Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Kuna mama yangu mdogo alinifanyia hivi. Sema wewe ulikuwa na miaka 9, mimi nilikuwa kati ya 6 au 7. Nikienda kumsalimia natamani nimuulize kwa nini alifanya vile lkn sina ujasiri wa kumuuliza maana sina utani naye
Duh, kumbe yametukuta wengi, mm nlifanyiwa na mke wa kaka yangu. Alishafariki
 
Ha ha ha ha ni sawa lakini si kwa wote. Wengine hata siyo hobbies zetu. Sisi ni indoors. Viwanja na partners wetu. Mtu anayeijua thamani yake ngumu sana kumshawishi kwa material things. Hili ulijue. I am a seniour bachelor. Na dhiki zangu baadoo. Yaan ni nikupende mimi pia ndo nitakua nimekupa wepesi. Na siyo kwa haraka hivyo[emoji23][emoji23]

Ila hapo kwa vibinti vya 18 to 20s hahaha. Eti vinakua vinasumbua mpk 2 weeks. Nakuona experienced. Nikukute na binti yangu nakumaliza we shababi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanaume wajinga wanagongagonga tu ata vichaa au ata manawake ya ajab, kama mtu unaejielewa lazima ujiwekee class, sio dem anaekuja tu unamla, Ata mastaa wenyewe wanachagua madem wa kupiga, ukipigapiga unapungukiwa heshima na unaonekana fara tu mbele ya madem au ata washkaj, piga dem ambae kila mtu akijua anakuinulia kofia, ata ka ni gharama kiaje ila usijiweke cheap
Unajua maana ya kula tunda kimasihara?

Kinachotokea kula mbususu wakati huo tena haraka bila kutegemea uzuri wa mliwaji mbususu/ wala mazingira yenyewe

Muda/maandalizi ya wakutafuta wanawake classic haupo kwenye kula tunda kimasihara ila wakati wakula tunda kimasihara unaweza kukutana na wanawake classic na wanawake ambao siyo classic

Lamsingi nakushauri kaanzishe Uzi unaosema " waliokula mbususu za wanawake classic"

Nyie ndio mnaobaka Uzi wetu
 
Niko hapa Kishimba Beach naona pembeni yangu kuna Mzungu, kajichora love shingoni. Nikasema ngoja nikaongee na mzungu jamn, nikahisi hajui Kiswahili, kumbe anajua vizuri tu. Basi amegeuka na kutabasamu.

Nami nikamwangalia kwa tabasamu, nikamwomba nikae nae, akasema "hamna shida, njoo tukae tu". Tuko nae hapa, wadau, kama upo Mwanza unaweza kufika hapa Kishimba Beach, jirani na ilipopaki boat ya MV. Bujiku.

Bado tunaongea mazungumzo ya kawaida tu lkn. Natamani itokee jmn!!! "Germany girl"

Pliz Pray for Me. Pray for Our Nation
Unaacha kufanya kazi uliyotumwa na taifa uko bize unatype[emoji1787][emoji1787]
 
KAKA TAFADHALI NAOMBA USINIPIGIE SIMU.

Niliamka asubuhi na mapema nikajiandaa kwenda kwenye kibarua changu ambacho kimsingi ni hands to mouth tu. Lakini nitafanyaje! HKL imeniacha na Visasili na Vigano tu, imeshindwa kuniongoza vyema kuufikia uchumi wa kuweka akiba.

Baada ya kumaliza kujiandaa, nilianza mwendo wa kuelekea kituo cha daladala ili nipate kujisogeza kibaruani. Na hapo ndipo nilipo muona binti mrefu, umbo wastani mwenye rangi nyeupe akielekea ninako elekea. Kwa namna alivyokuwa ameniacha ilikuwa ni ngumu kumfikia, maana alikuwa anatembea kwa Kasi, nikajua tu huyu ni wale form six waliopita JKT Mafinga!

