Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Msione wanawake wanaenda nyumba za ibada na wanaimba kwa mapambio usiku na mchana, mkajua kwel Mungu anayo, wengine stress zimejaa tuu, ndio njia ya kupunguza stress yaani.
.............
Wee vipi mbona kama una mawazo, nin shida, ?....najiandaa kufanya mtian wamgu wa baraza la Famasi....
......kwa hiyo unaenda wapi......
Naemda pale makumbusho mwisho kuna mahali huwa tuna kutana kwa ajili ya kujiandaaa maana mtihani ni next week.
, ......panda twende, ka mkweche chenyewe cha jiran
......hao hadi makumbusho, nikamuacha nikasepa, nikampa na nauli ya kurudi kwao.

........Asante sana, nimependa wewe mstarabu sana, sikutegemea, akanialkka niende kanisan kwao la kilokele tusali wote...
Hayaa mama mchungaji .....nitakuja

Baada ya wiki kupita na salam za hapa na pale, kuna siku akaniambie naelekea posta je unaweza kunisindikiza, nikasema haina noma mama mchungaji, nikaenda kumchukua na kamkweche changu.
Njian akaanza kunipa story yake kabla hata hajaokoka, basi bwana
Nilikuaa na boy friend wangu, alinipenda sana, very handsome, anajua kutunza kwa kwel, lakin nina more than 3yrs haji nyumban kuonekana anasema bado, na kibaya zaid muajiliwa wa Mama Samia, na aanaishi nyumban kwa wazaz wake
......story ndefu........badae akasema alinipa mimba...na akasema tuitoa hayupo tayar kulea mimba kwa sasa, akanipa laki 250, kwa ajili ya kuitoa, kibaya zaid nilidanganya ili njjue kweli napendwa...????
Bint wa kilokole akaanza kumwaga chozi bwana, duuuu, duuuuu, amelia kwenye gari, hadi nikasema hii safar hatufiki,
Kinondon studio pale ndio mm nimepanga wazo likanijia kusema, ngoja niende home pale, angalau abadilishe mawazo, sio kwa kilio kile jaman, hadi ikawa kero kwenye gari
Naomba tupitie hapa kwangu kwanza, nikachukue card kwa ajili ya hela, maana nimetoka kizembe zembe, kumbuka tunaelekea Posta, mwamba nikapita getoni, kama manavyojuaga getoni, kufua shuka hadi usikie kuna mgen, nguo chafu kibao, lakin nikasema ngoja nikazuge pale, akiacha kulia sasa nimpeleke posta.
Mara paaaaaa, tumefika kitaaa chetu, maana kitaa wanaijua gar ya mshua ile, wanasaga huwa anakabia watu usiku.
Mama mchungani, unatumia kinywaji gani............akaaa kimya kama dakika tano, nikasikia naomba dry Savana ,
Nkkaitika ehhhhhhhj, akasema naomba savana, jaman kwa moyo moyo nikasema hii si pombe hiiii jaman, sikuwa na hiana nikaenda mtaa wa pili nikazileta tatu, lakin swali kwangu, huyu si mlokole huyu.
Basi nikaagiza na kiti moto kwa mama mchuma, maana simu moja tu, inatosha kuleta kitimoto rost na pili pili ya ukwaju yaaani
Bint akala, akala, akala, akanywa, akanywa, zile savana tatu zilipigwa hata sikujua zimeenda wapi, yaani, paaaa, paaaa, paaaa, kwisha, akasema nina stresss sanaa, naomba mbili zaidi....nikaguna mim, huyo nikaenda kununua, sasa maswal haya hayana mwisho, why anakunywa hivi,
Nikaleta 3 tena, kuogopa kama atalewa halafu ikawa shida,
Muda ulivyozid kwenda, nikajikuta nipo nae kitandani, hana nguo hata moja,
Jaman hawa watoto wa kilokole tuwaangalie jaman,
Kwanza anavaaa shanga nyingi tu, pili anajua mapenz hadi nikahisi huyu ni kahaba nini.
Anakata mayaeno hadi napoteza dira yaani.
Ile siku ikawa njema kwangu, nikamrudisha kwa dada yake around saa nne hivi, lakini nikawa najilia hivyo hivyo ingawa ijumaaa mkesha kila wiki anaenda,
Lakin naanza kumkwepa maana ana mahitaji makubwa sana.
Hiiii ni ya december 2020, nimetumia maudhui tofauti.
Nawasilisha kwa wanoko kuanza kukagua .
Makahaba wana gia nyingi sanaaa sikuiz
 
Wakuu mabaharia wenzangu.
Natumia fursa hii kuwaomba radhi kwa kumkwepa kibonge fln zaidi ya Mara 5. Hii ni kutokana na kwamba vibonge siwaelewagi hata niwe na nyege vipi.

