Kwenye mafunzo,
Hapa mbona sielewi ngoja nimwite mwalimu
Binti: mwalimu mbona hapa sielewi sijui unakosea wapi?
Mwalimu: kuna mtu ambaye anaweza msaidia maana wakati nafundisha alikuwa anawaza yake, muda wa kurudia kurudia vitu sasa sina,
Mimi: mimi ntamuelekeza ila aache mambo yake ya kuongea kingereza.
Mwalimu: haya binti kijana katolea kukuelekeza ila punguza uzungu. Ila mfundishane baadaye nimalize hiki kipengele
Mimi, binti: sawa mwalimu,
Binti: akageuka amtafute aliyejitolea na hapendi kizungu
Kipindi kuisha:
Binti: hey class yule boy aliyejitolea kunielewesha plz let's meet and discuss,
Mimi: nimesema hakuna kuongea english sitakuelekeza,nkasogea nkamuelekeza kama baada ya dakika 10,nkasema haya sawa Mimi naenda
Binti: can I have ur number usiyependa kizungu, unisaidie nikiwa hotel
Mimi: chukua ila save non-english au sevu mswazi
Binti: ntakusave hivi.
Nikiwa nipo busy na. Wahuni stendi nagonga mbili 3 yanayojiri stendi( story za mateja, makonda na bus drivers) naona msg inaingia
Namba: hello, ile sehemu inanichanganya plz assist
Mimi: nikajua yule binti, nkasema check connection, na fanya kama nilivyokufundisha au ngoja nkuelekeze kwa simu upya, sina iyana nimemwelekeza weee najibiwa kizungu, navumilia mwishowe nkasema huelewi nini au nije ulipo,
Binti: umejuaje, I will thank you alot please, I will pay you
Mimi: nkasema huwezi nilipa acha dharau binti, nikawaaga wahuni nkatimba alipo
Watoto wa kishua wanavaaga pajama cjui,vinido vimechomoza kajicover na koti,nkapga shule pale yani mambo ni click,select, next, next, unaacha mfumo uexcute data ila hapa kwenye data kujaza lazima utulie kidogo,. Nimemaliza kazi nasepa
Binti: ohoo my dear I thank you alot, for ur assistance cjui nikupe nini,
Mimi: kumbato mbili na busu la yuda moja,
Binti: akaja akanipa hug, anataka kunipa kiss shavuni nikageuka namuuliza mbona umoto hivyo? Vikaumana mdomo wake ukawa kwenye wangu....
Mara kahema am sorry! Am very sorry non-english
Nkasema hapa lazima nikunjue vitu...
Inatosha, nkalipiza romance kwenda mbele, mara koti limetupwa huko mazee kama filamu za telemundo, nkasema naomba nkajimwagie mzee nkafatwa huko huko, be hurry aaaaah kuna kuoga unadhani hapo osha kwapa chukua shower jelly zile paka kwenye shingo nikampa vitu,
Nilimpa michezo ya kiswahili, mashine na maneno ya mwambao
Mtoto wa kishua aliniashukuru kwa kila kitu mwenyewe kasema my dear thanks for everything I mean everything.
Nilipotoka nkasema kumbe ununda unasaidia sana