Ulishawahi kula tunda kimasihara?
ni bora aliwe kuliko maana ameshafaidi vya watu halafu ata ivyo na yeye atasikia utamu muhimu akumbuke kinga kuliko kutaperi kama hivi ni vibaya mana masera uwa wana mtindo wa kuweka kumbukumbu siku wakikutana anaweza kuumizwa.
Acha kushauri upumbavu, acha kuwaza ngono tu
Mawanawake yanayoliwa ovyo hayana akili, mie mwenyew nikimla mtu kimasihara nampotezea ata ka ni mzr vp
 
Acha kushauri upumbavu, acha kuwaza ngono tu
Mawanawake yanayoliwa ovyo hayana akili, mie mwenyew nikimla mtu kimasihara nampotezea ata ka ni mzr vp
sawa lakini hao wagumu unao waheshimu ujue kabisa kuna wamba wana wala kimasihara kubali kataa.
 
Ungemwambia ukweli kuwa umebadilisha lodge na usingependa mawasiliano yaendelee, pia ungefanya uungwana kurudisha hela yake, mtakutana siku moja
Na watakutana pabaya kweli unakuta kaitwa kwenye interview ya bonge la kazi halafu yule bro ndio Boss au HR na kakaa kwenye panel atajutaaaaa…..
 
Wakuu naelekea kuwaangusha. Bwanaeeee kuna mtoto mdogo sana enough kuitwa mwanangu wa kuzaa japo mwanangu first born wangu ana 13 yrs now. Huyu chick namzidi miaka kama 22 hivi
Amenikomalia anataka nimpige zeze and she is very serious na anajitahidi sana wenzake wajue ananimiliki.
Ki ukweli mm simfeel kivile. Sio mbaya ni mzuri sana tu ila mnene na mm tofauti kabisa na hawa viumbe wanene.
Namhurumia the way anavojitahidi kunichatisha na amefika hata kunitumia staff wwnzangu waje kunieleza anavonifeel. Amemaliza fem4 mwaka jana.
Jion hii uzalendo umemshinda ikabidi anifungukie kwa sms kuwa anataman nitoke naye whole day tuende mbali na mjini tukakae huko hadi jion. Amesema "I am ready for you"hii kauli haina maswali anataka nikampige zeze. Leo nimemwonea huruma sana sababu mchana tu kamtuma rafiki yangu co staf akilalamika kuwa namringia. Mara kwa mara naona akiweka status zake nikizisoma zinanilenga mm. Inaelekea kuna vijana wanamtaka ila anawakazia ananihitaji mm
bahati zingine mkuu sio mbaka uletewe ikiwa uchi
 
Ni haki yako kukataa. But ungemwambia ukweli tu ili asisumbuke.
Imagine alikuwa safari siku kibao halafu siku anafika home anamkataa wife wake kisa kampaki nice v hotel x ,halafu mzigo haupo room.
Sijui alirudi home kwake kwa gia gani au aliendelea kulala guest kupunguza hasira?
 
Hili tatizo kumbe ni kubwa kiasi hiki? Shida sijui ni nini? Inahitaji mjadala mpana.
Lazima tulijadili hapa

Tuokee kizazi

Why wanawake wamekuwa si wadau wa kondomu

Ngono Ni starehe Ila preventive measure lazima zichukulie

Katika kipindi cha miaka 5 iliyopita nimekula bila kondomu Mara 3 tu yes Mara 3 tu na zote nilijilaumu Sana Tena kwa mademu wangu kabisa sio wa kuokoteza kimasihara.



Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Lazima tulijadili hapa

Tuokee kizazi

Why wanawake wamekuwa si wadau wa kondomu

Ngono Ni starehe Ila preventive measure lazima zichukulie

Katika kipindi cha miaka 5 iliyopita nimekula bila kondomu Mara 3 tu yes Mara 3 tu na zote nilijilaumu Sana Tena kwa mademu wangu kabisa sio wa kuokoteza kimasihara.



Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
mimi sipo hili kundi, unitoe
 
Back
Top Bottom