Na hapa ametoka hapa sasa hivi maana mchana nilimpanga kuwa SAA 2 tukutane, amekuja kunishtua ila nimempa sababu wee ameondoka!!

Vibonge oyeee!!

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Nipe namba mkuu, kama upo kanda ya ziwa..

Hao vibonge nawapenda mimi kimbaumbau hapa..
 
Msione wanawake wanaenda nyumba za ibada na wanaimba kwa mapambio usiku na mchana, mkajua kwel Mungu anayo, wengine stress zimejaa tuu, ndio njia ya kupunguza stress yaani.
.............
Wee vipi mbona kama una mawazo, nin shida, ?....najiandaa kufanya mtian wamgu wa baraza la Famasi....
......kwa hiyo unaenda wapi......
Naemda pale makumbusho mwisho kuna mahali huwa tuna kutana kwa ajili ya kujiandaaa maana mtihani ni next week.
, ......panda twende, ka mkweche chenyewe cha jiran
......hao hadi makumbusho, nikamuacha nikasepa, nikampa na nauli ya kurudi kwao.

........Asante sana, nimependa wewe mstarabu sana, sikutegemea, akanialkka niende kanisan kwao la kilokele tusali wote...
Hayaa mama mchungaji .....nitakuja

Baada ya wiki kupita na salam za hapa na pale, kuna siku akaniambie naelekea posta je unaweza kunisindikiza, nikasema haina noma mama mchungaji, nikaenda kumchukua na kamkweche changu.
Njian akaanza kunipa story yake kabla hata hajaokoka, basi bwana
Nilikuaa na boy friend wangu, alinipenda sana, very handsome, anajua kutunza kwa kwel, lakin nina more than 3yrs haji nyumban kuonekana anasema bado, na kibaya zaid muajiliwa wa Mama Samia, na aanaishi nyumban kwa wazaz wake
......story ndefu........badae akasema alinipa mimba...na akasema tuitoa hayupo tayar kulea mimba kwa sasa, akanipa laki 250, kwa ajili ya kuitoa, kibaya zaid nilidanganya ili njjue kweli napendwa...????
Bint wa kilokole akaanza kumwaga chozi bwana, duuuu, duuuuu, amelia kwenye gari, hadi nikasema hii safar hatufiki,
Kinondon studio pale ndio mm nimepanga wazo likanijia kusema, ngoja niende home pale, angalau abadilishe mawazo, sio kwa kilio kile jaman, hadi ikawa kero kwenye gari
Naomba tupitie hapa kwangu kwanza, nikachukue card kwa ajili ya hela, maana nimetoka kizembe zembe, kumbuka tunaelekea Posta, mwamba nikapita getoni, kama manavyojuaga getoni, kufua shuka hadi usikie kuna mgen, nguo chafu kibao, lakin nikasema ngoja nikazuge pale, akiacha kulia sasa nimpeleke posta.
Mara paaaaaa, tumefika kitaaa chetu, maana kitaa wanaijua gar ya mshua ile, wanasaga huwa anakabia watu usiku.
Mama mchungani, unatumia kinywaji gani............akaaa kimya kama dakika tano, nikasikia naomba dry Savana ,
Nkkaitika ehhhhhhhj, akasema naomba savana, jaman kwa moyo moyo nikasema hii si pombe hiiii jaman, sikuwa na hiana nikaenda mtaa wa pili nikazileta tatu, lakin swali kwangu, huyu si mlokole huyu.
Basi nikaagiza na kiti moto kwa mama mchuma, maana simu moja tu, inatosha kuleta kitimoto rost na pili pili ya ukwaju yaaani
Bint akala, akala, akala, akanywa, akanywa, zile savana tatu zilipigwa hata sikujua zimeenda wapi, yaani, paaaa, paaaa, paaaa, kwisha, akasema nina stresss sanaa, naomba mbili zaidi....nikaguna mim, huyo nikaenda kununua, sasa maswal haya hayana mwisho, why anakunywa hivi,
Nikaleta 3 tena, kuogopa kama atalewa halafu ikawa shida,
Muda ulivyozid kwenda, nikajikuta nipo nae kitandani, hana nguo hata moja,
Jaman hawa watoto wa kilokole tuwaangalie jaman,
Kwanza anavaaa shanga nyingi tu, pili anajua mapenz hadi nikahisi huyu ni kahaba nini.
Anakata mayaeno hadi napoteza dira yaani.
Ile siku ikawa njema kwangu, nikamrudisha kwa dada yake around saa nne hivi, lakini nikawa najilia hivyo hivyo ingawa ijumaaa mkesha kila wiki anaenda,
Lakin naanza kumkwepa maana ana mahitaji makubwa sana.
Hiiii ni ya december 2020, nimetumia maudhui tofauti.
Nawasilisha kwa wanoko kuanza kukagua .
Mabinti wengi kwa sasa wanajifichia katika mwamvulia wa dini , unakuta kavurugwa huko anaemda kupozeq stress zake kanisani au msikiti unakuta full juba swala tano lkn bado ....ukikaa vizuri unatunuliwa tunda kimasihara.
 
