planexboi
Member
- Aug 5, 2021
- 45
- 229
unadhani maelezo yangu yamelenga wapiKwan kuna wadada wa Jf na wa wapi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unadhani maelezo yangu yamelenga wapiKwan kuna wadada wa Jf na wa wapi mkuu?
Si useme imesimamishwa kwa sababu mliiba pepa tuu jamaaMajibu bado mkuu,
Lakini hatua ya pili (oral) imesimamishwa kwanza
Mwenda bure sio mkaa bure, na heri ya tisa kenda kuliko kumi nenda. Something is better than nothing so hata nikikosa kazi angalau nilifaidi mtoto wa kitanga.
Baridi ya dom ni kiboko.Dah,
Ahsante Utumishi.
Nimeenda kupiga pepa Dodoma, intavyuu ya TRA tuko mtu nyomi. Kusema ukweli hili nyomi nililitabiri tu, hivyo nikakata kabisa gari ya kwenda na kurudi, na kuna binamu yangu mmoja anaishi Dodoma nikamuomba anifanyie booking ya room. Ingawa alitaka nilale kwake.
Niliingia Dodoma ijumaa saa kumi na moja jioni nkamkuta binamu stand ananisubir. Alimaindi why sikutaka kulala kwake nkamwambia niko poa tu, gharama asijali, alinichukua mpaka lodge aliyonifanyia booking nkapumzika hapo nimechoka hoi. Lodge iko nyuma ya Pub ya Platnum pale opposite ghorofa za NHC.
Saa moja usiku nkasema ntoke nkatafute mlo ili nirud nije nisome "possibles" za pepa ya kesho yake. Wakati natoka mapokezi nkakutana na mdada anashuka kwenye bodaboda, yule dereva anamwambia wajaribu pale labda watapata. Yule dada akaanza kulalamika why Utumishi wameamua kuleta pepa huku Dom, hapo nkajua kumbe yule dada ni "mwenzangu".
Nlimwambia Mimi pia ni mpiga pepa mwenzie, hivyo kama hatojali basi aniamini tu tuwe kampani asiendelee kuzunguka, mji umejaa. Alinielewa, nikarud nae ndani kuweka begi lake kisha nikatoka nae. Pale lodge ni karibu na Chako ni Chako ambako tulienda kupata menu tukarud kujadili pepa la kesho. Tulionyeshana vitambulisho ili tutambuane na kuaminiana zaidi, aliniambia katokea Tanga.
Pepa tumejadili weeee, mpaka saa saba usiku tukaamua inatosha. Tulikua free tu kujadili kana kwamba ni watu tunaojuana kitambo. Tulipeana uzoefu mbalimbali juu ya pepa za TRA zinavyokua. Dodoma wakuu ni barid sana usiku, yaani utadhani umeweka AC mpaka ile lowest temperature 15°. Kwakua ilikua usiku sana tuliamua tulale tu Sasa tusubir hiyo asubuhi. Kwenye kuoga kila mtu alioga kivyake, kuvaa unajitanda shuka kisha unageukia ukutani ndo unavaa. Kulala ilikua ni Mzungu wa Nne.
Sintoeleza ya kwenye pepa maana yapo humu, ila jioni tulikutana tena pale lodge. Hapa sasa hatukua na obligation yoyote zaidi ya kujiandaa kwa kesho kurud makwetu. Tulisema tuzunguke tuone mji ulivyo tukaingia viwanja kadhaa. Vinjwaji pia havikukoseka huko viwanjani. Tulirud kwenye saa nane hivi usiku, Pombe hazina adabu na Dodoma ni baridi hivyo kimasihara masihara tunda likamegwa. Sikumtongoza, hakunitongoza bali automatically tu tukajikuta tunajiliwaza kwa kumaliza pepa.
Zilipigwa game kadhaa usiku huo ili kujaribu kushindana na baridi, lakini mwishowe tuliamua tupumzike tu, maana ni ngumu kushindana na nature. Mtoto alikua "fundi" Sana nkasema nitaenda tu Tanga one day kwa ajili ya Mechi ya marudiano. Gari yangu ilikua saa tisa mchana, yeye saba mchana. Hivyo tulipata wasaa wa kupiga story hiyo asubuhi.
Ahsanteni Tena Utumishi.
