Ulishawahi kula tunda kimasihara?
NIMESEMWA SANA NA MADOKTA YAANI NIMESEMWA KAMA MTOTO AISEE WANACHO NILAUMU KWA NINI UPIME BAADA YA TENDO WAKATI ILITAKIWA KABLA YA TENDO.

KIJISAHAU KUPO NDO NILICHOJITETEA NAJUTA AISEE UNASEMWA HUKU UNAPEWA NA ELIMU YA DAWA PEP HAHAH NAONDOKA NACHEKA ILA MOYONI SINA AMANI KABISA WAKUU.

NIMETOKA KUOSHA UUME NA SPIRIT NASUBILI MUDA UFIKE NILE NINYWE PEP YANGU NILALE.

ASANTE WOTE MNAONIPA MOYO AJALI KAZINI... PIA ASANTENI WOTE MNAOKEBEI HILI ATA MIMI NILIKEBEI HIVYO HIVYO ILA MUNGU LEO KANIPA FUNDISHO MOJA KUU SANA.

NACHO WASISITIZA WATAALAM TUPIMENI AFYA, HAWA MADEMU WADOGO WADOGO WENGI WAMEUNGUA SABABU WENGI WAO WANATEMBEA NA WAZEE WALIOTANGULIA KULIONA JUA KABLA YAO HIVYO WANAAMBUKIZWA TU BILA WAO KUJIJUA.

NAWAPENDA SANA KESHO NITATOA MREJESHO WA MAUDHI YA PEP BAADA YA KUNYWA LEO.

ASANTE
 
ondoa HOFU

Mimi nimetembea nao Sana ,sijawahi ambukizwa

Ukimwi wao Wala HIV

umeniudhi Sana ,hebu tazama msamiati wakutembea nao ,unamanisha Nini mwanao Vanessa ,akiusikia unataka awe anawakimbia au awaone hawafai

Fyuuuuuu ,bangadeshi mkubwa wewe ,usirudie nawao niwatu ,lakini hapa huna wanao wote ni wakuu

Unaogopa Nini kusema umemkaza/umemumbususu au umefanya nae tendo la ndoa!
 
Back
Top Bottom