kipindi bado naishi nyumbani nilikuwa nasimamia moja ya kiwanda cha mzee wangu..
jirani na kiwanda kulikuwa na kibanda cha mama ntilie akiuza mama na wanawe wawili wakike.yule mama alikuwa anapenda stori na utani wa matusi matusi nadhani hii ni mbinu zaidi ya kuvutia wateja!nilianza kuweka mazoea na yule mtoto mkubwa mwisho wa siku nikaomba mzigo ikawa ngumu sbb mchana anakuwa kazin na usiku hawez kutoka babaao ni bandidu balaa.

mnyamwezi nikamuibukia ucku akanifungulia mlango nikaingia hadi chumbani kwao kwa kunyata na pumzi nimebana.

kitandan alikua kalala na mdogo wke ikabid tuanze kupiga mzigo chini zile vurumai na lile giza nyumba haina silinibodi si dingi likashtuka bana.

naskia dingi anaongea lugha haileweki afu km anatafta jembe vile aje amlime mtu.namskia na mama km anampooza mzee atulize munkari.

skusubiri nipizi nilikurupuka suruali magotini nikatoka nduki huku wazungu wanaruka huku na huko.

kesho yake asubuhi namuona yule dingi anakuja akamuulizia mzee wng km yupo akaambiwa yupo na akaitiwa mi hapo naona kimenuka nataka nimfate nimuombe msamaha kabla hajamwambia mzee wangu.

Mzee alikuwa gaidi sana hakupigi fimbo ni vichwa na mangumi km anapiga mwizi daahh aman iliniishia.

kumbe mzee alimletea barua tuu ya mkutano daahh nilishusha pumzi.hapo naogopa kwenda kumuuliza dem ilikuwaje.. ikapita muda yule manzi akaolewa.
siku hiyo nikakaambia kadogo chake kiutani baadae uje apo kiwandani.nikajua tuu najaribu hakawezi kuja..

mishale ya saa 7 naona kameingia nikakavutia bafuni maana mda huo dingi anakuwa homu kapumzika..
pambana nacho balaa ubo hauingii kanalia sukumizia ikaingia na wazungu hao nikavaa bukta nikakatimua kaondoke.

kanatoka namuona na dingi huyo anaingia huku analalamika homu joto kaamua kuja kulala huku kazini.daaahh niliogopa ila alijua nimetoka kuchila akapotezea tuu.
nimeenda kukojoa nakua bukta imeloa dam kumbe kalikuwa bikra.
nikawa nakachapa na mimba juu sasa hivi mtoto yupo form2
 
Maisha bhana unaweza ukakuta baba zetu aalianza kwa kuwala mama zetu kimasihara aiseee.... Huju jamii foramuni hatujuani ila unaweza ukasoma stori ya jamaa anasimulia miaka hiyo hadi ukasimamisha... kumbe aliyeliwa kimasihara ni mama yako na ww ndio ukazaliwa....
 