Nakubaliana naweHawezi kuwa lecturer huyu [emoji23][emoji23][emoji23]
Uandishi mzuri tu mkuu ujumbe umefikanilivyomla kimasiara mwanamke mwenye mguu mmoja.
wakuu kwema ??
kwanza kabisa niseme nyuma ya pazia wengi wanaoongoza kuliwa kimasiara ni wake za watu,singlemaza,wale wenye mpesa.na wenye shida mbali mbali hasa za kiuchumi.
twende sasa kwenye mada husika,au natania ndugu zangu (in sukuma voice)
huyu mwanamke tumefahamiana miez kadhaa nyuma tulitokea kuzoeana kwa sabab ya shughuli nayoifanya ,kiukweli ni mzuri mweupe ila kama mnavyojua kizuri hakikosi kasoro.
siku moja nilipita maeneo anapoishi nikiwa naenda kuangalia mechi uwanjani,kulikuw na hali ya baridi siku hiyo ,nilimpigia simu
mimi:hallo
yeye:hallo rafiki
mimi:naam rafiki ,nipo karbu na mtaa unapoishi naenda kuangalia mpira uwanjan
yeye😛ita basi kwangu unisalimie rafiki
mimi:sawa rafiki ila sipajui vizuri siku ile ulinielekeza tuu nyumba kadhaa
yeye:nambie upo wapi niagize mtoto aje akuchukue
mimi:hapa kwenye mti mrefu mkuubwa barabara ya kuelekea secondary nimetupia shati ya draft na jeans chini nimetupia kimasai
yeye:hahahaha haya rafiki dk 1 anakuja dogo
mimi😛oa
baada ya kupelekwa niliingia ndani dogo akatoka tukabaki wawili ,ye amekaa kitandani mi nimekaa kwenye kiti.
story zikaendelea huku akinihadithia jinsi alivyopata ajali hadi kupelekea yeye kukatwa mguu.
nilimpa pole,alionyesha huruma,nilimsogelea kumpa maneno ya faraja plus aone lile tatizo ni la kawaida tuu.
sikuishia hapo niliendelea kutoa mifano ya watu wenye hali hiyo na kumtaka ajione tu wa kawaida wala asiwe na waswas ,aliitikia
ndugu wasomaji kosa lilipoanzia ni pale nilipokuwa namhubiria maneno ya faraja huku mdomo wangu ukiwa karibu na sikio lake la kushoto,nilimuona anabadilika taratibuu mara ajikunje kama kamba,mara ang'ate ng'ate mdomo.
sasa kosa kubwa nililofanya ni pale nilipomaliza kuongea nikamhemea sikioni sijui nguvu alizitoa wapi maana niliona ananikumbatia kwa nguvu sikusubili nikatekenya mbavu hapo ndo nikampagawisha yan.
akawa kama sitak nataka,lawama kibao,mara oo rafiki mbona unanifanyia ivo.
alianza ra ra ra rafii rafiik ,rafiii,rafi ,rafii
(ndugu mpenz msomaji acha kusoma kwanza na imagine ingekuwa ni wewe hapo malaika anakwambia acha,shetani anakwambia kaza na kamba fala ww[emoji3])et ukubali kutukanwa na shetan kweli????
ok tuendelee
sikuishia hapo ni kama alishikwa na butwaa haelewi au anajiuliza huyu rafiki imekuwaje,nilishuka kupima oil nikakuta victoria imemwaga nikajisemea kimoyomoyo hapa ndipo kivuko kilipozamia[emoji3].kisundi kimetema nikaanza kukoroga humo humo na likidole langu lililozoea kuchezea kile kitair cha kwenye mouse,
nilipogundua bidada ana mguu mmoja stimu ilikata kwa mda,(sunajua tena kabla ya kuchakata unakuwa na mawazo mengi)
--------- ye hakujali aliendelea kuning'ang'ania mwisho wa siku akasema no rafiki naomba nna hamu sana.ni muda mrefu sijasex pleeeez naombaa ,kwa nini unanatesa kihisia.
mimi bichwa hiloo.nikajiona rambo nimemaliza vita amebaki mkuu wa magaidi anataka kukimbia na mtoto wa tajiri.
mi nae sio mchoyo nikaanza kumpelekea moto ,licha ya kasoro yake niligundua hapo awali alikuw mzoefu sio kwa feni lile,anazungusha mno kama propella kwenye mteremko.
