SIMBA Vs KAIZER CHIEFS
Hii mechi sitaisahau imenifanya nile kimasihara mbususu ya shabiki wa Yanga.
Baada ya kushindwa kupindua meza pale kwa Mkapa sisi mashabiki lia lia wa Simba Sports Club tulihudhunika sana lakini pia tulijifariji kuwa tulikufa kishujaa.Siku hiyo sikutaka kabisa kwenda uwanjani,kila nikianza kukata ticket kwa tigopesa nilikuwa naahirisha yaani kwa mara ya kwanza niliogopa kwenda uwanjani hivyo niliamua kuangalia mpira kwangu peke yangu tu..siku hiyo(Jumamosi iliyopita) sikutoa mguu hata getini tu sikufika.
Mimi huwa nina utani na watu wengi sana kuhusu mpira hasa mashabiki wa Yanga,yaani kama Yanga ikifungwa huwa nawapa tabu sana kuanzia voice calls,text message,whatsapp,instagram,facebook,mtaani n.k kitendo hiki kimenifanya nipate marafiki wengi sana mitandaoni,wengi wao tunachart sana..baadhi tumebadilishana hata namba na tumekuwa marafiki tunasaidiana mambo mengi zaidi ya kijamii.
Basi siku hiyo niliandaa mchemsho wangu wa kuku wa kienyeji na ndizi,juisi ya matunda kisha nikawa nafanya kazi zangu za hapa na pale.Mpaka uchambuzi wa mechi unaanza nikawa niko free nishaoga na kutulia kwenye sofa natafakari jinsi tutakavyotolewa kwa aibu,binafsi sikuwa naamini kabisa katika kupindua meza nilikuwa nahisi tutafungwa tena na kutolewa kwa aibu.
FF>>>>
Mpira ulianza ukachezwa kwa dakika 90 na matokeo yakawa 3-0 na Simba tulishindwa kwenda Nusu fainali.Basi kama kawaida nilianza kupata meseji,kupigiwa simu n.k kila mahali za kunicheka,kunikebehi n.k binafsi sikuwa najibu wala nini nilikuwa wa baridi kama nimenyeshewa mvua kwa masaa mengi.Ilipofika saa 5 usiku nikaamua kulala ili kesho niwahi kwenda kanisani.
Basi ile napanda kitandani tu nikamkumbuka shabiki mmoja wa Yanga huwa tunachati sana Facebook na huwa ananitania sana kila tukifungwa,Yaani huwa tukifungwa atanitag kwenye post,atanitext messenger n.k ila cha ajabu siku hiyo hakufanya hivyo..yaani sikuona text yake wala post yake..basi nikazama messenger yake na kumtext "Vipi mke wangu mbona leo hujanipa pole mmeo kwa yaliyonitokea,sikuelewi yaani au nimeibiwa mke wangu na Kaizer Chiefs"? Akajibu kwa viemoj vya kucheka tu kisha akajibu "Hapana mme hakuna wa kukuibia wewe ni wa maisha,hao Kaizer Chiefs ilikuwa leo tu,pole mme wangu" ikumbukwe Simba huwa tunawaita Yanga wake zetu sisi ni waume zao tulikuwa kimataifa tunawatafutia maisha na tumeshawaletea kazi kwao msimu ujao...nikamjibu "uko wapi njoo basi unipe pole ya live leo,I will appreciate that maana niko vibaya kweli" mtoto akajibu "mmmhh tena jamani,kwani wewe uko wapi saa hii?mimi niko kwenye birthday ya rafiki yangu ndo tunamalizia" nikamjibu "Mimi niko home nimelala niko bored tu hapa,kama vipi nipe uhakika birthday ikiisha nikufuate na gari chap"
Mtoto akajibu "Usijali hata mimi nipo na gari yangu,so kama kuna parking ya kutosha hapo kwako nipe location tu nitakuja" kuona meseji hii nikashituka maana mimi sikuwa serious nilikuwa najoke tu,halafu nikashituka zaidi kuona mtoto ana gari nikajua kumbe ni levels baby..nikajiongeza tu kuwa ananienjoy wala hatakuja..basi nikampa location mpaka eneo jirani kabisa na kwangu....mpaka saa sita na nusu kimya nikajua nishadanganywa..halafu bahati mbaya mpaka muda huo hatukuwa tumebadilishana namba,kila muda nachungulia messenger mtoto hayupo hata online tena..basi akili yangu ishatoka kabisa kwenye masihara yaani mashine inafoka balaa..nikapitia mapicha yake kwa page yake..yaani ndo mzuka unanipanda balaa...mtoto mrembo haswa..tako tako..rangi ya mtume..kumbe ni mchaga wa Mwika huko...bank teller wa benk moja kubwa nchini,ikumbukwe huyu dada sijawahi kuonana naye live...basi nikarudi tena messenger nikaandika namba yangu kisha nikalala zangu...mida ya saa saba na nusu nasikia simu inaita kucheki namba nikajua ndo yule shabiki wa Yanga anataka kunipiga fix tu..kupokea tu nasikia "Sorry nimechelewa kuja,niliwapeleka marafiki zangu kwao then nikapita kwangu kuchukua nguo za kubadili..dakika 20 tu nitakuwa hapo ok"? Nikamwambia poa...
FF>>>
Nimekula mbususu toka Jumamosi usiku mpaka leo Jumatatu asubuhi ndo katoka kwangu,yaani tumeagana kila mtu akaelekea kazini kwake.Mtoto alikuja na kibaby walker chake(IST) nikampokea,na nguo za kubadili kwenye handbag..yaani jana tumeshinda ndani tunafukuzana tu kama wahindi ni kula,kumbatona,kuoga na kulala tu..mtoto mtamu,mweupeeee hana hata mchirizi wa utotoni..ziwa konzi..plus cheni cha dhahabu feki kiunoni....mademu wazuri wapo..yaani nimejiona kama ndo nimeanza hii kitu Jumamosi..na yeye kakolea anasema ulikuwa wapi jamani HB wangu..yaani uko smart muonekano hata ndani kwako pako poa..halafu unaishi mazingira tulivu itabidi weekend zangu zote niwe nakuja huku..basi naguna guna tu pale huku nachezea chuchu na cheni..mpaka nimeshawishika kuoa aisee ngoja nimpime kwenye mzani nitajua mbele kwa mbele,niungane na Manara kwa kuoa shabiki wa Yanga hahaha...maana hii mbususu ya shabiki wa Yanga ni tamu balaa.
SIMBA NA YANGA NI WATANI SI MAADUI