Niliamua kupiga mluzi kama naimba wimbo wa Kwaresma. Nimekosaaa, nimekosaaa, nimekosa baba, nimekosaaa nihurumie...x2 (unaweza kuupiga mluzi kwa nguvu kidogo ili mtu aliye mbali nawe akusikie[emoji3]). Basi yule dada aligeuka na ghafla akaanza kupunguza spidi! Nafikir alihisi aibu mtoto wa kike kutembea kama yuko mchakamchaka shule ya msingi Busagami. Mi niliendelea na mluzi wangu, huko nikiongeza spidi ili niweze kumfikia kabla hatujaifikia lami na kupanda daladala.

Mara paaap, huyu hapa! Dada mambo? Poa! Wengine nyumbani? Hawajambo! Samahani, alisimama! Bila kusema lolote, nilimtazama usoni mpaka chini, afu jicho langu likaishia machoni mwake, hadi akanishangaa! Wew, umekuaj mbona unaniangalia hivo na kama umehamaki? Unanifahamu? Umetumwa? Yaani mpka nimeogopa!!

Nilimwita dada, akaitika bee! Nikampa mkono wangu, akasita then akanipa, nikamwambia wewe mzuri sana dada! Yaani ni mzuri! Afu tukaanza kutembea! Nikaguna!! Mmmmh! Mbona unaguna! Aliniuliza nikamwambia dada wewe, ni mzuri! Akasema mbona hata wewe ni mzuri, nikamwambia ahsante. Niseme tu ukweli umenigusa! Akanambia pole! Nikasema ahsante!

Ilibid nimwangalie tena kwa kumkazia macho, then akakwepesha! Nikamuuliza jina akanambia anaitwa M, mi nae nikamtajia la kwangu. Afu nikamwambia, M ni kweli tangu Mwaka wa 2015 umeanza nimeona Wanawake wengi wazuri, lakn ni kwenye TV tu.

Najiapiza kwa mbingu kwamba ana kwa ana wewe ndo mwanamke mzuri namba moja ambaye nimekutana nae tangu Mwaka umeanza! Akachekaaaa, afu akasema wanaume bwn! Mara tukaona daladala inakuja, nikamuomba namba akagoma! Omba akagoma. Basi daladala ikafika, tukapanda yeye akapata siti mbele mi nyuma kabisa!

Lakn akiwa mbele alikuwa anageuka kuniangalia afu akikuta nami namwangalia anarudisha uso mbele. Watu wakaanza kujaa, tukashindwa kuonana sasa. Nilijitahid kuchezesha shingo nimwone wapi, duuh! Hata akishuka labda nimuone dirishani lkn vinginevyo ni ngumu.

Tumefika sehemu wakashuka watu wengi kidogo, hapo nikaanza kumuona! Nilikuwa na kibegi changu, nikatoa note book na kalamu nikaandika namba yangu kwenye moja ya karatasi, then nikaichana ili atakaposhuka, nami nishuke afu nimpe kikaratasi nilichoandika namba yangu na jina langu.

Kweli tumefika kituo fulani akashuka, nami fasta nikashuka! Nikamfuata anakoelekea! Wanaume sisi kwa kweli! Basi tu. Nikampa kikaratasi akakataa, bembeleza akakataa.

Nimeshukia njiani kwa ajili yake lkn bado anakataa! Basi alikuwa na mkoba wake wa wazi, umenining'inia nikachomeka kikaratasi changu mle! Akasema unapoteza nguvu zako na muda wako bure tu, hiki nakichana soon.

Mi sikumjibu kitu, nikaanza kurudi kwenye kituo cha daladala tena, ili niendelee na Safari yangu. Nikiwa narudi, nilikuwa nageuka kuona kama anakichukua akichane, niliona kama hajajishughulisha nacho. Then, nageuka nakuta nae kageuka kunitizama. Huyooo, akapotea nami huyooo kwenye daladala upya, nakuanza Safari ya kuelekea kibaruani!