ndugu mwananchi uliyekubali tozo fikiria mwanamke unamchapia kifo cha mende na bado anazungusha kiuno kama kakukalia juu , ilibidi niushikilie ule mguu mbovu maana akiwa anazungusha kiuno na mguu unazunguka kimtindo (nadhan ni kwa sababu ya kukosa balance)
nilimpa nzito nzito sasa sjiui alikuw mhaya mchezo umeisha godoro katkat limelowana.
saiv nimetulita tuu kila mda anatuma text turudie ,anataka tuwe na mahusiano ,
anachoniboa tu sasaiv kila wakati ananitumia sms na kunipigia simu
,nataka nimnunulie magongo ya kutembelea yale ya dukan aachane na haya ya miti.
mtanisamehe kiuandishi siko vizuri
Best I ever seen 😂 kwa thread yetu pendwa 😂Nlikuwa nimekaa chini mti wa tunda, mara likaanguka, nikajiuliza hili tunda limeangukaje chini, kwa nini lisianguke juu
Hapo basi Nikala tunda kimasihara hivi hivi...
View attachment 1892624
Okie post ya kuingia kwa harakate HAIPO ila siwez kukuacha ivi ivi ntakumegea kidogo hope unajua namna gani wazungu wana Imani potofu juu yetu watu weusi yaan kwamba sisi ni washirikina kupita kiasi so kwa kupitia hii mindset unda team yako tafuta sheikh anaepiga dua mtu akapona au hata wa manyanga then tafuta pesa kiasi kalipie Promotional Packages Google waktangazie matangazo yako ya tiba hapo yatakaa YouTube na kila Mahala within the reach of Google na elekeza sana China,Germany, UK, Australia, France na America kuna wateja sana huku na maeneo mengne ambyo Diaspora wanapatkanaHongera kwa kula mbususu mwanana. Kama vipi naomba nijiunge kwenye harakati zenu mkuu(on serious note)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]CHAI
IMEANZA KUONEKANA
ULIVYOSEMA BAADA YA KUPIMA OIL NDO UKAGUNDUA ANA MGUU MMOJA...
sifa kuwa muongo hivyo?Hopefully enough kwamba Mnaendelea vyema ndugu zangu, Baada ya Kumla Shemeji kimasihara si akaniganda Jumatano amerudi Kazini kakanyagia ghetto kigamboni alishawah kuja na mshkaj wangu sasa kwa bahati mbaya ghetto Main Chick analala anapika anapakua na anafunguo za kila sehemu (nimepanga nyumba nzima) hata nikiwa busy kwenye harakate zangu yeye anaamkia ghetto kwenda Kazini kwake
Shemeji akafika home akagonga hakuna aliemuitikia akaamua kuingia ndani akanikuta nimelala kwenye sofa ukumbini TV ipo on bas akaja hadi nilipo Akaanza kuniletea miyeyusho haikupta hata muda Main Chick akaingia kwani nilimtaarifu kua nimerudi akamkuta yule demu anaingiza mkono kwa dushe basi hakuuliza akamrushia mzigo Aliokua ameushika ulikua na mboga matunda
hapo mi ndo nikamka nakuta varangati si unajua wanawake kwa makelele
Nikaanza kuwaamulia sasa nikamchukua Main Chick nikaenda kumfungia room nikarudi nikamchukua Shemeji nikampeleka ndani ya gar(Crown ya Main Chick) njiani mikanyo kweli kweli nikawa sitaki hata kumfumbia macho nikamwambia we ulijirahisisha mi nikafanya yangu lakini sina hisia wala chochote juu yako ishi maisha yako usiniingilie basi kikawa kinalia nakulalamka mi busy na drive speed kweli kweli thanks to God sikupata ajali had nimemfikisha kwake
Nikarud kubembeleza penzi kwa main chick maana ni kisiran kweli kweli si unajua wanawake wakiwa na vichenji kufungua mlango namkuta analia kweli kweli hapo zishapta kama dakika 30 kukaa chini nimvute nimbembeleze kosa akanipa Kofi matata sana na kilio juu kalalama wee nikamuacha amalize alivyomaliza nikamuongopea kama kwa dakika 10 hivi unajua sisi tuliokulia pwani kwa kubembeleza mafundi [emoji23] akatulia
Usiku namuaga nikaangalie UEFA SUPER CUP maana European Champions (CHELSEA My Favorite) walikua wanafanya yao akakubali kwa masharti eti twende wote basi na mi nikaghairi nikamchukua tukaenda kwa mama yangu(silaha yangu ya mwisho) nikamueleza juu ya kilichoendlea bas mama akamueka sawa angalau Alimuelew baada ya hapo Mom akapika tukachukua chakula then Nikadrive hadi Coco tukapaki gar pembeni tukakaa juu ya boneti tukala Dinner pale ila bado alikua analalamika
