mboperatransy
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 314
- 1,274
Wanawake bwana, mwenzake nimemla kimasihara yeye anataka kujaa tu, mwenzake ameshtukia dili , naulizwa eti P furan unamahusiano nae,
Hapo sasa
Hapo sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huzijui ziliko.....?Ziko wapi kwani? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mbona huwa hamuwaambii wanavimba vichwa kumbe mfereji TuNa ndo kinachokuaga, sema wengi huwa hawajui na wanajipa hopes za kijinga kumbe holla, [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Tunawaacha wajie hopes, ila ukweli unajulikana waziMbona huwa hamuwaambii wanavimba vichwa kumbe mfereji Tu
Lkn ninyi wanawake.......
Ile ya kimasihala.....
Wangeujua wasingevimba vichwa.Tunawaacha wajie hopes, ila ukweli unajulikana wazi
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
ok ngoja turudi kimasihara yetu kwanza maana naona pira biriani limekuwa kubwa bila kuleta magoliYes, sometimes ndoa ni bahati. Ukaloge uolewe hiyo ndoa nayo ni baraka? Ulacunje ndoa za watu uolewe tuseme ni baraka? Hapana. Nitasema ndoa ni baraka kwa wale waliozipata kihalali tu.
masihara oyeeeehUzi wa wazinzi.
Nawakumbusha tu!
Hayo yote ni ubatili na kujilisha upepo.
Siyo maneno yangu,ni maneno ya Suleiman.
Sent using Jamii Forums mobile app
@Miss PabloI wish hao wanaojifanya kuleta ligi hapo juu watume picha zao, naapa kwa Mungu tutajuta kwa nn tumetumia nguvu kubwa hivi kubishan na mtu sura zaidi babu yake wa miaka 107.
Classic ladies aka pisi hazina pozi za kujimwambafai hivo
nakazia mkuu.fukuza wote hawa tuendelee na uzi wetu.Mkaelekezane pm huko. Nimekuja kusaini hapa nakuta chat za kijinga tu.
braza anakuuliza maswali mepesi san.naona unapiga 99% na huna habariKulala naye kiaje yaani??
Kuna kipindi nilipokuwa mdogo,niliugua ilikuwa jeraha la mkono.
Nililala na baba hospital.
Kwa kusema hayo jibu ni"Ndiyo".
Sent using Jamii Forums mobile app
bosi unachokitafuta utakipata.nakushauri twende jukwaa la kusifu na kuabudu tunaweza kunena kwa lugha mojaKuwa fvcked ndio kitu gani??
Kiingereza ni kigumu jamani,mimi STD 7 failure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nataka nijaribu maana najua hakuna mkate mgumu mbele ya chai[emoji23][emoji23][emoji23]nimesema kama yupo huyo mtu ajaribu na ruksa kutoa mrejesho.
Hata wewe kama unaweza basi jaribu tu[emoji4].
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna vigezo.[emoji23][emoji23][emoji23]nimesema kama yupo huyo mtu ajaribu na ruksa kutoa mrejesho.
Hata wewe kama unaweza basi jaribu tu[emoji4].
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna demu mgumu sema kuna mademu wagumu kwa baadhi ya mamenYupo mmoja hapo juu, nadhan kwa vile wanamruka mtaan huko basi anapiga kelele humu.
Sasa wanasema flan haniwezi wakat anatumia fake id siku umjue kumbe ndo aliekuacha juzi tu.Bahati mbaya ukalenga kwenye ukweli, daah
Haina haja mkuu yule yule anae date nae ndo kishajaribu kwajiri yetu etMimi nataka nijaribu maana najua hakuna mkate mgumu mbele ya chai
kama huyo uliekua nae sio aliekutoa bikra basi unalika tu tena kirahisi kabisa.kwasababu tayari umeweza kuliwa kutoka kwa jamaa wa kwanza na aliefata/waliofataMwambiere ajueeee... anafikiri ni rahisi kila mahali.. yaan kama sikupendi hata ukihema napata hasira sembuse kunizoea?