Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Ukigeuka huku betting,ukigeuka huku Nako stori haina kichwa Wala miguu
 
Aise...ngoj tuone
Kwahyo ulishiba maziwa!?[emoji23][emoji23]
 
Daah yan jamaa ulikua unanyonya maziwa ya mtoto.

Aisee sasa mume wa uyo dada yuko wapi au ni single mother. Ila haijakaa poa mkuu utamuachia mtoto uchafu wako. Usirudie
 
Back
Top Bottom