Nitafanya ivo mkuuTafuta pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitafanya ivo mkuuTafuta pesa
Zipo NJIA nyingiTufanyeje tufike 7inch.
Wataalam hao walishaurije.
Performance nayo inategemea na saizi,kuna kidada kiliniita kibamia,kuna mwingine hicho alichoita kibamia kikamtoa jasho 😀Halafu ufanyeje ndugu yangu. Work on your performance mengine yaache kama yalivyo.
MBONA nimeandika mkuu,Hii tafiti inapingana na ile ya inayosema WACONGOMAN kutoka DRC Congo ndio wanaoongoza kwa mikuyange mikuwa duniani.
Nikiupata nitauweka hapa kama rejea (reference)
Baada ya kuona hii post nimepata majibu kwanini lile dude lilikuwa linaniambia linataka kwenda Congo kuanza biashara. Gaddamit!!Tafiti mbalimbali zinaonyesha kwamba wastani wa Maumbile ya Uume kwa wanaume walio wengi duniani Ni urefu wa Inch 5.45
Ambapo,
Kutokana na mtizamo wa Wanawake walio wengi duniani jinsi wanavyoyachukulia maumbile ya wenza wao,
Ukubwa wa maumbile umeweza kugawanywa katika makundi mbali mbali
1. MKUBWA
TBS kiwango bossMali swafii
Daah..Imagine wakongo wanaongoza kuwa na mijegejo mirefu ila wakavumbua VUMBI LA CONGO je sisi wa Tz wenye vibamia je (kwa mjibu wa hizo tafiti)
WACONGO wako Kwenye PEAK[emoji116]Hii tafiti inapingana na ile ya inayosema WACONGOMAN kutoka DRC Congo ndio wanaoongoza kwa mikuyange mikuwa duniani.
Nikiupata nitauweka hapa kama rejea (reference)
Tunavikunja visamaki vingali vibichiImagine wakongo wanaongoza kuwa na mijegejo mirefu ila wakavumbua VUMBI LA CONGO je sisi wa Tz wenye vibamia je (kwa mjibu wa hizo tafiti)
Utafiti unaonyesha Vyote vinakwenda sambamba (length&girth).Kwa mimi na ujuzi wangu mdogo ya kisayansi kuhusu sexual affairs naweza kusema ishu sio urefu sana,,ishu ni girth(upana).
Hapo sasa.Performance nayo inategemea na saizi,kuna kidada kiliniita kibamia,kuna mwingine hicho alichoita kibamia kikamtoa jasho 😀
Unajishtukia mkuuTAFITI ZA KUTIANA UNYONGE HIZI
Mods futa huu Uzi.