Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Oneni Huyu Mpenda Pesa!

Nilikuwa natoka zangu Mwenge naelekea Mbezi kupitia Goba! Mara kwenye siti ya pembeni akaja mrembo mmoja hivi. Akakaa then akanisalimia. Mambo? Poa! Afu wote tukanyamaza.

Njwiiiiiiimmm, njwiiiiiiimmm, njwinjwi, njwinjwi, njiwwiiiiiim, njwiiiiiiimmm! Mara Goba Center Mtoto hashuki. Ikabidi nimuulize, sorry sister unashuka Mbezi? Ndiyo!

Basi nikamwandikia ujumbe kwenye simu yangu, nikampa asome. Ujumbe ulikuwa simple tu lkn ukiomba na namba yake ya simu. Basi akatabasamu afu akafuta, akaandika namba yake na kunirejeshea simu yangu.

Jioni, nywele zake zikafumuka, kodi ikaisha, na Luku ikakata na maji msoma mita akamfungia! Nikampa pole, then nikamwambia anipe muda nimtafutie! Akasema nijitahidi ndani ya wiki hiyo. Ameweka na makopa kopa na baby nyingi sana. Sikuwa na namna zaidi ya kukubali maana alikuwa kidogo si haba kwa kweli.

Jmatano, akanipigia simu analia, kwamba ameibiwa elfu 70, na ilikuwa ya watu hivo, na hajui apate wapi. Nikamwambia pole, lakn elfu 70 si ya kumfanya alie. Yuko na Mimi wasiwasi wa nini tuijumlishie pale kwenye zile zingine afu Jmos mi nimpe. Akasema poa, ahsante baby! I love you [emoji3590]!

Hapo sijamtumia hata 10. Usiku anapiga balaa. Basi Ijumaa jioni, nikatandaza shilingi kama laki tatu, na ishirini na tano mchanganyiko wa elfu 5 na elfu 10. Nikapiga picha, chwaaaa, then nikamtumia ile picha WhatsApp, then nikafunga kwenye bahasha nikaandika jina lake, na kupiga picha tena. Nikamtumia hiyo picha ya bahasha, nikiambatisha na ujumbe, mzigo wako tayari baby! Samahani kwa kukusubirisha, but thanks god nimefanikisha. Kesho uje uchukue!

Mara wee nitumie mpesa, oooh tigo pesa! Nikamwambia, nimehangaika kukutafutia hata kuja kuchukua hutaki! Kwa heri aisee!

Baada ya dk kama 30, akanitumia ujumbe poa kesho nakuja! Nikakimbia duka la dawa kununua condom, huku nikimpa ramani, vizuri. Nilivotoka kununua ndom, nikachukua bahasha nyingine nikaweka makaratasi na shilingi elfu 5 juu ya makaratasi, afu nikapini kwa Stapler, 5000 nyingine nikaiacha juu juu hapo kitandani.

Kesho yake mida ya Saa tisa, akafika kituo cha kumpokelea. Nikampokea nikazama nae getho. Tukakumbatiana pale nini, mara akapeleka mkono kwenye surauali yangu, na nikawa nacheza na chuchu zake na kumpapasa mwili wake. Tukaandaana vizuri tu, huku akiona bahasha imetuna pembeni y kitanda, hapo. Tukavuana nguo na kupigana mti.


Tulipigana vitatu bila kujali amekula au hajala. Lakini muda aliyokuja ulikuwa tayari ni muda wa mtu kuwa amekula tayari. Basi tulivyomaliza, akaenda kuoga na kujiandaa kuondoka. Nikaoga pia then nikachukua ile elfu tano kama nauli na bahasha yake iliyobanwa vizuri! Tukafika hadi kituo cha Bajaji nikampandisha bajaji nikampa ile 5000 na bahasha yake.

Afu mi nikazima simu. Saa tatu kufungua simu nilikutana na mitusi si ya nchi hii. Chain Fekelo, Money Fekelo!
HAHAHA
 
Mwaka 2015 nilipata simu ambayo namba ilikuwa ngeni kwangu. Niliipokea, lakini kumbe mpigaji mwenye sauti nyororo mno yanye kuvutia masikioni alikuwa kakosea namba. Basi aliniomba msamaha lakini ikabidi nilazimishe kuendeleza mazungumzo kidogo. Aliniambia kuwa ni mwanafunzi katika chuo cha sheria Lushoto.

Mara moja moja tuliendelea kuwasiliana kwa simu na kwenye WhatsApp. Kama kawaida ya hawa viumbe wa kike alikuwa haishi kuomba pesa kwaajili ya hiki na kile. Nilijitahidi kadiri niwezavyo kumsaidia. Mawasiliano haya yalidumu kwa zaidi ya mwaka mmoja na kipindi chote hicho hatukuwahi kuonana. Mwaka 2016 nilipata safari ya kikazi Tanga. Niliona hii ndio fursa ya kuonana na huyu mrembo mwenye sauti nyororo kama ya Double E wa enzi zile za Radio Free Africa.

