G bznes
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 1,428
- 2,953
Kwahyo hamleti tena visa vya kimasihara mmebaki kututisha na Mambo ya Fumanizi au?
Huwa siogopi fumanizi hata iweje maana najua ukishafika hatua ile unaweka maisha yako rehani ivyo kubali llte linaweza tokea Kufa au Kuua. Kujeruhiwa au Kujeruhi. Kuliwa au Kula.