Day 1 nill, Day 2 nill, One week- nill,
2nd week- nill! Nikajua lishenzi lilichana! Msichana mzuri kama yule anakuaje na roho ya kikatili namna ile! Mi kuhangaika nae kote hajui kuwa nina upendo kwake jamani. Potelea mbali, kwani nin bhn! Basi nikaamini imeshakula kwangu.

Mungu si rikiboy nakumbuka ilikuwa siku ya Ijumaa, wiki ya nne, nikapokea meseji, mi M, TAFADHALI NAOMBA USINIPIGIE SIMU. Hahahahaha, Wanawake bhn! Sasa wew hutaki nikupigie, alafu unanitumia namba yako ya simu tena. Jamani, basi nikajua tu hapa tunda linaenda kuliwa!

Sikumjibu kitu, nilikaa tu kimya kama siku 2. Then, J3 nikamtumia ujumbe, nikamwambia rfk yangu kama ni mpenzi wa kuku karibu, mi niko hapa .....napoteza poteza muda! Ukiwa uko mbali chukua boda tu nitacover! Wakati mwema!

Alichukua kama nusu saa hivi kujibu, akanambia siko mbali maana nakaa jirani tu na maeneo tuliyoonania siku ile. Nipe one hour nitakujibu. Nikasema okay!

Hata dk 30 hazikufika, akanambia nimefika! Nikatoka nikamchukua hadi kwenye eneo fulani la mafichoficho hapo kwenye hicho kijiwe! Tukaita wa jikoni na na wa bar! Tukahudumiwa, hakuwa mnywaji wa pombe, mi pia! Tukala na kupiga stori nyingi nyingi tu. Zikiwemo mishe zetu na mahusiano. Unakaa na Nani, nimepanga pale tu. Nafanyia town, na mambo kibao. Mi pia nikampa hekaya zangu.

Baada ya kila kitu, kukamilika nikalipa, nikamwambia kwangu unajua ni nyuma ya hii bar tu. Haaa kumbe ni hapo tu. Twende upaone, hapana siku nyingine bn. Tukabishana pale mwishowe nikaja nae getho, saa 2 usiku hapo.

Tumefika getho, akaanza kunisema! Mmmh na wewe ona vitu ulivyopanga jamn. Nikamwambia tangu nimepanga hapa wew ndo mwanamke wa kwanza kuingia humu. Yaani moyo wangu sijui umekuaminije hivi. Tangu siku nimekuona moyo wangu ulinambia huyu ndiye mwenyewe. Nakupenda sana M.

Akaniangalia tu, nikamfuata kwa ajili ya kumkumbatia na kumbusu, akanambia subiri nikupangie basi getho lako kwanza! Maaana mmmh! Tukacheka, afu tukagonga! Alianza kwenye meza, then kitandani, akatoa shuka, akaanza kuliweka tena vizuri, ile anaweka miguu aanze kutandika, kigauni chake kile kifupi kikaacha mapaja wazi, na wala hakujali, mi nikapigwa shoti. Nilipanda kitandani nami ili tutandike nae! Nilimuita tu jina Mara moja, M! Abeee, akageuka kuniangalia! You are so beautiful! Thanks, huku akinangalia kwa upole na hekima.

Hapo ndo niliamua kumvutia kifuani kwangu na kuanza kumnyonya mate, akaachia shuka na kuanza kunipa ushirikiano. Nikambeba tukashuka nae chini tukasimama, tukiwa tunaangalizana, na kupapasana sana, shusha kwenye makalio yake ya wastani , nyonyana sana.

Akaanza kunifungua vifungo vya shati langu, na kuanza kuninyonya kifuani! Bila ajizi, akanisukuma kitandani, akafungua kishikizo na zipu ya suruali yangu na kujisogeza chini na kuanza kuninyonya uume! Nyonya weee, nikawa napiga piga miguu kama kuku ambaye hajachinjwa vizuri.