Msione wanawake wanaenda nyumba za ibada na wanaimba kwa mapambio usiku na mchana, mkajua kwel Mungu anayo, wengine stress zimejaa tuu, ndio njia ya kupunguza stress yaani.
.............
Wee vipi mbona kama una mawazo, nin shida, ?....najiandaa kufanya mtian wamgu wa baraza la Famasi....
......kwa hiyo unaenda wapi......
Naemda pale makumbusho mwisho kuna mahali huwa tuna kutana kwa ajili ya kujiandaaa maana mtihani ni next week.
, ......panda twende, ka mkweche chenyewe cha jiran
......hao hadi makumbusho, nikamuacha nikasepa, nikampa na nauli ya kurudi kwao.

........Asante sana, nimependa wewe mstarabu sana, sikutegemea, akanialkka niende kanisan kwao la kilokele tusali wote...
Hayaa mama mchungaji .....nitakuja

Baada ya wiki kupita na salam za hapa na pale, kuna siku akaniambie naelekea posta je unaweza kunisindikiza, nikasema haina noma mama mchungaji, nikaenda kumchukua na kamkweche changu.
Njian akaanza kunipa story yake kabla hata hajaokoka, basi bwana
Nilikuaa na boy friend wangu, alinipenda sana, very handsome, anajua kutunza kwa kwel, lakin nina more than 3yrs haji nyumban kuonekana anasema bado, na kibaya zaid muajiliwa wa Mama Samia, na aanaishi nyumban kwa wazaz wake
......story ndefu........badae akasema alinipa mimba...na akasema tuitoa hayupo tayar kulea mimba kwa sasa, akanipa laki 250, kwa ajili ya kuitoa, kibaya zaid nilidanganya ili njjue kweli napendwa...????
Bint wa kilokole akaanza kumwaga chozi bwana, duuuu, duuuuu, amelia kwenye gari, hadi nikasema hii safar hatufiki,
Kinondon studio pale ndio mm nimepanga wazo likanijia kusema, ngoja niende home pale, angalau abadilishe mawazo, sio kwa kilio kile jaman, hadi ikawa kero kwenye gari
Naomba tupitie hapa kwangu kwanza, nikachukue card kwa ajili ya hela, maana nimetoka kizembe zembe, kumbuka tunaelekea Posta, mwamba nikapita getoni, kama manavyojuaga getoni, kufua shuka hadi usikie kuna mgen, nguo chafu kibao, lakin nikasema ngoja nikazuge pale, akiacha kulia sasa nimpeleke posta.
Mara paaaaaa, tumefika kitaaa chetu, maana kitaa wanaijua gar ya mshua ile, wanasaga huwa anakabia watu usiku.
Mama mchungani, unatumia kinywaji gani............akaaa kimya kama dakika tano, nikasikia naomba dry Savana ,
Nkkaitika ehhhhhhhj, akasema naomba savana, jaman kwa moyo moyo nikasema hii si pombe hiiii jaman, sikuwa na hiana nikaenda mtaa wa pili nikazileta tatu, lakin swali kwangu, huyu si mlokole huyu.
Basi nikaagiza na kiti moto kwa mama mchuma, maana simu moja tu, inatosha kuleta kitimoto rost na pili pili ya ukwaju yaaani
Bint akala, akala, akala, akanywa, akanywa, zile savana tatu zilipigwa hata sikujua zimeenda wapi, yaani, paaaa, paaaa, paaaa, kwisha, akasema nina stresss sanaa, naomba mbili zaidi....nikaguna mim, huyo nikaenda kununua, sasa maswal haya hayana mwisho, why anakunywa hivi,
Nikaleta 3 tena, kuogopa kama atalewa halafu ikawa shida,
Muda ulivyozid kwenda, nikajikuta nipo nae kitandani, hana nguo hata moja,
Jaman hawa watoto wa kilokole tuwaangalie jaman,
Kwanza anavaaa shanga nyingi tu, pili anajua mapenz hadi nikahisi huyu ni kahaba nini.
Anakata mayaeno hadi napoteza dira yaani.
Ile siku ikawa njema kwangu, nikamrudisha kwa dada yake around saa nne hivi, lakini nikawa najilia hivyo hivyo ingawa ijumaaa mkesha kila wiki anaenda,
Lakin naanza kumkwepa maana ana mahitaji makubwa sana.
Hiiii ni ya december 2020, nimetumia maudhui tofauti.
Nawasilisha kwa wanoko kuanza kukagua .
Certified
 
Ya jumamosi iliyopita:

Nimechukua kimkweche changu naona kichafuu, nikasema nikipige maji car wash moja huwa naosha pale kila kinapochafuka.

