Masihara na Mzungu.
Kiingereza cha kuongea kinanitesaga jamani,kimeshanikataaga kabisa.
Nikaona nianze kukipigania nikijue hata nikiwa nje ya mfumo wa kishule shule au chuo.
Nikafatilia ambapo nitaweza kupata english course nzuri na yenye gharama nafuu,
Nilipata,mwalimu wangu alikuwa bibi wa kizungu ila anakjua kiswahili vizuri mno,pia ni lecture wa chuo kikuu.
Mafunzo ya kiingereza yalianza na yalikuwa yanafanyika kuanzia saa 12 asubuhi kuanzia j3 mpaka ijumaa,siku ya alhamisi ilkuwa ni mafunzo ya kuongea hakuna kuandika.
Hii siku ya alhamisi mara nyingi mwalimu wangu alkuwa anaitumia kuniuliza mambo mengi kunihusu,kama wazazi wangu walipo,shughuli wanazofanya,chimbuko lao ni wapi,mimi binafsi na jishughulisha na nini na mengine mengi,pia na yeye alikuwa akinieleza mengi kama nchi ambazo ameshawahi ishi hapa afrika,utofauti wa maisha na watu wake hasa hasa alipenda kuwazungumzia watu wa kenya na tz,alkuwa anapenda sana kuwasifia wakenya kuwa ni watu wanaojua kuzitafuta fursa na kuwa karibu na wageni kuliko sisi tz.
Basi kwenye kazi ninayofanya ndo kulileta story nyingi(lakini kazi yenyewe niliamua kumdanganya maana niliona nikimwambia kazi ninayofanya afu kiingereza cha kuongea sijui angeiogopa sana hii nchi na mimi ningejishushia hadhi sana),kwahiyo niliamua kumwambia mimi nafanya kazi kwenye saloon ya kike,nasuka.
Karibia kila alhamisi alipendelea sana kuniuliza maswali kuhusiana na kusuka kama kwa siku nasuka vichwa vingapi,je naweza kumsukia mtu akiwa kwake,aina ya misuko nayoweza kusuka,aina ya rasta tunazotumia na tunapozitoa,zinatengenezwa tz au nje,mambo mengi sana alikuwa ananiuliza mpaka mengine nakosa majibu nadanganya.
Wakati huo nilikuwa naishi na jamaa aliekuwa anafanya kazi za saloon,kwahyo nilkuwa nikiwa gheto,jamaa nae akiwepo naanza kumuuliza mambo ambayo niliulizwa na mwalimu wangu afu sikuwa na majibu yakujitosheleza,jamaa akawa ananipa madini na mimi nayakariri.
Kama kawaida alhamisi n kupiga story kwa kiingereza ninaposhindwa naongea kiswahili,kutokana na kutokuwa na majibu ya kulidhisha,yule bibi alkuwa ananiambia watz mko tofauti sana na wakenya,yaani wewe hata kuielezea vizuri kazi unayofanya bado huwezi,akaniambia inabidi nimweleze vizuri maana anaweza niletea wateja,akaniambia kule chuo anapofundisha kuna mabinti wa kizungu anaweza kuniunganisha nao waje saloon kwetu kusuka rasta.
Siku zimeenda,nikawa naendelea kujifunza kidhungu,ijumaa moja mwalimu wangu akaniambia jmosi niende pale atanikutanisha na wale wadada wa kizungu.
Jmos ilivyofika nkatia timu pale nilipokuwa najfunzia kzungu,nikawakuta mabinti watatu wakizungu nikiwa na kiwoga woga,nikawasalimia pale,yule bibi akanitambulisha,walikuwa n malecture pia,wakafurahi kweli kuniona lakini mimi sikuwa na furaha sana maana lugha ilinikosesha raha,sasa tukiwa pale bado mmoja wao kati ya wale wadada akawa anapenda kuniongelesha zaidi afu wale wengine wakawa kama hawana habari sana,katika maongez nkamwambia aende slow slow ili niweze kumpata vyema,tukaongea ongea story hata hazna mfuatano mzuri.
Baadae yule bibi akawa amekuja na kutwambia twende mjini,tukaingia ndani ya gari,tumefika town wakafanya manunuz pale,baadae yule bibi akaomba atuache,akaniambia niwapeleke saloon kwetu,akasepa na gari lake.
Kabla ya kuondoka pale,wale mabinti wawili ukiacha yule ambae alkuwa ananiongelesha zaidi wakashauri tukale kwanza hapo ni mida ya saa nane mchana,tulikaa hapo mpaka saa kumi,yule aliekuwa anapenda kunipigsha story alikuwa na hamu sana ya kwenda kupaona saloon kwetu lakini wale wengine naona siku hiyo walikuwa hawapo tayari.
Tukaondoka hapo pakupata chakula tukaanza kutembea hata sikujua tunaelekea wapi au ni matembezi tu,baadae wakaona kibaa cha kawaida tu wakasema tutulie hapa,yaan yule alienizoea alkuwa yupo busy tu na mimi,nikaanza kuhisi huyu ameshanipenda kabisa,zikaagzwa bia tukaanza kupga pale,ikabid nianze kuzungumzia mambo ya kimahusiano pale nkaona nae anazsupport hapo ni kuulizana maswali mafupi fupi ingawaje hakuwa mzuri kihivyo ila sema tu nilitamani kupata ladha tofauti,ilipofika saa 2 usiku nkawatafutia tax kuwapeleka chuo,tumefika chuo wakanshukuru sana kwa kuwanao kwa hyo siku nzima na wakaniomba wikiend zingne niwe na jitahid kuwa nao,wale wawili wakasepa,nkabak na yule mmoja kama utani nkamwambia ningependa niendelee kuwa nae hata usiku mzima maana najihis mwili wangu hautak kuachana nae,akasema nae anajihis hvyo,nikamwambia ebu turudi tutembee tembee kdogo nkamshka na mkono,mtoto hakusita tukaanza mdogo mdogo mpapasano wa rasha rasha mpaka tukafika lodge.Mtoto nkamla kiroho safi,romance zilikuwa za kufa mtu,ila sikuuza mechi,maana nilitaka kujionyesha kwa mtoto wa kizungu kuwa najijari,akawa demu wangu mpaka siku wanaondoka.