Wakubwa nawasalimu, wale wa 20s mwishoni nawapa hi, kama uandishi utaboa bas kumradhi. Nakumbuka tulivyomaliza sekondari tuliunda grupu moja hivi ambalo lilikuwa na watu weng wengine wakiwa marafiki wa hao tuliomaliza nao. Mostly wakiwa wavulana wasichana tukiwa wachache.
Bas katika lile group kulikua na class mate mmoja rafiki yake wa kitaa kwao tukazoeana kias cha kupeana hi inbox. ikapita miaka mingi sana wala sjawah muona zaid ya chatting. Baada ya miaka nikiwa nafanya kazi temporary mamlaka fulani tulikua na bonanza so kwakua ilikua karibia na anapoishi nikamwambia akaja tukaonana for the first time. Piga story sana akasepa.
Ikapita miaka kadhaa tena tukawa tunachart hapo nmeshapata watoto . Akanitania akasema ningekukula wewe tatizo umenenepa sana na umeshazaa utakua huna ladha( kikawaida maongezi yetu ndo yalivyo matusi mengi na utani). Nikamwambia dont judge a book by its cover. Bas ikaendelea kila tukiwasiliana mana sasa ni vdeo call akawa anasema umenenepa wewe dah huwezi mikiki yangu. Nikamuuliza wewe una nn haswa tofauti na wengine. Akasema m napiga show kias kwamba wanawake hawarudi hapa. Akadai kwanza hawez kudate cause anaona kero ye anakula anasepa huwa harudii.
Hapo alikuwa mkoani huko kwenye mamission yao mana si unajua wanajeshi mara mkoa huu mara ule. Nikamwambia siku ukija Dar make sure unanitafuta tunaonana. (Mana sipendi dharau imagine always mtu ananisema, nacheka lakini nammaind kimoyomoyo). Bas bwana siku isiyo na jina nipo naendesha mana nilikuwa naelekea kisarawe, akainipigia kuwa yupo Dar. Nikamwambia nikitoka Kisarawe nakuja.
Nilipomaliza ishu zangu, Ilikua kama sa 11 hivi nikampgia anitumie location. Nikafika kama sa 1 hivi mixer kupotea sana. Nikamkuta na rafiki zake baada ya muda wakaaga. Tukabaki wawili akaniuliza vipi tupime nikamwambia wewe tu akatoa mavipimo pale tukapimana kila mtu fresh. Nikamwambia ngoja nioge nijiweke safi kwanza. Uzuri nina kitenge changu kwenye mkoba. Nikatoka nimejifunga na kuulizia chumbani wapi mana alikuwa sebuleni bado.
Itaendelea..................................................................