Nimefika car wash nakabidhi kisha naelekea pemben kuna sehem ya kukaa wateja wakisubiri gari lioshwe ..

Ila nachezea simu muda uende wamalize niondoke nikajigusa kidevuni nikahisi nina vindevu kwa mbaali vinachoma, nikasema aah ndevu nazo hazikawii unanyoa leo kesho vinachungulia.

Kwa mbaali naona machinga na mashine za kunyolea, radio hizo za buletooth, cover za simu na n.k

Amefika pale namwambia nipe mashine nzuri kbsa ya kunyolea akatoa ina laini za nyembe tatu zile nzuri kama Gillete, namuuliza bei gani elf 40,000 nikasema chukua mashine yako safari njema.

Ooh brother una ngp? Kula elf nne, aah haiwezekan basi chukua mashine uondoke aah nrother ongezea kidogo, anyway mm sitak kelele na ninyi bwan elf 5 hii hapa hutak nipe nafasi, chinga aah basi sawa broo nipe hiyo hela, nachukua mashine anasepa.

Sasa baada ya kununua mashine kwa pemben naona kibanda cha vinywaji kuna mdada anauza nikasema ngoja nipoze koo pale.

Ile nimefika nikasema huyu namla kimasihara pambaf zake,
Cha kwanza nikasema chukua hii mashine nimehisi una vuzi hujanyoa muda mrefu, lili akili inaniambia unatumiaga mashine mbaya zinakusababoshia vipele, hii nimenunua bei sana ila naomba nikuachie akasema asante sana.

Nikasema kama huna vuzi rudisha akajib litaota lakin akuliza umejuaje sijanyoa nikasema tuachane na hayo

Je naweza test ubora wa hiyo mashine kukunyolea ili tuthibitishe ubora wake sote wawili...

Akasema hapana, nikasema najua hujanyoa, pili hujawah tumia mashine nzuri unatumia fake fake tatu na la msingi hujawah nyolewa na mtu wa kiume hata mpenzi wako, kaseme ni kweli hajawah ninyoa.

Nikasema ikikupendeza naomba niwe wa kwanza kukununulia mashine, wa kwanza kukunyoa wa kwanza kukupa suprize.

Mara car wash wanaita broo tayar mkweche wako, basi nikasema nipe namba, akatoa nikaandika nikambeep...

Jion namtafuta ooh saiv usk, ooh nitanyoa mwemyewe

Kukata story kesho yake alikuja nifanye kaz ya kumnyoa ila hakuja na mashine pia kuangalia kaisha nyoa kumbe ile ile jana.

Show ya kawaida, maisha yanaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona umeliwa kimbinu
 
Mama mchungani, unatumia kinywaji gani............akaaa kimya kama dakika tano, nikasikia naomba dry Savana

Mimi kuna demu mmoja mlokole wakati tupo chuo alikua anaimba mapambio balaa na alikua ni kiongozi huko kanisani. Siku nimemtoa out sikuamini aliagiza konyagi ndogo akaifuta chap! Sema alichokuja kunifurahisha nilimkuta bikra na alikua mkubwa miaka 26 ivi. Nahisi ni kwavile hakua na mvuto. Baada ya kumkoleza dyudyu na ulokole akaacha wenzie wakawa wananilaumu mimi kwa kumpoteza mwanakondoo.
 
Ii ni chai, Mkweche wa jilani ,Mkweche wangu,Mkweche wa dingi,[emoji706]

Wacha niwe mnoko tu ,[emoji28][emoji28]tatepa
Msione wanawake wanaenda nyumba za ibada na wanaimba kwa mapambio usiku na mchana, mkajua kwel Mungu anayo, wengine stress zimejaa tuu, ndio njia ya kupunguza stress yaani.
.............
Wee vipi mbona kama una mawazo, nin shida, ?....najiandaa kufanya mtian wamgu wa baraza la Famasi....
......kwa hiyo unaenda wapi......
Naemda pale makumbusho mwisho kuna mahali huwa tuna kutana kwa ajili ya kujiandaaa maana mtihani ni next week.
, ......panda twende, ka mkweche chenyewe cha jiran
......hao hadi makumbusho, nikamuacha nikasepa, nikampa na nauli ya kurudi kwao.