Nilifika Tanga siku ya Ijumaa mchana na tulikuwa tumekubaliana na huyo dada aje Tanga Jumamosi. Alifika kweli Jmosi mchana, alikuwa ni demu mzuri na hakika sauti yake ilikuwa nyororo mno. Tulipata mlo wa mchana na kisha tukaenda kupata vinywaji sehemu nyingine. Mida ya saa moja hivi aliniambia kuwa alikuja na mwenzake toka chuo lakini alikuwa kaenda kumsalimia dada yake, hivyo akaomba amuite aje. Nikampa ruksa amuite! Bahati mbaya simu ya huyu demu iliisha charge hivyo akaomba simu yangu ili ampigie. Nilimpatia akawasiliana na huyo rafiki yake alipomaliza alinirudishia lakini alisahau kufuta namba!! Baada ya nusu saa hivi huyo demu alifika.....mapigo yangu ya moyo yalienda kasi! Alikuwa ni mrembo mno kumzidi rafiki yake. Alinichangamkia kama vile ananijua sana (inaonekana yule mwenzake alikuwa akimuhadithia uhusiano wetu)!

Vinywaji na vitafunwa viliendelea mpaka mida ya saa tano usiku hivi. Wakati huo wote nilianza kuchati na huyo demu mwingine akalielewa somo. Basi mida hiyo ya saa tano, yule demu mwingine akajifanya kama anaaga arudi kwa dada yake. Nikajifanya kumuomba yule demu wangu wa mwanzo amshawishi tukalale wote hotelini, tumchukulie chumba (nilisha muomba wakati tunachati na akakubali)! Mwisho wa siku alikubali. Nikapiga simu hotelini na chumba kikapatina.

Nilimpigia mshikaji wangu mmoja tuliyekuja naye kikazi aje pale tulipo na alipofika nilimtambulisha kwao kisha nikawaomba wale wadada watangulie hotelini kwani tuna mazungumzo ya kikazi na huyu mwenzangu. Niliwaitia tax hawa mabinti ikawapeleka hotelini. Nilizuga zuga kwa nusu saa huku nikiwasiliana na yule rafiki wa demu wangu. Nilienda hotelini nikafikia kwa room ya ya huyo rafiki wa demu wangu. Hakika alikuwa ni mzuri sio tu kwa sura bali hata kitandani. Nilikaa hadi saa tisa usiku kisha ndio nikaenda kwa demu wangu. Nilimkuta kalala fofoo kutokana na ulevi hivyo sikumsumbua. Nilijipigia Morning Glory tu!
Umenishinda tabia
 
Achana na teuzi za mama. Mimi ndio rais wa nchi hii 2025. Hii comment ihifadhi utairejea siku naapishwa.
Kwani kwa mujibu wa Katiba yetu Rais anapaswa kuwa na umri gani? Kwani it appears you are under 30 na ifikapo 2025 utakuwa hujafikia umri kikatiba wa wewe kuwa Rais😀😀
 
Jamaa yangu alinisimlia alivyomla kimashara mtoto wa kishua alikuwa anasoma form five mwanza
Picha linaanzia kwenye ndege tokea mwanza kuja dar, jamaa alikuwa anafanya barrick ofisi za massaki alikuwa mhasibu.
Wamepanda ndege toka mwanza, haijulikani either ni ugeni ama alikuwa anaumwa, dema akatapika na kwa bahati mbaya alimtapikia jamaa mwaaaaaaa, jamaa akajikausha maana alikuwa kasinzia, hakujitingisha wala kushtuka ila seleka lote alikuwa amelisikia, dada akaanza kuhangaika.
Mwishoni akamstua jamaa na kumplease sana akamfuta jamaa akamwambia usijali hakuna shida, and pole sana.
Stori zikaanzia hapo wakafahamiana and hadi ndege inatua DAR jamaa ashachukua namba,
Wiki haikupita jamaa akamlaza chali dem
 
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasiraa, jamaa ake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga.

Mimi niliona status demu flani ninaemkubali kaandika i need somebody to talk to aisee nikampigia video call kumbe alikuwa analiaa nkamwambia upo wapi?? Akasema yupo hostel anaugulia maumivu bwana ake kamla rafika ake na ana ushahidi aisee nkamwambia pole sana.

Vipi tutoke bhasi ukapoteze mawazo kidogo? Akasema twende tu me nshachoka kuumizwa. Aisee ile siku sikuamini nilihisi ni ndoto japo baada ya tukio akaniblock kisa nilimpost demu wangu. Na yeye akampost jamaa eti ili anikomoe nkasema wanawake bhana.

Je, vipi ushawahi kula tamu kiutani utani tu? Mlidumu kama wapenzi baada ya kumla?

===========

TAKE NOTE:

===========

Moderator: Hii thread imerejeshwa na owner wa mjadala amekuwa rikiboy kama ilivyoombwa na wadau. Mnaombwa kuzingatia lugha katika uwasilishaji wa maoni
Aisee safari za mabasi hii kula kimasihara inatokea na zile umesafiri afu chaap unalala gest au lodge mkutane me na ke wote mnatafuta chumba hata kama vipo vingi mtajikuta tu mnaamua km vipi tuchukue kimoja haaahh ashaliwa mtu kimasiara
 
Back
Top Bottom