Nikaanza ratiba ya kumpeleka Kazini na kumfata kuanzia Alhamisi hadi Ijumaa Lunch naenda kula nae (Ndo anachopenda) Jana mchana nikaenda Kulipia Gold earrings(about 10 grams over 1 million) Posta pale Golden Plaza maana Main Chick hata masikio hajatoboa ila anataman sana muda ndo anakosaga mi nikatake advantage hapa
Alivyotoka Kazini Nikaenda nae akatobolewa na kuvishwa hereni Angalau sasa hata kucheka anacheka na hata kupika amepika leo Maana alisusa kila kitu hope Nikiendlea na speed ya kumpeleka na kumfata kazini with full of gifts and suprises kila kitu kitakaa sawa
Ndio maana huwa siwagi na mchepuko wa kudumu
Mwanangu una elements za Kiduku LiloHopefully enough kwamba Mnaendelea vyema ndugu zangu, Baada ya Kumla Shemeji kimasihara si akaniganda Jumatano amerudi Kazini kakanyagia ghetto kigamboni alishawah kuja na mshkaj wangu sasa kwa bahati mbaya ghetto Main Chick analala anapika anapakua na anafunguo za kila sehemu (nimepanga nyumba nzima) hata nikiwa busy kwenye harakate zangu yeye anaamkia ghetto kwenda Kazini kwake
Shemeji akafika home akagonga hakuna aliemuitikia akaamua kuingia ndani akanikuta nimelala kwenye sofa ukumbini TV ipo on bas akaja hadi nilipo Akaanza kuniletea miyeyusho haikupta hata muda Main Chick akaingia kwani nilimtaarifu kua nimerudi akamkuta yule demu anaingiza mkono kwa dushe basi hakuuliza akamrushia mzigo Aliokua ameushika ulikua na mboga matunda
hapo mi ndo nikamka nakuta varangati si unajua wanawake kwa makelele
Nikaanza kuwaamulia sasa nikamchukua Main Chick nikaenda kumfungia room nikarudi nikamchukua Shemeji nikampeleka ndani ya gar(Crown ya Main Chick) njiani mikanyo kweli kweli nikawa sitaki hata kumfumbia macho nikamwambia we ulijirahisisha mi nikafanya yangu lakini sina hisia wala chochote juu yako ishi maisha yako usiniingilie basi kikawa kinalia nakulalamka mi busy na drive speed kweli kweli thanks to God sikupata ajali had nimemfikisha kwake
Nikarud kubembeleza penzi kwa main chick maana ni kisiran kweli kweli si unajua wanawake wakiwa na vichenji kufungua mlango namkuta analia kweli kweli hapo zishapta kama dakika 30 kukaa chini nimvute nimbembeleze kosa akanipa Kofi matata sana na kilio juu kalalama wee nikamuacha amalize alivyomaliza nikamuongopea kama kwa dakika 10 hivi unajua sisi tuliokulia pwani kwa kubembeleza mafundi 😂 akatulia
Usiku namuaga nikaangalie UEFA SUPER CUP maana European Champions (CHELSEA My Favorite) walikua wanafanya yao akakubali kwa masharti eti twende wote basi na mi nikaghairi nikamchukua tukaenda kwa mama yangu(silaha yangu ya mwisho) nikamueleza juu ya kilichoendlea bas mama akamueka sawa angalau Alimuelew baada ya hapo Mom akapika tukachukua chakula then Nikadrive hadi Coco tukapaki gar pembeni tukakaa juu ya boneti tukala Dinner pale ila bado alikua analalamika
Nikaanza ratiba ya kumpeleka Kazini na kumfata kuanzia Alhamisi hadi Ijumaa Lunch naenda kula nae (Ndo anachopenda) Jana mchana nikaenda Kulipia Gold earrings(about 10 grams over 1 million) Posta pale Golden Plaza maana Main Chick hata masikio hajatoboa ila anataman sana muda ndo anakosaga mi nikatake advantage hapa
Alivyotoka Kazini Nikaenda nae akatobolewa na kuvishwa hereni Angalau sasa hata kucheka anacheka na hata kupika amepika leo Maana alisusa kila kitu hope Nikiendlea na speed ya kumpeleka na kumfata kazini with full of gifts and suprises kila kitu kitakaa sawa
Ndio maana huwa siwagi na mchepuko wa kudumu
Uzii mshauchorea na kapicha kakeeNlikuwa nimekaa chini mti wa tunda, mara likaanguka, nikajiuliza hili tunda limeangukaje chini, kwa nini lisianguke juu
Hapo basi Nikala tunda kimasihara hivi hivi...