Then akapanda kifuani kwangu na kunisogezea maziwa yake yaliyotuna fresh, nikaanza kuyamung'unya kama embe dodo. Mung'unya, Mung'unya, Mara kadenda, then mara nikavuta chupi yake chini, akatoa miguu, kidole kikacheza na mfereji maringo, chokonoa wee, akaamua kuushika na kujipimia, sikuwa na zana ndani!

Akaikatikia sana, na kasauti ka kichinga! Ameikatia, nashangaa anatoka, akainama, nikaenda nyuma yake na shuguli ikaendelea! Peleka Moto, then mshindo Mkuu. Baadae akataka kuhamia kwangu, kabisa. Nikamkatalia katakata! Sema alikuwa anajiheshimu sana yule mdada, na mimi nilijikuta nampenda kweli as she was very royal.

KUNIACHA

Tutapika na kupakua hivi hadi lini mpenzi wangu. Turasimishe tafadhali! Mi bado M! After a year bila kuona mwelekeo wangu, akanambia baby sijui nitakusubiri mpaka lini! Nikawa sina Cha kujibu! Akaanza kulia, nakunambia baby kuna mtu amejitojeza anataka kunioa, na mm kikwazo ni wewe! Naomba unipe hatima yangu kwako.

M Mimi ukweli sijawa tayari kuoa saiv, kwani nini unakosa! Nikikuoa ni nini kitakuwa kipya zaidi ya hiki tunachokifanya? Huu ni uzinzi, alafu nataka kuzaa, na siwezi kukuzalia kama hujanioa, itakuwa ni aibu kwangu na familia! Kama hauko tayari niruhusu niolewe tu nakuomba.

Ukweli kwa wakati huo sikuwa na wazo la kuoa, nikamwambia, nitakujibu! Nikamkumbatia, tukaingia uwanjani na kuanza tena kupelekeana motrooo! Alivyoondoka, ikabidi tu nimtumie meseji ya kumruhusu. Hakunijibu kitu. Nikimpigia simu Sasa hapokei, hadi zikapita siku 3.

Akanitumia meseji kuwa nakushukru sana kwa upendo na maisha tuliyoshare wote. Milima ilikuwepo lkn siwezi kuihesabu, ulioniongoza vyema, nilitaka nikuchukie lakn nimetafakari na kugundua hakuna baya lolote katika jibu lako hili. Ni kwa ajili ya heshima yangu, familia yangu lkn na kwako ambaye umenituliza kwa muda wote tukiyokuwa pamoja. Ahsante na kwa kheri.

Baada ya kupokea hii meseji roho iliniuma Sana. Lkn tangu hapo sikuipata hiyo namba, nilpoenda kwake kesho yake, nikaambiwa kaondoka hapa jana jioni. Na kila kitu chake katoa na karudisha chumba. Yalikuwa ni maumivu makali ambayo sikuyategemea, lkn ndo M hayupo Tena na sina mawasiliano nae. Nilikuja kuonana nae Tunduru, 2019 kawa mzuri balaa! Yaani balaa, mme wake ana ofisi ya Madini huko.

Nawasilisha kwa uzuni sana!!
Daaaaah mwamba unataka watu walie nn
Umeua sana hapa
 
Niko hapa Kishimba Beach naona pembeni yangu kuna Mzungu, kajichora love shingoni. Nikasema ngoja nikaongee na mzungu jamn, nikahisi hajui Kiswahili, kumbe anajua vizuri tu. Basi amegeuka na kutabasamu.

Nami nikamwangalia kwa tabasamu, nikamwomba nikae nae, akasema "hamna shida, njoo tukae tu". Tuko nae hapa, wadau, kama upo Mwanza unaweza kufika hapa Kishimba Beach, jirani na ilipopaki boat ya MV. Bujiku.