........Asante sana, nimependa wewe mstarabu sana, sikutegemea, akanialkka niende kanisan kwao la kilokele tusali wote...
Hayaa mama mchungaji .....nitakuja

Baada ya wiki kupita na salam za hapa na pale, kuna siku akaniambie naelekea posta je unaweza kunisindikiza, nikasema haina noma mama mchungaji, nikaenda kumchukua na kamkweche changu.
Njian akaanza kunipa story yake kabla hata hajaokoka, basi bwana
Nilikuaa na boy friend wangu, alinipenda sana, very handsome, anajua kutunza kwa kwel, lakin nina more than 3yrs haji nyumban kuonekana anasema bado, na kibaya zaid muajiliwa wa Mama Samia, na aanaishi nyumban kwa wazaz wake
......story ndefu........badae akasema alinipa mimba...na akasema tuitoa hayupo tayar kulea mimba kwa sasa, akanipa laki 250, kwa ajili ya kuitoa, kibaya zaid nilidanganya ili njjue kweli napendwa...????
Bint wa kilokole akaanza kumwaga chozi bwana, duuuu, duuuuu, amelia kwenye gari, hadi nikasema hii safar hatufiki,
Kinondon studio pale ndio mm nimepanga wazo likanijia kusema, ngoja niende home pale, angalau abadilishe mawazo, sio kwa kilio kile jaman, hadi ikawa kero kwenye gari
Naomba tupitie hapa kwangu kwanza, nikachukue card kwa ajili ya hela, maana nimetoka kizembe zembe, kumbuka tunaelekea Posta, mwamba nikapita getoni, kama manavyojuaga getoni, kufua shuka hadi usikie kuna mgen, nguo chafu kibao, lakin nikasema ngoja nikazuge pale, akiacha kulia sasa nimpeleke posta.
Mara paaaaaa, tumefika kitaaa chetu, maana kitaa wanaijua gar ya mshua ile, wanasaga huwa anakabia watu usiku.
Mama mchungani, unatumia kinywaji gani............akaaa kimya kama dakika tano, nikasikia naomba dry Savana ,
Nkkaitika ehhhhhhhj, akasema naomba savana, jaman kwa moyo moyo nikasema hii si pombe hiiii jaman, sikuwa na hiana nikaenda mtaa wa pili nikazileta tatu, lakin swali kwangu, huyu si mlokole huyu.
Basi nikaagiza na kiti moto kwa mama mchuma, maana simu moja tu, inatosha kuleta kitimoto rost na pili pili ya ukwaju yaaani
Bint akala, akala, akala, akanywa, akanywa, zile savana tatu zilipigwa hata sikujua zimeenda wapi, yaani, paaaa, paaaa, paaaa, kwisha, akasema nina stresss sanaa, naomba mbili zaidi....nikaguna mim, huyo nikaenda kununua, sasa maswal haya hayana mwisho, why anakunywa hivi,
Nikaleta 3 tena, kuogopa kama atalewa halafu ikawa shida,
Muda ulivyozid kwenda, nikajikuta nipo nae kitandani, hana nguo hata moja,
Jaman hawa watoto wa kilokole tuwaangalie jaman,
Kwanza anavaaa shanga nyingi tu, pili anajua mapenz hadi nikahisi huyu ni kahaba nini.
Anakata mayaeno hadi napoteza dira yaani.
Ile siku ikawa njema kwangu, nikamrudisha kwa dada yake around saa nne hivi, lakini nikawa najilia hivyo hivyo ingawa ijumaaa mkesha kila wiki anaenda,
Lakin naanza kumkwepa maana ana mahitaji makubwa sana.
Hiiii ni ya december 2020, nimetumia maudhui tofauti.
Nawasilisha kwa wanoko kuanza kukagua .
Lete kashata
JamiiForums-223062044.gif
 
Ya jumamosi iliyopita:

Nimechukua kimkweche changu naona kichafuu, nikasema nikipige maji car wash moja huwa naosha pale kila kinapochafuka.

Nimefika car wash nakabidhi kisha naelekea pemben kuna sehem ya kukaa wateja wakisubiri gari lioshwe ..

Ila nachezea simu muda uende wamalize niondoke nikajigusa kidevuni nikahisi nina vindevu kwa mbaali vinachoma, nikasema aah ndevu nazo hazikawii unanyoa leo kesho vinachungulia.

Kwa mbaali naona machinga na mashine za kunyolea, radio hizo za buletooth, cover za simu na n.k

Amefika pale namwambia nipe mashine nzuri kbsa ya kunyolea akatoa ina laini za nyembe tatu zile nzuri kama Gillete, namuuliza bei gani elf 40,000 nikasema chukua mashine yako safari njema.

