Hahaha wakuu kuna habari nmeikuta huko yutyubu
Yaan kuna Mwamba wamempa jina la "Teleza"..huyu mwamba inasemekana alikua anajipaka mafuta anaingia ndani mwa nyumba za watu usiku na 'Kula Mbunye za wanawake "
Sasa kwakua kajipaka mafuta mwilin mwake anakua anateleza. .,kwa mujibu ya walobakwa naye wanasema anateleza mwili ivo wakamuita "Teleza".
Sasa kilichonichekesha
Wote, Akina Baba, na Akina Mama na waschanaz wamekivamia kituo cha Polisi kinachosemekana ndiko amekamatwa na kuwekwa huyu ' Teleza '
Madai ya Akina mama " Wanataka wamuone tu Teleza anavyofanana[emoji23][emoji23]
Madai ya Akina Baba.. "Wanataka wamuone huyo Teleza anafanaanaje [emoji23][emoji23]
Kwamba wanawake wanataka kujua huyu jamaa anayewapiga usiku ni HB??? au ndo wameliwa na Mtu mbad[emoji23][emoji23]
Wanaume nao wanataka kujua huyu mwamba aliyetafuna mbunye za wanawake wao ni HB au ??[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1887251