Nimekua nikisoma kimasihara nyingi, ngoja nami leo nishee yangu japo kwa ufupi.
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nikiwa kidato Cha Kwanza naishi geto na wanangu watatu. Ikawa jmosi moja hivi tumefua fresh tukapika msosi heavy, ugali dagaa, tukaupiga ukakata. Kutulia kidogo kausingizi kakawa kananinyemelea, nikaona sio kesi ngoja niingie kitaa kuzuga. Nikamuona binti mmoja mkali hivi Ila macho juu. Nikamwita kwa ishara ya kumaita kwa mikono akakataa kwa kupandisha mabega juu. Nikamtema.
Jioni mida ya kumi na mbili kigiza kinaanza tukawa tunagawana majukumu ili zoezi la msosi wa jioni likamilike. Sasa mi nikapewa jukumu la kwenda gengeni kufuata nyanya, mwanangu mmoja akafuata maji mtoni, pale magetoni wakabaki Wana wawili kwa ajili ya maandalizi kuosha vyombo na setting nyingine. Nafika road tu namuona Tena yule binti, nikamsalimia akasimama. Nikamtupia maneno kuwa nahitaji mbususu, kama masihara akaniuliza una Mia tano hapo, nikamjibu ndiyo, akauliza unaenda wapi, nikamjibu hapo gengeni, akaniambia nenda ukirudi utanikuta hapa.
Sikua na uhakika Kama kweli nitamkuta, hivyo sikua na haraka sana, nikaenda nikanunua nyanya nikarudi, kweli namuona kwa mbali na kigiza kishakolea. Nikamwambia haya nisharudi. Nikiri tu kwamba yule binti alikua mkubwa kwangu, na kiukweli pale mtaani sikua namjua. Ila yeye alikua anatujua kuwa Kuna wanafunzi wanaishi nyumba flani. Basi akaniuliza tunaenda wapi, nikamwambia huku vichakani, wakati huo naongoza njia na mkononi Nina kijimfuko changu Cha Rambo(mfuko mweusi wa plastiki) ambayo ilipigwa marufuku na una nyanya. Kulikua na miti flani kikubwa inaitwa mikaratusi kitaalamu inaitwa "eucalyptus" na ilikua na vichaka vizuri vya miti inaitwa "miwati". Kipindi chote hicho binti yupo nyuma yangu. Nikasimama nikamvuta bila kuongea nikainua gauni alovaa, akanisaidia kuvua Pichu, akalala fresh baada ya kutandika kanga alokua amevaa, hapo dullayo kichwa wazi yupo juu juu Kama marehemu ngwair r.i.p. ile naweka tu hivi dogo ana msitu mkali Sana wa amazon[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikamuweka chap. Tako zangu kadhaa waajemi Hawa hapa. Chap nikainuka nikachukua kirambo changu nikasepa fasta. Nafika home kumbe Wana wamenisubiria balaa. Wakamtuma means mmoja anifukuzie dukani, kumbe wakati narudi home nilipishana naye njia. Wakati anarudi amenikosa akakutana na yule binti, kwa kua yule binti anatujua akaniulizia, jamaa akamwambia ndo ananitafuta. Kumbe mwana naye ana ukaka, akaimbisha naye akaombwa jelo. Akakubali. Ila demu akamwambia nipe Kwanza pesa. Jamaa akampa naye akapiga goli lake moja akaamsha. Anakuja geto Wana wananilaumu, Ila jamaa akawaambia anahisi nlikua namla yule dogo, naye akatupa stori nami nikawahadithia ilivyokua tukawa tunacheka tuu.
Kama mwana yupo humu atakua anakumbuka.
Samahani wadau Kama kutakua na typing error. Nawasilisha.