Ulishawahi kula tunda kimasihara?
mimi sikula kimasiala ila hiki kisa kilinitokea mpaka leo nimepoteza confidence ya kua katika mahusiano.

Nahisi nilitembea na jini.

miaka ya 2014 nilikua shule ya boarding mkoa fulani kanda ya ziwa sunajua maisha ya boarding hisia za mapenzi zinakuaga kali sana kipindi kile nilikua mpweke sana sina demu naona marafiki zangu wanaronga na bebezi zao mimi bila bila.
BILA SHAKA N UDOM SASA NYOMI YOTE YA WATU MTAFAHAMIANA KWELI
 
Heheeehee ..kuna jamaa ni mpangaji mwenzangu alikuja na goma lake wametoka huko walikotoka sijui wapi saa 10 alfajiri, nimestuka nasikia milango inafunguliwa kwa fujo wameingia ndani kwake ( hapo tulipopanga ni self
Jana nimeweka vumbi kuna mwana kanipa kalinunua msavu Moro nimepiga masaa 5 mpaka lodge nzima walikua wanasubili wamuone huyo mtu aliekuwa anawasumbua usiku kucha
😂 😂 😂 😂
 
Miaka Kama mitano iliyopita, Kuna kampuni fulani nilikua nafanya kazi, makao yapo dar ila baadhi ya projects zipo mkoani.

Mimi nilitumwa kusimamia mojawapo ya project iliyokua mkoa fulani, kabla ya kusettle nilikua natumwa huko kukaa Kama siku 3 kucheki project inaendaje Kisha narudi dar.
HATA HAMKUOGA,TYUU
 
Back
Top Bottom