Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Namaini Playlist yako haijazikosa hizi ngoma
Mwanamalundi
Ielewe mitaa
I am a Professional
Sihitaji Marafiki x Yvonne Mwale
Fid Q.com
Ripoti za mtaani x Zahir Zoro
Huyu na yule x Mr. Paul
Korasi x Goddess
Big Man x Goddess Rosa Lee
Mwanza mwanza
Ni hayo tu x Langa,Prof J
Kama
 
Attachments

  • Screenshot_20230620-230251_PLAYit.jpg
    Screenshot_20230620-230251_PLAYit.jpg
    87.3 KB · Views: 67
Shusheni hizo essay za ki joke joke sie tusomee hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shusheni hizo essay za ki joke joke sie tusomee hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna instagram account inaitwa Muregi; madem wa Kenya wamefunguka sana kuliwa na Uber Drivers

Nasubiri kusoma hapa testimony zenu mkitoka Kidimbwi na Tipsy.
 
Hapana mkuu , kwa nilivyo msoma ndiye mwanamke ninae mtaka ana sifa zote za kua mke ila ukauzu wake tuu ndiyo kizingiti yani napiga gear lakini hachanganyi kabisa mgumu kweli kweli. kumbaka naona itanishusha hadhi ya kuwa mume wake labda akikubali atoe mwenyewe

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Achana na issue za kubaka. Ni kosa mbele ya macho ya Sheria. Mmeshawahi kutoka pamoja mka kae au ndio unamalizia maongezi barabarani?
Muombe tu akupe nafasi siku moja mwende sehemu umwambie nia yako thabiti kwake akikataa mwache baadae atakutafuta mwenyewe. Saikolojia ya wanawake iko hivyo. Ukimuonesha kumtaka/jali/penda sana wengi husumbua.
 
Habari za asubuhi wapenzi. Naomba kujuzwa hii staili ipoje, Kuna jamaa nimekula hela yake ndefu, nataka nikafanye retirement weekend ili ikiwezekana ahonge nyumba kabisa
 
WAKUU HABARI ZENU..

MUNGU MWEMA.. TANGU JANA NIMEFIKISHA MASAA 24 TOKA NIKUTANE NA MWANAMKE MWENYE MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI.

TAYARI NIMESHAANZA KUNYWA PEP TOKA JUZI.. KIUKWELI HIZI DAWA NDO MARA YA KWANZA KUNYWA KAMA WATU WANAVYOSEMA KWELI ZINAMAUDHI SANA ILA SIJUI KUOTA NDOTO MBAYA SIJAONA KIUKWEL.

TOKA NIMEANZA KUNYWA NIMEKUTANA NA MAUDHI YAFUATAYO:

1. NAPO KUNYWA TU DAWA HUWA SIMALIZI LISAA NAJIKUTA NIMESINZIA USINGIZI MZITO SANA

2. TOKA NIMEANZA KUNYWA DAWA IKIFIKA SAA 9 USIKU WAKUU KWANZA NASHTUKA HAPO SIPATI USINGIZI TENA MPAKA KUNA KUCHA

3. IKIFIKA SAA 9 MCHANA AU 10 NAPATA USINGIZI WA AJABU AMBAPO NIKIAMKA LAZIMA NINYWE MAJI KOO HUWA KAMA LIMEKAUKA HIVI

4. MWILI KUHISI UVIVU, KUCHOKA CHOKA NA KUHISI KICHEFU CHEFU.

HIZI ZOTE NILIAMBIWA NA DOKTA ZINAWEZA KUTOKEA NA KWELI ZIMETOKEA BADO NAENDELEA KUTUMIA DAWA PEP SO TUOMBEANE WADAU AJALI KAZINI HAZIKOSI
 
Umefeli sana, Kama Ni kweli hayo Umesema yalikua yanafanyika maana yake alitaka uanzishe move.

