Mtwara Smart
JF-Expert Member
- Jun 6, 2019
- 666
- 1,492
We Jamaa Hiyo Ni NEG MzeeInaendelea......
Sasa yule Dada akawa ananiangalia sana aisee namimi nikawa nampimia kisela lakn.. Baadae nikamsoma yule dem nidanga sema danga classic maana watu walikua wakimuita anajisheua sheua ..
Kwasababu nilikua nahofu nawadada wa pale club Mimi nikawa Niko busy naangalia gem ya City na swansea FA .mshkaji alie kua na yule Dada akasepa yule Dada akapata nafasi ya kusogea kwangu Mara oohh niangalizie kiti nakuja nikasema poa..
Akaja mzee mmoja akachukua kiti kwasababu nilikua ugenini nikatulia mzee akakaa na kidem chake badae ule Dada kaja oohh mbona umeachia kiti changu nikamwambia kingine kile chukua akasepa. Sasa yule mshkaji wake akarudi kumuangalia vzri namfahamu ila yeye hanikumbuki tuliwahi Fanya kazi kampuni moja Mimi nikawa trainee yeye muajiriwa..Sema baadae alipata kazi nje GHANA kama expert,naona alikuja kwaajili ya mapumziko.
Sasa lile lidem kumbe limedata kwangu pamoja na kwamba yule mwamba alikua ananoti jamaa akachomoka akaenda toilet dem akanifata akaniambia huna shida na number yangu? Kwasababu alikua in mzuri nikamwambia lete simu yako nikuandikie number yangu.
Baadae akaja bado niko counter akanigusa afu akaenda VIP nikajiongeza nikamfata Mara akanibana pembeni kiss nikamsukuma kidogo nikamwambia vipi maana sitaki Shari..akaniambia nimekuelewa dhuu ghafla mwana akatuona akaja na fujo mie nikajichenga huyo nikapanda boda mpaka lodge.
Sasa kesho yake nataka sepa zangu akanipigia akaniuliza ukowapi nikamwambia stend nataka kuondoka akanibembeleza njoo walau nikuage aisee mie nikajua ni story afu nasepa kufika room anakanga dhuu..
Ndo kufahamia na kumwambia nimewahi kukuona sehemu akakubali story mbili tatu Mara ooh usiondoke nikamwambia hapana kakaza nikawa mpole kumuona jinsi alivyo aisee shetani kapita na Mimi nikala kimasihara ..kabla ya kula akaanza romance kibao baadae akanipa Bj matata sasa kabla sijaanza kula mzigo nika muuliza status yake akasema Niko poa ..
Dhuu hapana sikumuamini nikamwambia tupime akasema fine kucheki kabegi kangu kana solution na vile visindano(hizi test kits nilipewa na dakitari wa kazini kwetu so nilikua Niko fit but kipimo tu ndo nilikua sina). Nikaenda nunua kipimo na condom nikamtest lengo likiwa nitatumia kinga but ikipasuka tayari najua status yake .
Kumpima nikasubiri zile dakika 15-20 fresh nikaanza kupiga mzigo nikaona ndom chain siyuko poa nikaitoa (nikauza mechi) dhuu baada ya muda Fulani kama ka mstari kakaongezeka kako light hakana kitu nikabaha hats sikufikaikà kumaliza nilibaha aisee nikaacha kabisa hamu ikaisha mawazo tu mpaka sasa iladem akakomaa yuko poa nikatumia oral quick ikaonesha neg bado siamini tukaenda hospital ya mkoa wakadai watu was kupima hawapo nikanunua tena kipimo kutest nikaset kabisa timer dakika 15-20 tena Negative lakini baade tena baada ya muda kdgo kupita tena kakasoma mstari lakini plain so light aisee nikabaa nanikaondoka kabisa .
Sasa wazee raha sina nahisi vitu vya ajabu ajabu dhuuu mapaka sasa ni week sins amani na hii kimasihara niombeeni wajumbe hili lipite nimekoma sio kwa hofu hii nahisi kama dalili zote ninazo
Vipimo Vingi Haswa Duo (Syphillis + HIV) Ukiziacha Longtime Zaid Ya 20mn Vinasoma Mistari Yote Miwil Au Mitatu.
USIPANIK