Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Hahahaha nashangaa we pacha hadi leo hujaliwa kimasihara..mimi nimekula kimasihara juzi kati na ushuhuda upo hapo juu page iliyopita..ebu kanyegeke kdogo na hiyo story
Mbona sijaona pacha jamanii mmmh
 
HUU UZI SIUSOMI TENA MWEZI HUU KIMASIARA MARA TANO ZOTE KUUZA MECHI DUUU
JANA TU KIMASIARA MWANA SHERIA

nikisema ni adisie nitajaze page kumi
 
We mzee Kama ndio michezo yako kula viboga vya watu just hauko salama hata wewe kitaliwa kwa kisasa .
Ukileta utani kwa wake za watu rinda ilinafumuliwa vzr tu... Tena ww km ndio wale wabishi na wakuleta dharau unapewa warning hutaki kusikia!!! Tunafumua hadi uwe hanithi
 
Ukiwa umefunga mlango usichomoe funguo kwani ufunguo mwingine hauwezi kufungua. Kama mlangi unatumia kadi huwa kuna lock ya mnyoroto kwa ndani ukilock hawawezi kufungua. Ukiwa na mke wa mtu ndani azime simu usikubali simu yake iwe on. Kama hutumii hoteli moja kila siku ni vigumu wao kushawisbi mwenye hoteli au mhudumu.

Hata kama wamevamia hoteli, usipifungua huku ukifanya jitihada za kuwapigia watu wako ambao nao watahonga polisi toka sehemu yeyote nao watatinga hapo na kukuta zogo nje lakini watu hawajaingia ndani. Kumbuka ni jinai kujichukulia sheria mkononi. Mwisho hata wakifanikiwa (japo kwangu haiwezekani) ukikomaa utawafunga wote miaka thelathini au maisha kuanzia huyo mume na aliowakodi kisha utaendelea kuinjoi na mkewe.
Mke wa mtu haitakiwi utanue naye , mnakutana mahali kisha kila mtu anasepa zake.
Hivi unaelewa maana ya mtengo huyo mke wa mtu ndio atafungua mlango na ww utaliwa tu
 
Most of times wenye pesa za kupeleka mke wa mtu hoteli za maana(mtu anayelipa 500,000 room kwa siku) wana akili ya umafia maana kuwa na hizo fedha tu kapitia mengi, huwa hawachukui wake za ma don hovyo hovyo maana wanajua lolote halishindikani. Nyinyi msioamini katika umafia ndo hujikuta matatizoni.

Mkuu, unajua maana ya mtego? Mtu analipa pesa ya floor nzima ili uwe peke yako na mke wake ila hutajua kama leo floor nzima ni ww tu. Unapewa chumba ambacho hakina attention, unapewa funguo wakiwa wanaelewa wataufungua vipi huo mlango. Kwanzia dada wa reception mpaka mlinzi wa parking wanakuwa wanajua kinachoenda kukukuta leo maana walishalipwa na umeandaliwa mtego kwa miezi hata mitatu au minne ukiangaliwa tu tabia zako na movement zako.

Mtu unawekewa dawa na huyo huyo unayemgonga unalala kama mzoga ukishtuka upo tayari unawaka waka na wanaume wapo pembeni wanakusubiri upate fahamu vizuri ili usikie na uelewe kinachokutokea.

Hakuna fujo hapo. Kila kitu ni taratibu tu. Tena ndo ukute mwenye mke ana connection na wale waliomzuia msanii diamond kuingia jukwaa alipo mh raisi, hapo ndo kazi inakuwa nyepesiiii.

Wewe kama unapenda sana wake za watu tafuta mtu yoyote ambaye ni mpelelezi akupe visa na matukio ya watu walivyo na roho mbaya

Kama .ke wa mtu ni mtamu endelea kuiba wake za wanyonge watakaoishia kulalamika au kukuloga ila usiingie chaka tu ukagusa wale ambao wanajua namna ya kufanya biashara na kupata pesa kwenye nchi ya ujamaa kama korea kaskazini wakiwa wanaishi humu TZ.
Mkuu hawa watoto hawaelei maana ya umafia...!!! Yani mtu unafumuliwa rinda ukienda polisi kushitaki wenye hoteli wanasema hakuna kitu km hicho kilichotokea kwenye hotel yao na mwanamke anakataa hakuwepo na ww hyo cku, Una kosa ushahidi kabisa
 
Upo sahihi mkuu.
 