Daima Mwanaume unapaswa utambue when to start your move, mlipokua mnakutana kutana hapo Kuosha osha ungeomba namba ungeanza taratibu kama rafiki, ungejenga trust yake siku chache kisha ule kimasikhara [emoji3][emoji3][emoji3]

Bado Hujachelewa. Una nafasi ya kuendeleza ulipofeli.
Alinikata mzuk alivyokuwa anaongea na sim na mwenzie af majiran sio wa kutongoza maana ukimtongoza unampa mda wa kufanya maamuzi! Ila sijataka tena kuhangaika nae maana ni nyege tu ndo zilifikisha huko! Jana tena amesikia nakuja akafungua mlango wote nikapita kama simuoni! Nyenge mbaya sana wakuu!
 
Achana na issue za kubaka. Ni kosa mbele ya macho ya Sheria. Mmeshawahi kutoka pamoja mka kae au ndio unamalizia maongezi barabarani?
Muombe tu akupe nafasi siku moja mwende sehemu umwambie nia yako thabiti kwake akikataa mwache baadae atakutafuta mwenyewe. Saikolojia ya wanawake iko hivyo. Ukimuonesha kumtaka/jali/penda sana wengi husumbua.
Oyaa jamaa unataka umpe matatizo huyo, mshauri aende kwingine na kuendelea na maisha na aachane na huyo. Hadi hapo keshapoteza pride yake mbele ya huyo demu, hata akija kumpata atamsumbua sana na kumpa stress kupitiliza sababu alishafanya koaa moja kubwa.

Mwanamke ukimpa attention kubwa ni kosa la kiufundi hilo na huyu ameshalifanya. Muhimu atafute mwingine kwanza na afute wazo la kuwa na huyo kimapenzi kabisa kama nia yake ni kumpenda kwa dhati. Tusije tukaja kumzika kwa msongo wa mawazo. Kama nia ni kupita naye, atoke na demu mwingine na ahakikishe kajua hilo na apunguze kumpa attention.

Demu asipoonesha kujishtukia na kujirudi basi aachane naye mara moja hadi hapo hana feelings zozote kwake
 
Msidhan wengine hatunywi pombe, mkatuona kama washamba.

Ngoma imezagaa, kampeni za mapambani ya ngoma Kwa Sasa hazipo.

Kuna watoto wengi wa walozaliwa miaka ya 2000 wanao.

Kuna haya mashangazi .

Utachagua, unataka wa Kuzaliwa nao au unataka wa ukubwan.
Imeisha hyooooo,,,dj tuambie tunakutana mwananyamala au wap
 
WAKUU HABARI ZENU..

MUNGU MWEMA.. TANGU JANA NIMEFIKISHA MASAA 24 TOKA NIKUTANE NA MWANAMKE MWENYE MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI.

TAYARI NIMESHAANZA KUNYWA PEP TOKA JUZI.. KIUKWELI HIZI DAWA NDO MARA YA KWANZA KUNYWA KAMA WATU WANAVYOSEMA KWELI ZINAMAUDHI SANA ILA SIJUI KUOTA NDOTO MBAYA SIJAONA KIUKWEL.

TOKA NIMEANZA KUNYWA NIMEKUTANA NA MAUDHI YAFUATAYO:

1. NAPO KUNYWA TU DAWA HUWA SIMALIZI LISAA NAJIKUTA NIMESINZIA USINGIZI MZITO SANA

2. TOKA NIMEANZA KUNYWA DAWA IKIFIKA SAA 9 USIKU WAKUU KWANZA NASHTUKA HAPO SIPATI USINGIZI TENA MPAKA KUNA KUCHA

3. IKIFIKA SAA 9 MCHANA AU 10 NAPATA USINGIZI WA AJABU AMBAPO NIKIAMKA LAZIMA NINYWE MAJI KOO HUWA KAMA LIMEKAUKA HIVI

4. MWILI KUHISI UVIVU, KUCHOKA CHOKA NA KUHISI KICHEFU CHEFU.

HIZI ZOTE NILIAMBIWA NA DOKTA ZINAWEZA KUTOKEA NA KWELI ZIMETOKEA BADO NAENDELEA KUTUMIA DAWA PEP SO TUOMBEANE WADAU AJALI KAZINI HAZIKOSI
Oya acha uduwanzi unatuharibia uzi wetu, wewe pambana na madawa yako... Hakuna mtoto humu embu tuletee kimasihara nyingine hata ya primary...
 
Back
Top Bottom