we jamaa story zako zote ni chai tu...unakuja na defensive mechanism ya kupost charts...Mambo ya kike hayo.
1. Ni nadra sana kuchukua namba first day tu na first txt ukaandika kama unavyoandika...coz hapo bado hujajua ata respond vp....Na hata kama hiyo njia itaapply kwa mmoja, haiwezi kuapply kwa kila mtu...Story zako 98% ni uongo mtupu..Hizo msg unaandika then una jijibu mwenyewe..
2. Matukio yako yalivyotokea tokea ni chai chai tu.
Mambo ya kupost charts humu ni ya kidwanzi...hauna tofauti na
qeen jojo ambae toka nipost ushuhuda wangu humu, kapanic na kuanza kupost charts zangu humu na matusi juu..sijui napenda kulelewa sijui nn..Mambo ya ajabu.