Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Sikia, mwambie dada yako ili waachane. Wakishaachana sasa shemeji yako atakuoa wewe na atakuwa anawapakua wewe na housegirl.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa aendelee kukaa ila afuate mambo yake.....Binadamu tunaishi kwa kutegemeana.
Fala WA kwanza ni wewe unayejiita mwanaume mwenye ndevu imekubali kuolewa wewe na Dada Yako.Nawaza sana hii inshu. Sipati majibu nimegundua shem ana mpigia misele dada wa kazi hapa home. Siku nimeingia jikoni shem hakujua kama nimerudi toka wapeleka watoto shule.
Mimi nliwahi kurudi ili nimle huyu binti maana nlishamweka sawa kitambo kuwa tuwe tunatiana moyo mle ndani. Siku hiyo shem sikujua hajaenda kazini. So nikawahi wapeleka watoto shule. Haraka nikarudi milango haikufungwa. So getini nlitumia tu funguo ya kwangu. Kuingia ndani nikaona nipite moja kwa moja jikoni kwanza nile nipate nguvu ndo nikamgegede yule bint.
Nimeingia jikoni namkuta shem kamshika kiuno binti mkono mmoja na mwingine anamchezea matiti. Alishtuka na kuropoka "unaingia tu hupigi hodi?"
Nliumia sana kwa kweli huyu binti ana week tu ametolewa Tanga. Nami nimehangaika sana kumshawishi kuwa pale home mimi nina sauti asione tu nakuwepo kuwepo ndo msaada wao mkubwa wale Maboss wake. Akakubali kuwa siku ile angenipa. Sasa nakuta shem naye anataka kula. Ni jambo la aibu sana kwa kweli. Na ananikosea heshima maana mimi umri nimemzidi kiasi.
Nawaza je nimwambie sister au nimtafutie siku nimchane aache ufala. Maana huo ni ufala tu. Anajidai anaumwa haendi kazini kumbe ana inshu za kisengendu. Na ninavyomjua sister atamwashia moto kishenzi mle ndani.
Sana. Huyu shem ni mpuuzi sanaIla mabinti wa kazi wanapitiaga magumu sana saa ingine.
wewe pumbavu kweli utatimuliwa wewe na dada yako! Yaani kwa umri huo unakaa kwa dada yako halafu unadiriki kujipambanua unataka kugegedua beki tatu? Lahaula...!! Hivi nani mwenye nyumba?Nawaza sana hii inshu. Sipati majibu nimegundua shem ana mpigia misele dada wa kazi hapa home. Siku nimeingia jikoni shem hakujua kama nimerudi toka wapeleka watoto shule.
Mimi nliwahi kurudi ili nimle huyu binti maana nlishamweka sawa kitambo kuwa tuwe tunatiana moyo mle ndani. Siku hiyo shem sikujua hajaenda kazini. So nikawahi wapeleka watoto shule. Haraka nikarudi milango haikufungwa. So getini nlitumia tu funguo ya kwangu. Kuingia ndani nikaona nipite moja kwa moja jikoni kwanza nile nipate nguvu ndo nikamgegede yule bint.
Nimeingia jikoni namkuta shem kamshika kiuno binti mkono mmoja na mwingine anamchezea matiti. Alishtuka na kuropoka "unaingia tu hupigi hodi?"
Nliumia sana kwa kweli huyu binti ana week tu ametolewa Tanga. Nami nimehangaika sana kumshawishi kuwa pale home mimi nina sauti asione tu nakuwepo kuwepo ndo msaada wao mkubwa wale Maboss wake. Akakubali kuwa siku ile angenipa. Sasa nakuta shem naye anataka kula. Ni jambo la aibu sana kwa kweli. Na ananikosea heshima maana mimi umri nimemzidi kiasi.
Nawaza je nimwambie sister au nimtafutie siku nimchane aache ufala. Maana huo ni ufala tu. Anajidai anaumwa haendi kazini kumbe ana inshu za kisengendu. Na ninavyomjua sister atamwashia moto kishenzi mle ndani.
Ni kweli sanaBinadamu tunaishi kwa kutegemeana.
Hata na wewe pia.Sana. Huyu shem ni mpuuzi sana
Yaan madada wa kazi huwa wanafanywa gombania goli...hata wanaume wawe wa4 wote wanataka wamchakate..Ila mabinti wa kazi wanapitiaga magumu sana saa ingine.
Asipo elewa Ana matatizo huyomwambie sister uone kama hamjaachika wote.
hama kwa shemeji
Hapana siyo sawaHata na wewe pia.
Sana yaani Mkuu. Na hapo likisanuka dada wa kazi anatimuliwa.Yaan madada wa kazi huwa wanafanywa gombania goli...hata wanaume wawe wa4 wote wanataka wamchakate..
Sasa wivu wa nini hapo? Unaandika kama umelewa. Yeye au mimi mwenye wivu? Yeye si ameoa? Acha upuuzi basi.Wivu tu. Yaani wewe unataka kuachanisha ndoa ya dadaako. Ondoka kwa wenzio kenge wewe.
Huyu anamlazimisha tu lakini dada wa kazi mimi ananipenda ananikubali sana. Mambo mengine wasichana wanaonewaga tuSana yaani Mkuu. Na hapo likisanuka dada wa kazi anatimuliwa.