View attachment 1892624
Wenye akili kama zako hawakosi humu.Nlikuwa nimekaa chini mti wa tunda, mara likaanguka, nikajiuliza hili tunda limeangukaje chini, kwa nini lisianguke juu
Hapo basi Nikala tunda kimasihara hivi hivi...
View attachment 1892624
asante kwa kushiriki ila hii sio kimasiaraJaman nahisi nimeshindikana sasa. Maana nagonga hata sijali.
Jana nimefanya mambo ya kibabe sana. Bado nipo moro sasa wiki ya 4 hii. Nlimwita mwarabu wangu alivyoobdoka nikawa kimya kama wiki 2.
Juzi narudi toka job mida ya saa moja hivi umeme ulikuwa umekatika. Lodge ninayolala kuna generator , so ile naingia nakutana uso kwa uso na pc 2 zinatoka kuchaj simu zinaishi opposite na lodge nlofikia.
Sikuongea nazo ila zilivyoondoka nikambana mhudumu akaniambia dakika 0 nakuletea utafune, dem akagoma kuja akamwambia jamaa mpe namba tuwasiliane maana kuingia pale ni shughuli. Basi bwana kuchat mawili mataru tukaelewana aje kessho ambayo ni jana.
Jana kuja akagoma anasema watu watamwona anainhia lodge labda twende mbali na hapa. Ss mm nishalipia hapa mwezi mzima nikamwambia haiwezekani.
Nikachezesha akili faster maana dem alisema mm siwezi kuingia hapo kama hauwezi basi tuache tu. Gari yangu ni tinted so nikamwambia naenda mbali na hapa then njoo tutaingia na gari tugongane na nitakutoa na gari. Hapo ndo akanielewa saa tatu ndo nikaambiwa tayari nikatoa gari hadi soko kuu ndo akaja nikamchukulia huko, tumeingia hakuna aliyeshtuka na tumetoka hakuna aliyeshtuka. Pc bado ndogo japo ishaenda milage za kufa mtu. Ila inahekaheka hatari inatiana mpaka inalowana mwili mzima. Nlipiga show ya kufa mtu non stop masaa 2, sema na dem naye yupo njema kwenye mautundu
Mkuu gari gani inatoka Dom- Tanga saa Saba Mchana!?Dah,
Ahsante Utumishi.
Nimeenda kupiga pepa Dodoma, intavyuu ya TRA tuko mtu nyomi. Kusema ukweli hili nyomi nililitabiri tu, hivyo nikakata kabisa gari ya kwenda na kurudi, na kuna binamu yangu mmoja anaishi Dodoma nikamuomba anifanyie booking ya room. Ingawa alitaka nilale kwake.
Niliingia Dodoma ijumaa saa kumi na moja jioni nkamkuta binamu stand ananisubir. Alimaindi why sikutaka kulala kwake nkamwambia niko poa tu, gharama asijali, alinichukua mpaka lodge aliyonifanyia booking nkapumzika hapo nimechoka hoi. Lodge iko nyuma ya Pub ya Platnum pale opposite ghorofa za NHC.
Saa moja usiku nkasema ntoke nkatafute mlo ili nirud nije nisome "possibles" za pepa ya kesho yake. Wakati natoka mapokezi nkakutana na mdada anashuka kwenye bodaboda, yule dereva anamwambia wajaribu pale labda watapata. Yule dada akaanza kulalamika why Utumishi wameamua kuleta pepa huku Dom, hapo nkajua kumbe yule dada ni "mwenzangu".
Nlimwambia Mimi pia ni mpiga pepa mwenzie, hivyo kama hatojali basi aniamini tu tuwe kampani asiendelee kuzunguka, mji umejaa. Alinielewa, nikarud nae ndani kuweka begi lake kisha nikatoka nae. Pale lodge ni karibu na Chako ni Chako ambako tulienda kupata menu tukarud kujadili pepa la kesho. Tulionyeshana vitambulisho ili tutambuane na kuaminiana zaidi, aliniambia katokea Tanga.