Bado tunaongea mazungumzo ya kawaida tu lkn. Natamani itokee jmn!!! "Germany girl"

Pliz Pray for Me. Pray for Our Nation
ha ha ha hahaaaaa...kila la kheri mdau
 
Mwaka jana tu nilikuwa naenda mkoa flani sikuwahi kufika kule. Pembeni yangu nilikaa na kaka akaniambia ni mwenyeji kule ninapoenda. Tukawa tunapiga story za hapa na pale tukazoeana. Njia nzima tukawa tukishuka kupata chakula analipia yeye, safari ilikuwa ndefu sana. Basi kufika njiani bus lilipata shida ikasababisha tufike tunakoenda saa4 usiku.

Yule kaka aliniambia ana familia akaenilekeza lodge ili nikalale pale kesho asubuh nielekee ofisi nilokuwa naenda. Akachukua no ya simu. Ila akasema tukifika atapeleka mzigo kwake then atakuja pale lodge ahakikishe kama nimefika salama, nikasema poa. Akanipa hela ya room.

Tukashuka akachukua boda fasta akasepa. Nami nikachukua boda ghafla nkawaza huyu kaka nikikaa vibaya atakuja kunila kimasihara. Basi nkamwambia boda nipeleke lodge nzuri nikalale. Boda akanipeleka lodge nyingine kabisa kufika nikaona jina sio lile alonielekeza yule kaka. Nkasema poa!!!! Nikachukua room.

Baada ya dk 20 yule kaka kapiga simu nipo nje upo room no ngapi? nkamwambia no.... akasema poa nakuja...nikazima simu nikalala. Asubuh kuwasha simu ziliingia text kama 10 za matusi mfululizo, sikumjubu wala!!!!!! daaah wanaume nyie basi tu.
shenziii
 
Niko hapa Kishimba Beach naona pembeni yangu kuna Mzungu, kajichora love shingoni. Nikasema ngoja nikaongee na mzungu jamn, nikahisi hajui Kiswahili, kumbe anajua vizuri tu. Basi amegeuka na kutabasamu.

Nami nikamwangalia kwa tabasamu, nikamwomba nikae nae, akasema "hamna shida, njoo tukae tu". Tuko nae hapa, wadau, kama upo Mwanza unaweza kufika hapa Kishimba Beach, jirani na ilipopaki boat ya MV. Bujiku.

Bado tunaongea mazungumzo ya kawaida tu lkn. Natamani itokee jmn!!! "Germany girl"

Pliz Pray for Me. Pray for Our Nation
Mechi ya kimaitaifa ni ngumu wazee. Ndo sasa naelewa kwa nini Simba alifungwa 4-0 na Kaizer chief. Mpaka jana tunaagana, niliambulia kumtabasamisha, picha za pamoja na namba tu. Siku 12 zijazo ataondoka kurudi kwao. Trh 14 atakuwa Arusha , afu ataenda kwa masista kule Iringa, atakuja Dsm na kurejea kwao. Anatarajia kuondoka trh 23/6/2021

Mimi tayari nimeshapanda gari la "Kiazi Kitamu" kurudi zangu DSM. Nitajitahidi kuweka mazingira ili akija Dar, niwe mgeni wake hotel atakayofikia. Naaminj siku ya kwenda airport, nitakuwa pamoja nae.

Nikikosa tunda pia, nitawajulisheni ndugu zangu. Ila kwa namna tunavyowasiliana, nafikir Taifa linaenda kuheshimishwa!

Ukimsifia, anashika nywele anarudisha nyuma, afu anatabasamu sana. Wakati tukiendelea na sala, nakuomba Nyani Ngabu unipige msasa wa kimombo. Japo yeye anafurahia sana kuongea Kiswahili zaidi kuliko kiingereza!

Naweza kusema hadi dakika hii Tanzania 2- 3 Germany

Wimbo ni ule ule " Atafutae hachoki, akichoka tayari keshapata"
 
Back
Top Bottom