Ulishawahi kula tunda kimasihara?
NIMEPEWA DOZI MOJA YA LEO USIKU KAANDIKA (TLG) SABABU NIMEENDA JIONI SANA NA SIJUI DATA WAMEFUNGA.. SO KESHO ASUBUHI NAENDA KUCHUKUA VIDONGE 29 VILIVYOBAKI.. KANIELEZA PIA MAUDHI YAKE KASEMA NIJIANDAE KWA LOLOTE.

NIKIRUDI NYUMBANI NAENDA KUOSHA UUME NA SPIRIT AISEE ANASEMA VIZURI UKIVIWAI MAANA HUYO MDUDU HUWA NJE HAPO KWA SAA 12 KISHA ANANZAA KUCHIMBA NDANI KUFATA CELL ZA DAMU.

TUWE MAKINI SANA WATAALAM UKIMWI UPO
Achana na mambo ya kunyonyana sehem za siri kaka tena nyunyi ya Ke ilivowazi vile ni mara 100 akunyonye wewe.

Mie hata denda huwa sipendi kwa baadhi ya mademu afu wewe unanyonyana.

Tumia hizo PEP vizuro hapo hakuna HIV
 
Yes nishawah tena ni mdogo wake na shemeji yangu anaitwa ni mke wa mtu yapata miezi sita alikuja kwa dada yake kumsalimia mimi huwa dukani alaf nyumbani mbali so ilihitaji mtu aniletee chakula so wakati analeta me nikamkaribisha ndani dkn nikamuulizz vp akajibu vp kuhusu nn badala ya kumjibu me kwa ujasiri nikamshika bega binti akarainika nikashuka kwa ziwa akarainika zaidi nadhani yaliyoendelea siwezi simulia zaidi ndo mm jinsi nilivyo zawadiwa tunda ki masihara vile
New comer huyu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nobrain na the_legend nmewachek telegram, nimepata group sure la pisi kali za kwenda sio poa kudadek

#KATAA NDOA
#NDOA NI UTAPELI
#CHAPUTA
Katiba yetu inasema kwenye ibara ya 5 kifungu cha pili c kipengele kidogo cha 3....

Unapopata chimbo jipya ambalo ni affordable kwa mtanzania(70k kushuka chini) Bhas hakikisha unagawa link ili watu wapate kipoozeo....

Heshimu katiba Mkuu nikiwa na maana nikukute pale PM ukiwa na Link[emoji4] May be weekend moja nikazungusha kwa wana pic moja moja na wewe ukabahatika[emoji28] na bili ikawa juu yangu. Mbn walevi tunanunuliana bia[emoji3][emoji3]
 
Msidhan wengine hatunywi pombe, mkatuona kama washamba.


Ngoma imezagaa, kampeni za mapambani ya ngoma Kwa Sasa hazipo.

Kuna watoto wengi wa walozaliwa miaka ya 2000 wanao.


Kuna haya mashangazi .


Utachagua, unataka wa Kuzaliwa nao au unataka wa ukubwan.
Kuna dogo mmoja katokea Kigali Rwanda alikua Mkoa x nilikua kikazi huko.Jamaa angu kamlamba yule dogo na badae nimepata story kua boss anajua yule dogo alizaliwa nao na anatumia dawa. Jamaa ni chapombe sana,sijajua kwamba alikumbuka zana ama laa. Nilistuka sana mana hiyu manzi nilikua interested nikaka nikapotezea.Nilishukuru sana mana ningekua hatiani.

Nina uhakika kwa uzuri ule nisingetumia zana.Dogo yupo chuo mwaka wa kwanza Chuo X mkoa X.Nyie mnaopenda dogo wa vyuo msisahau Sox mkijidanganya hao ni wadogo. Mtaula wa chuya kwa uvivu wa kupembua
 
Mi nitakufa pia ila siwezi kushabikia kitu kinachotesa ndugu na jamaa mtaani wakati naona Kuna uwezekano wa kukiepuka, pia mkuu ukimwi ni tishio unatesa sana
Mkuu kama huwezi hebu kaa pembeni au nenda magroup ya Dini huko ukahubiri huku tuache na ushetani wetu
 
Back
Top Bottom