Pepa tumejadili weeee, mpaka saa saba usiku tukaamua inatosha. Tulikua free tu kujadili kana kwamba ni watu tunaojuana kitambo. Tulipeana uzoefu mbalimbali juu ya pepa za TRA zinavyokua. Dodoma wakuu ni barid sana usiku, yaani utadhani umeweka AC mpaka ile lowest temperature 15°. Kwakua ilikua usiku sana tuliamua tulale tu Sasa tusubir hiyo asubuhi. Kwenye kuoga kila mtu alioga kivyake, kuvaa unajitanda shuka kisha unageukia ukutani ndo unavaa. Kulala ilikua ni Mzungu wa Nne.
Sintoeleza ya kwenye pepa maana yapo humu, ila jioni tulikutana tena pale lodge. Hapa sasa hatukua na obligation yoyote zaidi ya kujiandaa kwa kesho kurud makwetu. Tulisema tuzunguke tuone mji ulivyo tukaingia viwanja kadhaa. Vinjwaji pia havikukoseka huko viwanjani. Tulirud kwenye saa nane hivi usiku, Pombe hazina adabu na Dodoma ni baridi hivyo kimasihara masihara tunda likamegwa. Sikumtongoza, hakunitongoza bali automatically tu tukajikuta tunajiliwaza kwa kumaliza pepa.
Zilipigwa game kadhaa usiku huo ili kujaribu kushindana na baridi, lakini mwishowe tuliamua tupumzike tu, maana ni ngumu kushindana na nature. Mtoto alikua "fundi" Sana nkasema nitaenda tu Tanga one day kwa ajili ya Mechi ya marudiano. Gari yangu ilikua saa tisa mchana, yeye saba mchana. Hivyo tulipata wasaa wa kupiga story hiyo asubuhi.
Ahsanteni Tena Utumishi.
Vingine soma halafu pita mbio maana humu kamba ni nyingi sana. Hakuna gari ya tanga inayotoka dodoma muda huo.Mkuu gari gani inatoka Dom- Tanga saa Saba Mchana!?
Tupeane maujuzi
Vita hii ya angola ni ya mwaka gani,mzee wangu aliendaga miaka ya tisini kwa tiketi ya UN,kuna kituzo kipogo homeTulisafiri Kikazi Enzi zileee za Mzee Kikwete Ndege ya kuunganisha Kutoka Dar Mpaka Cairo baadae UK tuunge dude la kwenda Washngton kwenye kikao...Mzee Mkwere popote ulipo Ubarikiwe sana kwa zile safari.
Basi tulikua nchi kadhaa za afrika tumealikwa hivyo kwenye Flight Connection Pale London nikakutana na binti wa Angola kama shombe sio shombe kama Mwarabu wote tunasubiri Ndege kumbe kikao ni kimoja tunaenda kumuuliza mawili matatu kanitolea nje kabisa kwanza lugha inagongana dah..baadae hinya na hinya nilipomwambia naenda hicho kikao loh kaanza kubabaisha kiingereza akawa interested kuona kama amepata company nikaona yesss.
Nikakazia story za Afrika...Mara Tz mara Vita ya angola akanipa michapo mpaka tukapanda ndege safari yeye kakaa mbali na mm ila nikapaona kwa vile safari ndefu nikawa naenda kila mara kwake tunaendelea na story.
.nikarudi nikakaa nikalala kabisa kushtuka tunatua..basi kutua kumbe wenyeji wetu wameondoka wakatuchukulia hotel ili asbh watuchukue chumba cha bi dada na changu opposite.
Baada ya msosi..sikuuliza chochote nilimwambia njoo tu ulale huku tena rohoni najua kabisa atakataa na wala it was't an issue kwangu...Hamad si akaja mwenyewe....wachaaa alipovua nguo roho kidogo initoke binti mzuri balaa nikajisevia mpaka asbh...Kikao chote sasa mm nikawa nae .Nikiri Kwamba Hapa Duniani kuna wanawake wazuri sana mnoooo...Huyu Muangola alikua mzuri na mtamu sana.
MPAKA LEO sijui alienda wapi.
Ninakumbuka kila dakika niliyokua nae.Mzee Kikwete Ubarikiwe kwa kutupa yale Maisha..
Vingine soma halafu pita mbio maana humu kamba ni nyingi sana. Hakuna gari ya tanga inayotoka dodoma muda huo.
Mfano mwingine huyo jamaa wa juu anasema alipiga masaa mawili non stop sijui lakin ila kamba ni nyingi mno.