Juzi bhna nimechil zangu home Mida kama ya saa3 usiku hivi mara nikaona sms "Mambo" Mi poa nani mwenzangu akaniambia yule mdada niliekuja kutoa pesa mchana mchana nikakuomba namba ako ili ndgu yangu atume hela. Mi nikasema ooh mzima weye?
gafla akaniambia unaisha mtaa gani nikasema naishi mtaa x.akasema huo mtaa anaishi Dada hapa nipo jian naenda kumsalimia nikampa adress sana home maan aliasema atanipitia muda anaenda kwa sister ake . Akaniambia akikaribia hapo atani text ,mi niksema hapa leo lazima nimle.
NITAMALIZIA NAMUHUDUMIA KWANZA MTEJA.
 
Kilawo kilawo kilawo nimekuita mara ngapi??? Huku kwetu mtaa wa masihara hakuna nambo ya episode kama hadithi za shigongo
 
Nimeona sio vibaya namimi nikishea experience yangu kidogo kwenye hili jukwaa.

Miezi 3 iliyopita nilitoka jijini Dar na kwenda Mwanza kwa ajili ya kuwasalimia ndugu jamaa na marafiki wengine pande hizo. Kwakuwa nimewahi kuishi Mwanza miaka ya nyuma, haikuwa ngumu kuayazoea mazingira na kupiga misele maeneo mbalimbali nikienjoy mandhari nzuri ya Mwanza.

Siku moja nilienda kupata break fast katika mgahawa mmoja ambao huwa upo jirani na kampuni moja maarufu jijini Mwanza. Nilizoea kwenda kwenye mgahawa huu kutokana na usafi pamoja na mazingira mazuri ikiwemo ubora wa chakula. Siku hiyo nimefika ndani ya huo mgahawa, nilikutana na wadada fulani warembo ambao wanafanya kazi kwenye ile kampuni iliyo jirani na mgahawa ule, walikuwa wanamalizia kula na baadhi walikuwa wanaanza kuondoka. Nilikuja kufahamu badae kumbe huwa wanakula pale mara kibao na siku nyingine mgahawa huwa unapokea oda za chakula na kuwapelekea wafanyakazi ofisini.

Baada ya kuingia, nilienda kukaa iliyo mbele ya meza ya wale wadada waliokuwa wanamalizia kula. Walikuwa ni warembo hasa ila sikuwa nimewaza chochote juu yao. Wkati wanatoka nilimsikia mmoja wa wale wadada (binti tu wa 20's) akimwambia mhudumu kuwa HAJASHIBA hivyo bado anasikia njaa. Aliongea kwa kutania huku anatabasamu na kutoka nje/kurudi ofisini kwao. Walipoondoka, shetani wa ngono aliniingia na nikaona nifanye kitu kuhusu huyu dada. Nilimuita mhudumu na kujaribu kumpeleleza yule dada aliyelalamika kuwa ana njaaa. Hakuwa pisi kali kivile ila anafaa kwa matumizi ya kibaharia. Baada ya kupeleleza kwa mhudumu, niligundua kuwa yule dada ofisi yao ipo jirani na mchana watapelekewa chakula kutoka kwenye huu mgahawa. Basi, nikaona isiwe tabu, nikaongea vizuri na yule mhudumu nae akanihakikishia kuwa anamfahamu/anamkumbuka vizuri yule dada aliyelalamika kuwa hajashiba. Nilitoa hela nikampa yule mhudumu kwaajili ya kumpelekea lunch yule dada mda wa mchana na nikaandika namba yangu ya simu kwenye kikaratasi ili yule dada akipewa chakula apewe na hii namba. Pamoja na ile namba niliandika maneno machache tu ya kumtaka ale chakula nilichomnunulia kwa maana nilimsikia akilalamika hajashiba na kama hatojali atanipigia kunishukuru. Baada ya kukamilisha taratibu zote, nilimpoza mhudumu elfu 5 ya soda nikasepa zangu.

