinakaa ndani ya mioyo ya watu vinakuwa kama havipo (wamevitunza moyoni hivyo kwa nje havionekani), mkianza kukwaruzana vinaweza kuanza ku-backfire!
 
Yule boy wangu baada ya kuja kugundua rafiki yake alikula mzigo akanipotezea. Huyo rafiki yake (mume wangu) ikabidi tuingie rasmi kwenye mahusiano na badae tukafunga ndoa. Tuna amani sana.
Ilikuwaje akagundua nani alienda mwambia au huyo mume wako sasa alienda jigamba kwa mwenzie?
 
Back
Top Bottom