Ooh brother una ngp? Kula elf nne, aah haiwezekan basi chukua mashine uondoke aah nrother ongezea kidogo, anyway mm sitak kelele na ninyi bwan elf 5 hii hapa hutak nipe nafasi, chinga aah basi sawa broo nipe hiyo hela, nachukua mashine anasepa.

Sasa baada ya kununua mashine kwa pemben naona kibanda cha vinywaji kuna mdada anauza nikasema ngoja nipoze koo pale.

Ile nimefika nikasema huyu namla kimasihara pambaf zake,
Cha kwanza nikasema chukua hii mashine nimehisi una vuzi hujanyoa muda mrefu, lili akili inaniambia unatumiaga mashine mbaya zinakusababoshia vipele, hii nimenunua bei sana ila naomba nikuachie akasema asante sana.

Nikasema kama huna vuzi rudisha akajib litaota lakin akuliza umejuaje sijanyoa nikasema tuachane na hayo

Je naweza test ubora wa hiyo mashine kukunyolea ili tuthibitishe ubora wake sote wawili...

Akasema hapana, nikasema najua hujanyoa, pili hujawah tumia mashine nzuri unatumia fake fake tatu na la msingi hujawah nyolewa na mtu wa kiume hata mpenzi wako, kaseme ni kweli hajawah ninyoa.

Nikasema ikikupendeza naomba niwe wa kwanza kukununulia mashine, wa kwanza kukunyoa wa kwanza kukupa suprize.

Mara car wash wanaita broo tayar mkweche wako, basi nikasema nipe namba, akatoa nikaandika nikambeep...

Jion namtafuta ooh saiv usk, ooh nitanyoa mwemyewe

Kukata story kesho yake alikuja nifanye kaz ya kumnyoa ila hakuja na mashine pia kuangalia kaisha nyoa kumbe ile ile jana.

Show ya kawaida, maisha yanaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina sukai yakutosha
JamiiForums697541283.gif
 
Ukihamia mahali na dada akaanza kukuita neighbor au jirani jua una asilimia 50 za kupata tunda.
Ukihamia mahali na ukajitambulisha jina kamili halafu akatokea mdada anakukutatisha jua una asilimia 55 za kula tunda. Mfano wa majina Thomas - Tom, Robert - Bob, George - G, Steven - Steve, Joseph - Jose

Ukihamia mahali na kuna dada anakuletea chakula basi ujue una asilimia 60 za kula tunda.
 
Duuuu leo nmekula tunda kimasihara sana mida ya mchana niko zangu hostel nataka kutoka ile nafunga mlango akaja dada akasema kaka tunauza cosmetic Nikamwambia tuone akatoa begi nikamtania. "mbona kibegi kidogo sana kina bidhaa kweli " akasema tulia uone kweli akatoa sabuni za kuogea, mafuta ma body sprays nikawa najaribu nipate nzur na mm sio mpenzi wa spray kabsa nikamuuliz kati hizi ipi ww unatumia akanichagulia Nikamwambia unaniruhu nikunuse nione harufu yake akaniruhusu nikamnusa kifuani nikamsifia wakati nafanya maandalizi ya kurudi ndani kuchukua hela akasema naomba na maji ya kunywa nikajua huyu kachoka anahitaji kupumzika nikampa maji akanywa ile anamaliza ikashuka mvua kubwa kinyama,

nikamwambia mm naishi menyewe siwezi kukukaribisha ndani mm nikarud ndani nikamuacha varandani ile mvua ikawa inampiga akalowa nikatoka nakuta kajikunyata nikamruhusu aingie G kufika anavuja maji akavua fulana aikamue maji a bas nikampa shuka ajifunike ili akamue suruari akanitania kuwa si utanipa nguo zako nikasema ww huniju nikasimama nikafunga mlango kwa kidingizio maji yasiingie nikaongeza sauti ya buffer kufuta ushahid nikaja nikalala kwa kuwa shuka analo yy na kuna baridi nikamuomba tujifunike wote

Duu dada ana mwili una manyoya huyu kama nguluwe pori
To make the story shot mvua ilipoisha nikamsindikiza huku score board inasoma tatu bila ameomba remarch namfikilia
 
Back
Top Bottom