Sikurudi kwenye ule mgahawa kuulizia kama ujumbe umefika au lah ila muda wote nilikuwa attention kusikilizia simu yangu kama kuna namba mpya itaingia. Sikupokea namba yoyote hivyo nilikaa kinyonge nikiamini labda mhudumu alipuuzia. Baada ya kufikiria sana na kwakuwa nilikuwa nishaifahamu ofisi yao na nimemfahamu jina huyu mtoto (jina niliambiwa na mhudumu wa mgahawa), na kwakuwa home sio mbali na pale ofisini, niliamua kupita pale ofisini kwao, nikakutana na mlinzi kijana kama mimi tena mjanja, nikampanga kuwa nahitaji namba ya yule dada na bila ajizi akanipatia. Baadae jioni kuelekea usiku, nilimpigia yule dada na alinikumbuka fresh na akawa amekubali kuwa alipokea mzigo wangu. Tuliongea pale tukataniana na tukapiga story nyingi sana hadi usiku mrefu. Kwakuwa nilikuwa natumia gari labro sometimes, nilikuwa mara kwa mara namcheki nampitia kumpeleka home na kumrudisha home kwake maana alikuwa anaishi mwenyewe. Baada ya mazoea ya hapa na pale, nilimtoa dinner siku moja na nikajaribu kumueleza hisia zangu, hakutaka kukubali wala kukataa hali iliyonipa kujiamini zaidi. Niliendelea kumjali kwa vitu vidogo vidogo kama salamu, zawadi, lift ya kwenda na kurudi kazini mpaka nikaona mtoto ameniamini na amekolea. Simu zake nyingi akiwa na mimi alikuwa anpenda kwenda kuongelea chooni, sikujali maana niliamini lazima atakuwa na bwana ake.

Hatimae bila vikwazo au ugumu wowote, juzi kati hapa nilifanikiwa kula tunda la huyu binti. Mpaka mda huu bado nipo nae, mtoto amekolea sana na amekuwa addicted namimi. Hapa nilipo najiandaa kurudi dsm maana mission iliyonileta huku Mwanza imekamilika (nilikuja kusalimu ndugu na kufanya project za ofisi). Muda sio mrefu nitamuacha katika mataa japo namhurumia maana yeye amedata kabisa.

Hivyo ndivyo nilivyokula tunda kimasihara. Inaonekana mtoto hajapelekewa moto mda mrefu na nahisi bwana ake amesafiri (hayupo Mwanza) muda mrefu kidogo. Nawashauri wakuu, msiwaache wapenzi wenu bila kuwaona muda mrefu maana mtakuja kuwalaumu bure.

Nawasilisha.

Story imeanza vizuri kinoma noma, ukaja kuharibu kwenye hitimisho yani unakuja malizia na sentensi nikaja kumla yule manzi ahhhhhhhh baharia vipi, hapo kwenye kumla ndiyo ulitakiwa ueleze sasa ilikua mpaka ukafika kwenye mbususu
 
Pia chai

Mara anaishi mwenyewe

Mara anamume

Mara niko nae
 
Juzi bhna nimechil zangu home Mida kama ya saa3 usiku hivi mara nikaona sms "Mambo" Mi poa nani mwenzangu akaniambia yule mdada niliekuja kutoa pesa mchana mchana nikakuomba namba ako ili ndgu yangu atume hela. Mi nikasema ooh mzima weye?
gafla akaniambia unaisha mtaa gani nikasema naishi mtaa x.akasema huo mtaa anaishi Dada hapa nipo jian naenda kumsalimia nikampa adress sana home maan aliasema atanipitia muda anaenda kwa sister ake . Akaniambia akikaribia hapo atani text ,mi niksema hapa leo lazima nimle.
NITAMALIZIA NAMUHUDUMIA KWANZA MTEJA.
Hii chai hakuna kingine
 
Back
Top Bottom